๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz) header
๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz) profile picture

โ™ค Mechanics Engineer โ™ค Hustling Is The Rule # 1โ™ค

Joined October 2012
Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)Photo by ๐Ÿ•ฏ (@jacksoncharz)
๐Ÿ•ฏ retweeted
Dah kumamake hii imenigusa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”๐Ÿ’”
41
1,114
26
5,463
143,822
Huyu siku itafika ya kujichukulia sheria mkononi shubaamiitii, Malaya anyang'anywe na hilo jina
Huyu kuna siku atakutana na watu waliopoteza wapendwa wao, aisee watamfirimba. Acha ngoma iendelee kulia!!
14
๐Ÿ•ฏ retweeted
Bro went bar to bar with Jamhuri, defended himself with no access to his lawyers and witnesses and the Cort didn't find him guilty of TREASON. He didn't lose his mind and kept smiling in every appearance he made despite foul play, Tundu Antipas Lissu is GOATED ๐Ÿ™Œ
3
175
4
434
11,173
๐Ÿ•ฏ retweeted
"Ulishitakiwa kwa kosa la kunywa pombe wakati wa kazi, ila tumekuta hauna hatia.. lakini acha tuangalie kwanini haukuwa kazini, wewe ni mzururaji."
63
208
6
1,078
20,710
โ€ผ๏ธSoma huu ujumbe mzuri kutoka wa mdauโ€ผ๏ธ KIFUNGO KINAWEZA KUWA HUKUMU YA MAHAKAMA, LAKINI SI LAZIMA KIWE USHINDI WA HAKI! Kuna nyakati katika historia ambapo mtu anasimama mbele ya mahakama ya wanadamu, lakini dhamiri yake inasimama mbele ya Mungu. Leo, ninapomtazama Tundu Antipas Lissu, ninakumbuka vijana watatu wa Kiebrania โ€” Shadraka, Meshaki na Abednego. Mfalme Nebukadneza aliweka sanamu ya dhahabu na kutoa amri kwamba kila mtu apaswa kuisujudia. Adhabu ya kutotii ilikuwa kutupwa katika tanuru ya moto mkali. Lakini vijana hawa watatu walikataa kupiga magoti. Walijua gharama ya msimamo wao. Walijua kilichowasubiri. Lakini walikuwa na jambo moja ambalo hata mfalme hangeweza kulinyangโ€™anya: Uaminifu kwa dhamiri na Mungu wao. Maneno yao yalikuwa ya kihistoria: โ€œMungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoaโ€ฆ Lakini kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatutaitumikia miungu yako.โ€ (Danieli 3:17โ€“18). Hawakujadiliana na dhamiri zao ili kuokoa maisha yao. Katika hali inayozungumziwa kuhusu Tundu Lissu, kifungo chake kinaweza kuonekana kama ushindi wa hukumu ya mahakama, lakini kwa wale wanaoona msimamo wake kama kukataa kujidhalilisha ili kupata huruma, kuna maana nyingine ya ushindi: ushindi wa kusimama katika kile unachokiamini hata unapolazimika kulipa gharama kubwa. Ni jambo la kusikitisha pale mtu anapofika mahali ambapo anaamini kwamba ili apate huruma, ni lazima apige magoti na kuacha msimamo wake. Haki haipaswi kuwa zawadi kwa wale wanaonyenyekea mbele ya wenye mamlaka. Haki ni haki kwa kila mtu, bila kujali nafasi yake, itikadi yake au msimamo wake. Shadraka, Meshaki na Abednego hawakushinda kwa sababu hawakuingia motoni. Walishinda kwa sababu moto haukuweza kubadilisha msimamo wao. Na hapa ndipo tunapopaswa kutafakari: Je, ushindi wa kweli ni kutoka gerezani, au ni kutopoteza utu, dhamiri na msimamo wako hata unapokuwa gerezani? Historia inaweza kurekodi kifungo cha mtu, lakini haiwezi kwa urahisi kufuta ujasiri wa mtu aliyekataa kuisaliti dhamiri yake. Mungu ni hakimu wa haki. Na haki, siku zote, inapaswa kutafutwa bila woga wala upendeleo. #Justice #HumanDignity #TunduLissu #Daniel3
1
49
207
10,191
Hiki kichwa sio cha kukaa jela aisee.
6
67
2
273
5,470
Tuliwaambia wamepanga kumfunga miaka mitano! Mnaona sasa? Machawa muwe mnatuheshimu! Mnapenda kusema tunatoa matango pori - ila mabosi wamefuata script ile ile ya Abduli na mama yake! We won on all levels! You loose suckers! Uzuri tulishajua na kujiandaa - you will never know peace! Mwachieni Lissu! Mnachofanya majaji ni kupiga sarakasi na taulo! ACHENI โŒ #FreeTunduLissu #SamiaMustGo
26
211
3
1,143
37,423
๐Ÿ•ฏ retweeted
"Mazingira sio mazuri, lazima tuuwawe na tuumizwe" ๐Ÿ˜ญ
71
435
15,800
๐Ÿ•ฏ retweeted
Vibaya sana Kiongozi kuharibu Nchi yake mwenyewe. Usenge!
17
68
1
501
10,061
Hakuna kazi ngumu kama kuutetea uongo, hasa pale ukweli unapojulikana.๐Ÿ™Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ˜ƒ
3
47
402
4,688
๐Ÿ•ฏ retweeted
Hatetereki wala hatotetereka!! Siku mkichoka na kumwachia, ataendelea pale pale alipoishia. Thatโ€™s Tundu Antiphas Lissu for you!๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
1
29
167
3,641
๐Ÿ•ฏ retweeted
Tundu Anthipas Lissu ana kila sababu na wanampa kila sababu ya kupendwa na raia ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
15
159
3
1,064
17,409
โ€œWaheshimiwa Majaji nashukuru kwa fursa ya kuzungumza. Naomba mnisikilize kwa makini kama ambavyo mmenisikiliza kwa makini mwaka mzima. Naomba pia mโ€™rekodi proceedings kama mlivyoโ€™rekodi vizuri mwaka mzima na nusu. Leo Waheshimiwa majaji ni siku ya 577 nikiwa gerezani kwa kosa la uhaini. Ndiyo kosa kubwa Kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano. Ndiyo kosa pekee lililotamkwa katika katiba, kosa la uhaini. Kwa siku 577 nimeitwa mhaini. Kosa ambalo kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) ambapo adhabu yake inaeeza kuwa ni KIFO. Baada ya siku 577 baaada ya wingu jeusi la adhabu ya kifo kuningโ€™inia juu ya kichwa changu. Leo Waheshimiwa Majaji mmeniita MCHOCHEZI. Kosa ambalo wala halijapangiwa adhabu. Unaona hapa, wakili mkuu wa serikali anahangaika kutafuta hii adhabu yake ni nini., anasema nipewe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine, nihukumiwe kifungo cha miaka mitano gerezani. Hii maana yake ni nini Waheshimiwa Majaji? Waheshimiwa majaji mmesema wenyewe hakukuwa kosa. Kwa hiyo nimekaa gerezani siku 577 bila kosa lolote. Kuna kitu kimoja hamjakisema nitakisema kwa ajili ya kumbukumbu za Mahakama. Ushahidi wangu umethibitisha kwamba hii ilikuwa kesi ya kisiasa. Kugeuza Mahakama kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa, itโ€™s an obvious political persecution. Kwa sababu ni political persecution inabidi viโ€™sababu vitangenezwe vya kumfunga huyu mgomvi wetu. Viโ€™sababu vya kumfunga huyu mpinzani wetu. Hili kosa la UCHOCHEZI ni kisa ambalo ninyi Waheshimiwa Majaji mmelitengeneza. Mimi nilishitakiwa kwa UHAINI na kusambaza taarifa za uongo. Mmetafuta kosa ambalo halikuwepo, mmenipa. With all due respect mmefanya hivyo kwa sababu za kisiasa na kwa maelekezo ya kisiasa tu. Ni kama mmeambiwa, huyu mtu hana kosa lakini tafuteni kosa lingine dogo, isije ikaonekana serikali imepata aibu. Mimi ninajua mtaniโ€™hukumu. Na mnaonekana tayari mnayo hukumu, l feel it in my heart.โ€ Tundu Antiphas Mughwai Lissu, O6 November 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania katika hukumu ya kesi yake ya uhaini.
65
410
15
1,868
91,789
๐Ÿ•ฏ retweeted
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Mwikabe Waitara, amekosoa ufafanuzi uliotolewa na serikali kupitia Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusiana na gharama za ujenzi wa Uwanja wa Arusha, akisisitiza kuwa Serikali haijatoa majibu ya kuridhisha na mapendekezo ya Bunge kuhusu suala hilo yanasimama palepale. Akizungumza na Jambo TV, Waitara ameeleza kuwa maelezo aliyoyatoa Waziri Makonda hayakuwa majibu ya hoja za ukaguzi zilizowasilishwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kwani hakueleza jinsi Serikali ilivyoboresha au kujibu hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Waitara amebainisha kuwa kisheria na kikatiba, CAG ndiye jicho la Bunge katika ukaguzi wa fedha za umma. Ameeleza kuwa baada ya CAG kukamilisha ukaguzi na kukabidhi taarifa kwa Rais, ilipelekwa Bungeni ambapo Kamati ya PAC iliwaita wataalamu wa wizarani kujieleza, ikafanya ziara ya ukaguzi eneo la mradi, na hatimaye ikakubaliana na hoja za CAG. "Kwa mujibu wa Sheria jicho la Bunge kwenye ukaguzi wa PESA ni CAG... Kamati ikiwasilisha taarifa Bungeni hiyo inakuwa taarifa ya Bunge, Waziri akikataa taarifa ya Kamati anakuwa amekataa taarifa ya Bungeโ€ฆ ile siyo namna bora ya kujibu hoja za Bunge," amesema Waitara. Waitara ameongeza kuwa Bunge bado halijapata ufafanuzi wa kutosha kuhusu jinsi gharama za mradi huo zilivyopanda kutoka zabuni ya awali iliyotangazwa kupitia mfumo wa NeST hadi kufikia mkataba wa Shilingi bilioni 338, huku akirejea ripoti ya CAG iliyoainisha kuwa kuna fedha zililipwa kwa kazi ambazo hazikufanyika. Pia, Waitara amepinga maelezo yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Gerson Msigwa, pamoja na Waziri Makonda kuwa ongezeko hilo lilisababishwa na maelekezo ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Akiwa bungeni jijini Dodoma, Waitara alisema endapo Bunge lingekuwa linawajibika ipasavyo, Msigwa na wote waliohusika na mchakato wa matumizi hayo ya fedha kutoka Shilingi bilioni 187 hadi Shilingi bilioni 338 wangekuwa gerezani au kufikishwa mahakamani. Hata hivyo, Waziri Paul Makonda alitetea ujenzi huo akieleza kuwa Uwanja wa Arusha hauwezi kulinganishwa na Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao unakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuchezwa mvua inaponyesha. Makonda alieleza kuwa gharama za Shilingi bilioni 338 zinajumuisha takribani Shilingi bilioni 52 za kodi (kutoka makadirio ya awali ya Shilingi bilioni 107 yasiyo na kodi) na miundombinu ya kisasa kama vile Sky Boxes 21 na lifti sita, huku akisisitiza kuwa mfumo wa manunuzi wa 'Single Source' ni njia halali kisheria.
2
8
2
90
5,034
VIDEO: Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na mwanaharakati wa kupinga mapenzi ya jinsia moja Dudu Maba, Mamba24 amewajibu waliofanya tamasha la mapenzi ya jinsia moja na kudai kuwa watamshitaki.
2
16
2
221
16,331
Watu Wa Dar Shikamoo
Watu Wengi Wanajua Dar Ndio Mkoa Ambao Kuna Mashoga Wengi, Lakini Ukweli Ni Kwamba Mikoani Kuna Mashoga Wengi Kuliko Dar. Fanya Tafiti.
14
10
58
8,475
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
โ€œMtu umekaa zako huna hili wala lile unashangaa wanakuAdd kwenye WhatsAap Group la Wazee na Maendeleoโ€ฆโ€
1
51
EXCLUSIVE ๐Ÿšจ Pacome Zouzoua ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎhas a claim against Yanga SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. The clubโ€™s leadership and Pacome had reached an agreement: They would provide medical treatment until he fully recovers, and in the meantime, he would be removed from the official registration system 1/2
4
4
1
195
22,041
๐Ÿ•ฏ retweeted
Mbunge ang'aka greda la milioni 369 kununuliwa kwa bilioni 1.2.
14
33
6
221
12,381
Katiba mpya nayo itupe uwezo wa kumtoa mbunge kabla ya miaka mitano kama hatotimiza ahadi zake.
19
54
3
376
9,452