Jaffar Haniu (@haniupekee) header
Jaffar Haniu (@haniupekee) profile picture

District Commissioner - Rungwe, Mbeya

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2013
Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)Photo by Jaffar Haniu (@haniupekee)
I congratulate the people of Kenya on their peaceful general election and the subsequent announcement of Dr @WilliamsRuto as President-elect. We look forward to continue working together with our brothers and sisters in Kenya to strengthen our historically close ties. Tuko pamoja
1,387
3,861
216
27,441
Ninapenda kuwapongeza kwa dhati wananchi wa Kenya kwa kushiriki uchaguzi wao mkuu kwa amani na utulivu, ambapo matokeo yake ni Dkt @WilliamsRuto kutangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya. Tanzania itaendeleza undugu na ushirikiano wa Kihistoria na Kenya uliodumu miaka na mikaka.
633
1,044
66
7,419
Jaffar Haniu retweeted
Nawapongeza Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kufanikisha upasuaji wa kuwatenganisha watoto mapacha walioungana. Hii ni hatua muhimu katika utekelezaji wa mpango wa serikali kuboresha matibabu ya kibingwa. Nawaombea watoto Rehema na Neema wapone haraka.
418
465
37
3,814
Jaffar Haniu retweeted
Katika siku hii ya Wanawake Duniani, nawapongeza wanawake wote kwa mchango wenu katika kujenga uchumi, kustawisha jamii na kudumisha amani na utulivu. Napenda kuwatia moyo na ari zaidi, na nawaahidi ushirikiano katika kuendelea kuyatimiza majukumu hayo kwa faida ya Taifa letu.
578
752
60
5,649
Nimesikitishwa sana na kifo cha Dkt. @mwelentuli, mwana wa Afrika ambaye ameitumikia vyema Tanzania ndani na nje ya mipaka. Pole zangu zimfikie Mzee John Malecela na familia yake yote wakati huu wa majonzi mazito. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amin.
519
451
47
3,659
Jaffar Haniu retweeted
Hongera Wana CCM wenzangu kwa chama chetu kutimiza miaka 45. Chini ya CCM Tanzania imepata mafanikio makubwa kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Tumedhihirisha kuwa CCM ni chama sahihi kuongoza dola. Tuendelee kusimamia misingi yetu ili kutimiza matarajio ya Watanzania.
875
463
59
3,970
We follow with a lot of excitement the Beijing 2022 Olympics and Paralympic Winter Games. We wish the Government and the People of China best wishes in hosting this world greatest event.
501
345
39
3,961
Nawashukuru nyote kwa salamu za kheri katika siku yangu ya kuzaliwa. Nimeuona upendo wenu, na ahsanteni kwa Dua zenu. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na umri. Ninawaahidi kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na maarifa katika kuitumikia nchi yetu. Kazi Iendelee.
1,018
517
72
4,292
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim, mtumishi mahiri wa umma wa Watanzania, Afrika na Dunia kwa zaidi ya miongo minne. Katika siku hii adhimu ya kumbukumbu ya miaka 80 ya kuzaliwa kwako, tunakushukuru kwa utumishi uliotukuka kwa nchi yetu.
469
485
28
4,516
Nimeshtushwa na vifo vya Watu 14 wakiwemo Wanahabari 6 vilivyotokea leo asubuhi baada ya gari lililokuwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kugonga na Daladala. Poleni Wafiwa, Wanahabari na jamaa wote. Mungu aziweke mahali pema roho za Marehemu na Majeruhi wapone haraka.
793
516
49
4,370
Jaffar Haniu retweeted
Naipongeza Timu ya Taifa ya Walemavu ya Mpira wa Miguu (Tembo Warriors) kwa kufuzu Kombe la Dunia nchini Uturuki Oktoba, 2022. Nawapongeza viongozi wa Wizara na TFF na nawataka mfanye maandalizi mazuri zaidi kuelekea michuano hiyo ili tuwe na timu bora itakayotutangaza vyema.
493
259
39
3,127
Jaffar Haniu retweeted
Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
1,295
584
85
4,981
Nimerejea nchini kutoka Lilongwe, Malawi ambako nimeshiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC. Katika mkutano huo tumejadili masuala mbalimbali ya kuimarisha utengemano wa SADC ili kuongeza fursa za kukua kwa uchumi, kuimarisha usalama na ustawi wa wananchi
1,691
450
96
5,795
On behalf of the people of the United Republic of Tanzania, I congratulate H.E @HHichilema on your victory in the Zambia's General Elections. Indeed, your election is a testimony of confidence that Zambians have bestowed on you. I assure you our support and cooperation.
188
204
17
1,799
Kwa niaba ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali, nakupongeza Mhe. @HHichilema kwa ushindi ulioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Zambia. Ushindi huo ni uthibitisho wa imani ya wananchi wa Zambia kwako. Naahidi kukuza uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi zetu.
1,034
525
79
5,319
Jaffar Haniu retweeted
Nawapongeza timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 23 kwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA-2021). Ushindi huu ni heshima kwa nchi yetu na ni chachu ya kukuza michezo. Natoa wito kwa wadau wa michezo kuendeleza jitihada za kukuza michezo yetu.
1,091
422
74
5,659
Sayansi imetusaidia mengi, hata hapa tulipofika upo mchango mkubwa sana wa Sayansi. Muda ukiwadia tukubali kuchanja
1
4
20
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bi. Anna Mghwira (Mkuu wa Mkoa Mstaafu). Katika utumishi wake alikuwa mchapakazi, jasiri na aliyepigania maendeleo hasa ya Wanawake. Nawapa pole wafiwa wote, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.
1,527
516
76
6,068
Jaffar Haniu retweeted
Nakupa pole Ndg. @freemanmbowetz (Mwenyekiti wa CHADEMA) na wafiwa wote kwa kuondokewa na ndugu yenu mpendwa Charles Mbowe. Nawaombea moyo wa subira, uvumilivu na ustahimilivu katika kipindi hiki cha majonzi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe, Amina.
1,117
818
116
7,728
I had a productive conversation with Tanzanian President Hassan today. Our partnership is strong and enduring, and together we are working to ensure a peaceful, prosperous future for all Tanzanians – this includes our continued cooperation to fight the COVID-19 pandemic.
580
315
42
1,836