Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack) profile picture

Mafinga girl🥰 born Dec 2🎂 AM LIVING MA LIFE NO MATTER WHAT 👌 GOD FIRST 🙏

Tanzania
Joined August 2021
Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)Photo by Fetty Jojack❤️🇹🇿 (@f_jojack)
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Najua mimi ni dhaifu kwenye mapenzi ila hisiwe kigezo cha kunipa maumivu..😥😩
7
18
88
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Namba Ngapi Hapo Huwezi Kuisahau???
205
49
15
675
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
-Mwaka 1955 Wakati Congo ipo Chini ya Ubeligiji -Baba mmoja wa kizungu Alinunua mtt wa kiafrika na kumuweka kwenye wavu kwajili ya watoto wake kuchezea kama mdoli,. 😥😥 wazungu ni 🚮🚮
60
76
9
450
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Wakati nipo Chuo niliacha kufanya Test Af nikaenda kwenye birthday ya Mpnz wang,. @FreebutterflyF #TzValentinePacks
Tweet story yako then Jishindie Valentine Pack yako au mpenzi wako. Cha kufanya, Tuambie, kitu cha kijinga sana ambacho umewahi kifanya kwa sababu ya mapenzi ambacho mpaka leo huwa ukikumbuka unajicheka
141
392
10
609
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Ukitaka kuishi maisha yenye furaha acha kuwaaminisha watu ila pambania mipango yako.
1
5
51
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Tunamaliza Kimasta sasa Drop ur Handle then Retweet Tuongeze followers,. ✊✊ ☆ Pia Naomba Mpititie pinned post yng Tuinuane Kimasta 💪
34
29
1
138
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Wadau naomba mka retweet tweet ya @chevi_masta ashinde challenge.
8
18
71
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Mlinde Mwanamke Wako Kama Binti Yako, Mpende Kama Mke Wako,Na Umuheshimu Kama Mama Yako.✍️ Happy Sabbath!
5
12
36
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Moja Kati Ya Zawadi Kubwa Kuliko Zote Ambayo Baba Unatkiwa Kuwapatia Watoto Wako, Nikumpenda Mama Yao✍️
7
15
1
57
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Kumbe yule refa anaitwa "Ahmada Simba". Oky leo SIMBA wote wawili wameshinda na hawayaoni matatizo ya GSM. Yanga yupo uwanajani jumamosi, wakipewa tatu Kama za leo msilalamike😅😅. Mmepewa penati ya Mchongo ili mkubaliane na penati za Mchongo weekend. – at Mbeya, Tanzania
6
11
57
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Basi ungenambia ya kwamba hutodumu, ili hata ahadi zako nizipuuze. Ona nlizitunza sasa zinaniumizaa.......
3
3
14
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
ila Maziwa Yanamambo ya Kingese sana, Leo ilinaki kidogo tuu Nilipuke na mtungi wa Gesi 😥😥 Yani sijui demu wng ningemuachaje mana Hawezi kabisa kuishi bila mm,.🤕😥🤔
53
39
273
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Ukitaka Kujua Nguvu Ya Wanawake Wa TANZANIA Anza Kwa Job Halafu Maliza Kwa Aristotee 💪🏽 Mpaka Sasa Tukimuondoa Mh Rais Wetu Mama Samia Suluhu Anafuata Wema Sepetu Kombe Bado Lipi Kikeni 👏🏽👏🏽👏🏽 Tuheshimiwe Jamani 💪🏽
168
25
69
964
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Usifikirie Unaweza Kujichagulia Kilicho Bora Zaidi Kuliko Mungu Anavyoweza Kukuchagulia, Yeye Ndiye Aliyekuumba Yeye Ndiye Ajuaye Nini Bora Kwako✍️
2
5
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Kuna Wakati Mungu Anasababisha Ukose Unachotaka Ili Upate Ambacho Amekuandalia, Sio Kila Unapokosa Umepoteza, Wakati Mwingine Kukosa Ni Kuandaliwa Kupata Kilicho Bora Na …Utakacho Kifurahia Zaidi…✍️
14
32
160
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Wakati mwingine maumivu huletwa, hata na mtu unaedhani kwake ndipo lilipo tumaini na Faraja..😭😭 Mioyo mepesi huumia kiasi ambacho macho huonesha kushindwa kustahimili jambo hivyo hubujikwa na machozi yasio kwisha huku sura ikijawa na huzuni😓😓
2
11
Hakuna kinachoumiza kama mtu kukufanya ujiskia he/she means the world kwako alafu aondoke. Wear that shoes, akiondoka manake ur world has gone. 🥺🥺 Can’t sleep, My heart hurtii, My body hurtii 😭😭.
10
12
66
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Kuna WATU wanapata SUPPORT kutoka kwenye FAMILIA zao,na kuna WATU wanatakiwa Ku support FAMILIA zao, ukishajua upo kwenye kundi gani hutakiwi kuiga MAISHA YA WATU. @chibelube 🖊📌
2
7
47
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Aisee Huu Wimbo wa Rayvanny ft Zuchu ni super Classic, yani kama una kesi mahakamani unaweza kuutumia huu wimbo kumbelezea Hakimu na ukasamehewa kesi yako,. #I_miss_you 🔥🔥
8
26
73
Fetty Jojack❤️🇹🇿 retweeted
Aisee Madereva wa Daladala muwe mnasubiri kwanza tukae kwenye viti ndio muondoe Gari, yani Leo ilibaki kidogo tuu nimkiss Mwanajeshi wa JWTZ,.😥😥
36
38
250