Soap dishes
Shower
Jakuzi
Choo
Kama una plan ya kuweka hivi vitu kwenye nyumba yako hakikisha process zake unazianzia mwanzo kabisa wakati wa kusimamisha boma au baada tu ya kusimamisha boma
Hakuna kitu huwa kinauma kama mtu ajipige awezavyo afungue office yake/sehem ya biashara then ghafla tu iungue moto/kuvunjwa kuibiwa/au kutolewa kwa ghafla sehemu aliyowekeza
1
4
209
Mwanamke ni lango la ulimwengu wa roho,shetani alimuendea Eva/hawa na akauangusha ulimwengu. Mungu alimuendea Mariam na akaupata ulimwengu. Women! Be on guard โ๏ธ
Katika pitapita zangu IG nikakutana na hii kitu weeeeeh๐๐ nasomaga za wanaume mara nyingi ila Leo nimeona hii ya wanawake itoshe kusema Mimi ni ka Malika kadogo aisee๐ฅน๐ฅน
Tufanye kuomba kuwa jambo la kawaida katika maisha yetu.
Siku hizi watu hawana wivu tena na vitu vya mali pekee. Wanaweza kuwa na wivu kwa sababu ya haiba yako, namna watu wanavyokupenda na kukuunga mkono, pamoja na uwezo wako wa asili wa kuongoza.
Ni vitu ambavyo pesa haiwezi kununua.
#Morningfromthisside๐
Ukimuuliza mwanaume kwanini ana cheat/ chepuka. Atakua na sababu 100 za kucheat as if anakila sababu ya kuhalalisha kosa lake kuwa Yuko sahihi.
Kiufupi huwezi shindana na hii gender ๐ฎ
Mungu alimuuliza Adamu umefanya Nini?badala ya kukiri kosa lake ila alianza kumlaumu hadi Mungu๐ kwamba ni huyu Mwanamke ulieniletea
Wao kutupia lawama ni kawaida yao toka kuubwa
Mdada Creative Decor ๐๐๏ธ๐จ retweeted
Nashindwa hata niseme neno gani kwa Mwenyekiti, ni maumivu juu ya maumivu ,hili ni pigo lingine kubwa kwa Mwenyekiti bado week mmoja tuu kabla ya Hukum kutoka yupo ndani, anapokea taarifa za kifo cha Kaka yake , HAKUNA MTANGANYIKA ANAYEWEZA KUVAA VIATU VYA T. L ๐๐ฅบ๐ ๐๏ธ
Mdada Creative Decor ๐๐๏ธ๐จ retweeted
May the innocent souls of our fallen soldiers rest in peace. They gave their all and will never be forgotten. ๐๏ธ
Mdada Creative Decor ๐๐๏ธ๐จ retweeted
Wameua wazazi wenu wasio na hatia na kuwaacha yatima, kisa uroho wao wa madaraka. Mungu aliye hai na haki atawapigania daima. ๐
Replying to @mangekimambi
Tunaomba hii video ianze kutembea upya Dec 7 hadi 9 Tanzania nzima na kila kona na kwa kila mwenye smartphone aipate.
Tunaenda kuanza upya. Mungu azidi kuturehemu.
@tanpol mnaenda kuilipa hii, just soon.
























