Love is nothing without action✍️
Trust is nothing without proof😔
End sorry is nothing without change📌
Dat's ❤️
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Najua mimi ni dhaifu kwenye mapenzi ila hisiwe kigezo cha kunipa maumivu..😥😩
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
-Mwaka 1955 Wakati Congo ipo Chini ya Ubeligiji
-Baba mmoja wa kizungu Alinunua mtt wa kiafrika na kumuweka kwenye wavu kwajili ya watoto wake kuchezea kama mdoli,.
😥😥 wazungu ni 🚮🚮
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Wakati nipo Chuo niliacha kufanya Test Af nikaenda kwenye birthday ya Mpnz wang,. @FreebutterflyF #TzValentinePacks
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Ukitaka kuishi maisha yenye furaha acha kuwaaminisha watu ila pambania mipango yako.
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Tunamaliza Kimasta sasa Drop ur Handle then Retweet Tuongeze followers,. ✊✊
☆ Pia Naomba Mpititie pinned post yng Tuinuane Kimasta 💪
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Wadau naomba mka retweet tweet ya @chevi_masta ashinde challenge.
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Mlinde Mwanamke Wako Kama Binti Yako, Mpende Kama Mke Wako,Na Umuheshimu Kama Mama Yako.✍️
Happy Sabbath!
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Moja Kati Ya Zawadi Kubwa Kuliko Zote Ambayo Baba Unatkiwa Kuwapatia Watoto Wako, Nikumpenda Mama Yao✍️
Ukiniona kwa mbali Kama Sina Ela ivi ila ukinisogelea kumbe ndo Sina kabisaa 😒
🤣🤣🤣😂 – at Iringa, Tanzania













