ditto (@dittop20) profile picture

reading,listening,learning as well as sharing different ideas with members

Joined April 2022
Photo by ditto (@dittop20)Photo by ditto (@dittop20)Photo by ditto (@dittop20)Photo by ditto (@dittop20)Photo by ditto (@dittop20)
Yanga kisa wameahidiwa kombe la club bingwa Africa na mangoba basi ndo hawataki kumfukuza.Hakika msimu huu Kwa team ile tukiambulia hata zile point 8 za misimu miwili nyuma tutakua tumepiga hatua
1
1
20
Hivi jamani kama gamondi na mpira wake ule alifukuzwa,huyu mangoba anaachwa kwa kipi?Yanga wanatukosea pakubwa sana
1
69
Viongozi wa yanga ndo mkome kuleta makocha weusi,yaani mmewadharau weusi wa kitanzania mkaona wasauzi ndo Wana akili kuzidi akina Ahmed ally.
26
Ogopa sana match ambayo chama na mpanzu wanawaka.Hapo hakuna mpinzani ni Simba queen mtupu.
3
38
Simba wakipata garassa lao unaweza ukafikiri hii Simba ni timu namba Moja Bora duniani kumbe ni garassa square.
3
29
Hivi ni lazima wakristo wanaoenda kumpa pole Rais wavae mavazi ya kiislam?hawaoni kua wanaifanyia promo dini ya kiislam.Sijui ni kutokujua au ndo mwendelezo wa uchawa.
2
1
35
Wakuu kusoma coarse flani through online Kuna changamoto Gani?na kama Kuna mtu amewahi toboa katika hili ningeomba ashee uzoefu hapa ilikuaje kwa sababu natamani kusoma vehicle electricity kupitia mtandao
2
8
61
Hivi jamani katika hili pia tuwalaumu wakoloni? Yaani tumeshindwa hata kufikiri sawasawa kwenye kuendesha mpira wetu? Hivi kama timu zote zikaweza kusajili wageni 12 ajira za wazawa zitakuaje?wazawa watacheza wapi,lakini pia tutakua tunaandaa taifa la namna Gani kwenye soka?
1
3
51
Hatimae tumefika kwenye uchumi ambao ukiacha elf 10 nyumbani haijalishi una familia ya watu wangapi lakini huwezi kukuta kumepikwa nyama(yaani haitoshi kununua nyama na upate ugali humo humo)
1
1
2
118
Simba mnapokelewa kulingana na mnavyokuja,mkija kistarabu mtachezewa kistarabu lakini mkija kibabe na kutaka kujitutumua mtufunge hapo ndo mnakutana na mguu wa roho mguu wa shingo.Yanga vyote tunaweza
5
64
Msimu huu yanga ashindwe mwenyewe tu kufika semi final champions league.
4
59
Katika demokrasia: Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. Bunge ni kubwa kuliko Spika. Taifa ni kubwa kuliko Rais. Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la kudumu. Rais anaweza kukaa madarakani miaka 5, 10 au 20. Lakini taifa linaendelea kuwepo kabla yake na baada yake. Mfano: United States imekuwa na marais wengi sana. Wamekuja: Ronald Reagan Bill Clinton Barack Obama Donald Trump Lakini Marekani imebaki kuwa Marekani. Rais ni mtumishi wa taifa. Taifa si mali ya Rais. Ndiyo maana katika demokrasia, kumpinga Rais si sawa na kulichukia taifa. Na kumuunga mkono Rais si sawa na kuwa mzalendo. Uzalendo ni kuipenda nchi hata pale unapokosoa serikali. 2. SERIKALI SI TAIFA Hili ndilo eneo ambalo watu wengi huchanganyikiwa. Serikali ni chombo kinachosimamia nchi kwa kipindi fulani. Taifa ni wananchi wote pamoja na historia, ardhi, taasisi na mustakabali wao. Kwa mfano: Leo serikali inaweza kubadilika. Lakini: Tanzania inabaki Tanzania. Bendera inabaki ile ile. Wananchi wanabaki wale wale. Historia inabaki ile ile. Kwa hiyo: Kuikosoa serikali si kuisaliti nchi. Na: Kuisifu serikali si lazima iwe kuipenda nchi. Swali muhimu ni: “Je jambo hili linafaidisha taifa?” si “Je jambo hili linaifurahisha serikali?” 3. CHAMA TAWALA SI SAWA NA NCHI Hili ni somo muhimu sana kwa Afrika. Katika demokrasia: Chama tawala ni mshindi wa uchaguzi. Hakimiliki taifa. Hakimiliki serikali milele. Hakimiliki uzalendo. Taifa ni mali ya: waliokichagua chama tawala, wasiokichagua chama tawala, na hata wale ambao hawakupiga kura. Ndiyo maana katika nchi zilizoendelea kisiasa: Ukikosoa chama tawala huonekani adui wa taifa. Unaonekana sehemu ya demokrasia. Tatizo linaanza pale chama tawala kinapoanza kuonekana kama taifa lenyewe. Hapo demokrasia huanza kudhoofika. 4. KATIBA NI KUBWA KULIKO CHAMA TAWALA Katiba ndiyo mkataba mkuu wa taifa. Katiba ndiyo inayotoa mamlaka kwa: Rais, Bunge Mahakama. Sio Rais anayeipa Katiba nguvu. Ni Katiba ndiyo inayompa Rais nguvu. Sio chama tawala kinachounda taifa. Ni Katiba ndiyo inayoweka sheria za namna taifa litakavyoendeshwa. Katika demokrasia iliyokomaa: Kama chama tawala kinataka jambo ambalo Katiba hairuhusu, Katiba ndiyo hushinda. Kwa sababu Katiba inawakilisha taifa lote. Chama kinawakilisha wanachama wake. 5. BUNGE NI KUBWA KULIKO SPIKA Spika ni kiongozi wa muda. Lakini Bunge ni taasisi ya kudumu. Leo kuna Spika mmoja. Kesho atakuwepo mwingine. Lakini Bunge linaendelea kuwepo. Hii ndiyo sababu taasisi ni muhimu kuliko watu. Mtu anaweza kuondoka. Taasisi inapaswa kubaki imara. 6. MAHAKAMA NI KUBWA KULIKO JAJI MKUU Jaji Mkuu ni mtumishi wa Mahakama. Sio Mahakama mali ya Jaji Mkuu. Kesho Jaji Mkuu akistaafu: Mahakama inaendelea. Hii ndiyo maana ya utawala wa sheria. Sheria inapaswa kuwa kubwa kuliko watu wanaozisimamia. TATIZO KUBWA AFRIKA Katika nchi nyingi za Afrika watu hufikiri hivi: Chama = Taifa Serikali = Taifa Rais = Taifa Kukosoa Serikali = Kuisaliti nchi Hiyo ndiyo sababu mjadala wa kisiasa huwa mgumu. Kwa sababu watu wanafikiri wanalinda taifa wakati mara nyingi wanakuwa wanalinda serikali au chama. Lakini katika demokrasia yenye afya: Taifa ni kubwa kuliko serikali. Serikali ni kubwa kuliko chama. Katiba ni kubwa kuliko serikali. Sheria ni kubwa kuliko viongozi. Dhamira ni kubwa kuliko utii wa kipofu. Kwa lugha rahisi sana Ukiniuliza tofauti kati ya nchi, taifa na serikali ningesema: Nchi ni ardhi, mipaka na mamlaka yake. Taifa ni watu wake, historia yao, utamaduni wao, taasisi zao na mustakabali wao. Serikali ni timu ya muda iliyopewa jukumu la kuendesha taifa kwa kipindi fulani. Ndiyo maana unaweza kubadilisha serikali bila kubadilisha taifa. Lakini ukiharibu taifa, hata serikali nzuri haiwezi kulirudisha kwa urahisi. Kwa hiyo kiongozi wa kweli hapaswi kuuliza: “Je hili linaisaidia serikali?” Bali: “Je hili linaimarisha taifa, taasisi zake, na vizazi vijavyo?
70
193
11
794
27,222
Replying to @INFLUENCERjr
Acha kutuongelea
2
1
3
738
Kuna mwanangu mmoja mgogo anatembeza zabibu mtaani kwenye mkokoteni anasema kwa siku kakosa sana analaza 20k faida mmmh natamani nijilipue na Mimi nikajaribu.Inawezekana ramani yangu ya mafanikio iko hapa
1
57
Hivi kumbe kua jobless ni kazi hivi?
1
49
Yaani kweli mbunge darasa la saba halafu dereva wake eti awe na cheti cha form four,hivi hapa serikali iliwaza Nini?
1
142
Simba katika hili la Azam huwezi kuwasikia kwakua malalamiko ya Azam yanawahusu wao.Wala huwezi sikia zile porojo zao za kulaumu marefa wakati wanufaika wakubwa wa kubebwa ni wao wenyewe.
2
40
Simba na yanga hivi siku kila mmoja akawa na uwanja wake na uwanja umamilango.miwili tupande zote hakuna sehemu za kupita pembeni.Mi naona kuna timu Moja itakua haileti timu vawanjani
2
37
Jamani wale mlofanikiwa kufika congo hivi wale mbilikimo tulokua twasimuliwa zamani wapo?mbona kama wengi nawaonaga huku mkoa wa Tanga au ndo walihamia huku Tz
1
25
Linda hana
1
27