
Digital Civic Engagement Enthusiast | Fmr Hub Coordinator for @SharqYouth in Kenya | Multi-format, Bi-lingual Storyteller(🇰🇪🇹🇿), championing human rights |
Kenya 🇰🇪 , Tanzania 🇹🇿
Joined February 2017
- Tweets12.3K
- Following2.2K
- Followers2.3K
- Likes61.8K
Pinned Tweet
🧠The Emotional Side of Activism
Fighting for justice empowers, but also drains. How do activists protect their mental health?
Join @SharqYouth Hub in Kenya for a space on Nov 15 | 8–9:30 PM with @MachariaSalima, @TitoMagoti, Maxence Melo & @RehemaYussuf.
Let's talk resilience
Kenyans, notice how egoistic TZ Police claim Kenya isn't 'heaven' and that they can pick anyone from Kenya when they like? We must reject that mindset. Kenyan soil must not become a tool for torturing fellow Africans seeking refuge. Guard the safe haven jealously!
Mimi SATIVA ikija kutokea NIMETEKWA KENYA wahusika wakuu ni JESHI LA POLISI LA TANZANIA.
Hii Email nilitumiwa mwaka jana 9/11/2025 na dawati maalumu la "Doria mtandaoni" (Crime Desk).
Na alietuma Email hii ni AFANDE "ASP JOHN KAAYA" alikuwa shahidi namba 4 kwenye Kesi ya UHAINI YA MH LISSU.
Hii taarifa itunzwe kwa wivu mkubwa sana, najua hii nchi itakuja kukombolewa hata kama sitaona ukombozi wake ila hawa watu wanaotupoteza lazima wapate HAKI YAO.
CASE CLOSSED.
Hats off to Tanzania's @macdemelo, now one of only five global finalists for the 2026 Netherlands Human Rights Tulip Award. This honour rightly celebrates his enduring commitment to civil liberties and open discourse.
Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Marjo Crompvoets amesema Tuzo hiyo ya Haki za Binadamu ya Ubalozi wa Uholanzi (Netherlands Human Rights Embassy Tulip Award) inalenga uhuru wa kujieleza na Uhuru wa Intaneti, Uhuru wa Dini na Imani, Watetezi wa Haki za Binadamu na nafasi ya Kiraia, kukabiliana na haki sawa kwa Wanawake na Wasichana.
Ameongeza kuwa, Maxence ameingia katika orodha fupi ya washiriki watano bora wa fainali ya Tuzo Kuu ya Haki za Binadamu ya Tulip kati ya Wagombea 26 Duniani kote. Sherehe ya utoaji wa tuzo kuu itafanyika Desemba 17, 2026, Jijini The Hague, Uholanzi.
Zaidi jamii.app/TulipAward2026
#JamiiForums #FreedomOfExpression #CivilRights #HumanRights #Accountability
15
In short, he saying "you Kenyans are too needy to throw shade at me" 🤣🤣........bt personally I think he'll impress next year inshallah.....that team sio mbaya vilee.
Benni McCarthy on criticism from Kenyans:
“When I go home I put my head on the pillow, I sleep like a baby. My life is complete, I don't have to worry about hot water but somebody sitting on his phone he's maybe doesn't eat for two weeks but he can quickly say aah that coach..”
#HarambeeStars
21
Oops! Affordable housing or affordable hardship? #SisemiKitu
Wakazi wa mradi wa nyumba za gharama nafuu wa Mukuru Affordable Housing jijini Nairobi wanalalamikia uhaba wa maji, huku baadhi wakidai kukaa hadi miezi mitano bila huduma hiyo ya maji
Hali hiyo imewalazimu kutafuta maji nje ya makazi na kuyabeba kwa madumu hadi nyumbani kwao, huku wanaoishi ghorofa za juu wakikabiliwa na ugumu zaidi, hasa lifti zinapoharibika na kuwalazimu kutumia ngazi.
More jamii.app/MukuruHouseMaji
#JamiiForumsKE #KenyaNews
18
Ikaria retweeted
Tume ya Huduma za Walimu Kenya (TSC) imemteua Cheptumo Ayabei kuwa Katibu na Afisa Mkuu Mtendaji mpya, akichukua nafasi ya Nancy Macharia aliyestaafu Juni 2025 baada ya kuhudumu kwa miaka 10
Uteuzi huo ulitangazwa Novemba 16, 2026, baada ya kukamilika kwa mchakato wa ushindani wa ajira na kuzingatia Katiba ya Kenya pamoja na Sheria ya Tume ya Huduma za Walimu ya mwaka 2012.
More jamii.app/MtendajiMpyaTSC
#JamiiForumsKE #KenyaNews
🥺Nairobi - Garissa 🛣️
Mafuriko yamekatiza usafiri katika Barabara kuu ya Nairobi-Garissa, eneo la Daraja la Baharini (Mbakini), Mwingi, Kaunti ya Kitui, baada ya mvua kubwa kusababisha maji kufurika na magari kukwama
Hali hiyo imesababisha foleni ndefu na kuathiri wasafiri na usafirishaji wa bidhaa. Changamoto imezidi kutokana na daraja la eneo hilo kuwa bado chini ya ujenzi
More jamii.app/MwingiMafuriko
#JamiiForumsKE #KenyaNews
21
She was serious.....if you are in Kirinyaga, no more strip clubs for you. Kamcheki mkeo nyumbani.
“Nafurahia kusema ya kuwa zile bar ambazo zilikua zimeanza unenguzi wa viungo wakicheza wakiwa uchi wa mnyama, nafurahi kusema ya kuwa zimefunga,” Kirinyaga County Commissioner Shufaa Omar Mwijuma says dancing naked in clubs has stopped
53
Come on @Harambee__Stars 💪!
Kocha Mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, amesema hana tena uhusiano wa kihisia na timu ya taifa ya Afrika Kusini, Bafana Bafana, akisisitiza kuwa dhamira yake ni kuipa Kenya matokeo mazuri
Akizungumza kabla ya mchezo wa marudiano dhidi ya Afrika Kusini katika Uwanja wa Nyayo, Nairobi, McCarthy alisema licha ya kuwa raia wa Afrika Kusini, moyo wake wote upo kwa Harambee Stars na analenga kuiongoza timu hiyo kupata pointi tatu.
More jamii.app/McCathyHarambee
#JamiiForumsKE #KenyaNews
1
93
I have so many questions marks on this and I think @Plugtv_kenya should provide further clarity on this matter. You say you received the footage? Has its authenticity been established and what efforts have been made to obtain the other side of the story?
A Kenyan has exposed alleged mistreatment of Kenyans at Tanzania's main immigration office in Posta, Dar es Salaam.
He claims that foreigners are being detained, beaten and subjected to abuse. He deliberately overstayed his visa by just one day to experience the process firsthand and secretly recorded what allegedly happens behind closed doors.
If these allegations are true, this is deeply concerning. Is this how fellow East Africans should be treated?
Kenya🇰🇪 becomes first African country to host the Global Parliamentary Summit Against Hunger and Maltunitriton following previous meetings in Spain in 2018 and Chile in 2023.
Kenya imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuandaa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Wabunge Kuhusu Njaa na Utapiamlo, unaofanyika Novemba 16–17, 2026, katika Bunge la Kenya jijini Nairobi
Mkutano huo umewakutanisha zaidi ya wabunge 250 kutoka mabunge zaidi ya 100 duniani, pamoja na wadau wa kimataifa, asasi za kiraia na sekta binafsi, kujadili nafasi ya mabunge katika kutunga sheria, kupitisha bajeti na kusimamia sera za kuimarisha usalama wa chakula.
More jamii.app/MkutanoNjaa
#JamiiForumsKE #KenyaNews
2
92
Ikaria retweeted
Waziri wa Elimu, Julius Migos Ogamba, amekanusha madai kuwa msimamizi wa mitihani ya KCSE aliyeshambuliwa Kwale alilengwa kwa kukataa rushwa ya KSh 50,000 ili kuruhusu udanganyifu wa mitihani
Ogamba alisema shambulio dhidi ya Julius Ndurya halikuhusiana na mitihani, akieleza kuwa alishambuliwa majira ya saa nne usiku alipokuwa akirejea kutoka kwenye shughuli zake binafsi, si ndani ya shule aliyokuwa akisimamia mitihani
More jamii.app/KanushoRushwaKwale
#JamiiForumsKE #KenyaNews
It's 'mavazi politics' now in Kenya. Which one will get to Ikulu🏘️ in 2027? The suit👔 or the T-shirt👕?
Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ameibua mjadala kuhusu utajiri wa viongozi baada ya kudai kuwa mavazi aliyovaa Rais William Ruto katika harusi ya bintiye, Charlene, jijini Mwanza, Tanzania, yalikuwa na thamani ya jumla ya KSh milioni 70
Akizungumza katika mazishi ya dada wa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, Kaunti ya Nyeri, Sifuna alidai koti la Rais lilikuwa na thamani ya KSh milioni 20, saa KSh milioni 30 na viatu KSh milioni 20, huku akitumia madai hayo kuhoji uhusiano kati ya mwonekano wa viongozi na uwezo wao wa kisiasa
More jamii.app/SifunaMavaziRuto
#JamiiForumsKE #KenyaNews
54
Ikaria retweeted
Tunapambana sana kwenye maisha ambayo yanaweza kuisha dakika moja, Mungu atupe Mwisho Mwema🙏
Travel a few Kms from Nairobi's CBD and you will see for yourself the hard lives many residents are enduring.
Cover similar distances in other East African capitals and the contrast in basic services for the urban poor becomes hard to ignore..... Wakenya wanapitia hali ngumu.
Wakazi wa eneo la Sodom, Kawangware, wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji kutokana na kuharibika kwa miundombinu, hali inayowalazimu kugombania maji na kutumia maji yasiyo salama yanayopatikana karibu na mitaro ya wazi ya maji taka na taka ngumu
Changamoto hiyo imeongeza mvutano miongoni mwa wakazi, huku baadhi yao wakichukua hatua hatarishi ili kupata maji kwa matumizi ya kila siku
More jamii.app/ShidaMajiKawangwar…
#JamiiForumsKE #KenyaNews
Ikaria retweeted
Watu sita wamefariki na wengine 11 kujeruhiwa baada ya ukuta wa uzio wa eneo la ujenzi kuporomoka katika mtaa wa Riverside, Nairobi, Novemba 14, 2026
Tukio hilo lilitokea majira ya saa tano asubuhi karibu na jengo la Grand Residence, wakati wafanyakazi wakiendelea na shughuli za ujenzi. Ukuta huo uliwafunika baadhi yao, huku wafanyakazi 39 wakiwa eneo la tukio.
More jamii.app/UkutaWadondoka
#JamiiForumsKE #KenyaNews
Fact-check update: There is no credible evidence that @edwinsifuna said the circulating quote about 2027. Always check before you share.
JamiiCheck imebaini kuwa, hakuna ushahidi unaothibitisha kuwa Edwin Sifuna alitoa nukuu hiyo. Hakiki taarifa kabla ya kuisambaza.
Zaidi Soma jamii.app/SifunaNukuuUrais
#JamiiCheck #FactCheck #FactChecking #VerifyBeforeYouShare #HakikiTaarifa
Ikaria retweeted
Manchester United captain Bruno Fernandes has rejected a second contract offer from the club, with his current deal due to expire at the end of the season 📝
Ikaria retweeted
Rais wa Kenya, William Ruto, amemteua Lydia Sitienei Chelagat kuwa Kamishna wa pili wa Ulinzi wa Data nchini humo, akimrithi Immaculate Kassait aliyemaliza muhula wake wa miaka sita
Uteuzi huo ulitangazwa Novemba 9, 2026, na Msemaji wa Serikali, Charles Owino, baada ya mapendekezo ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC). Hata hivyo, jina lake limewasilishwa Bungeni kwa ajili ya kuidhinishwa kabla ya kuanza rasmi kazi.
More jamii.app/UteuziDataLydia
#JamiiForumsKE #KenyaNews






































