Rashad retweeted
Baada ya kuona hili nikasema na mimi ngoja nipitie pitie DM kwangu kumbe alishawahi kuja bhana.
Nikaombwa kitita cha 7k na kuahidiwa kulipwa lakini kwa kuwa mimi ni jobless nikampanga.ππππ
Ila Mwakimi anatakiwa kujitafakari sana hii siyo sawa hata kidogo anajiharibia mno.
Huyo Boda Boda Anamfanyika Kazi huyo Dada?
Rashad retweeted
Armchairs 600,000
Spring&fiber na godoro dodoma
π Tunapatikana Ubungo Msewe.
πDELIVERY IPOOO!
π Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! π β at Dar es Salaam, Tanzania
Mayeeeπππππ
Rashad retweeted
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
ποΈποΈποΈ
Poleni sana walioguswa moja kwa moja kwa majeraha au kupoteza mpendwa wao au kisaikolojia tu kwa kufungiwa ndani na kuhofia usalama wake.
Rashad retweeted
Nimepitia comments za watu wanao post kuomboleza ndugu zetu waliouawa na wengine kudhulika na matukio ya October 29, 2025
Naona baadhi ya watu wanafurahia vifo na maumivu ya wengine kwa sababu tu wako mrengo tofauti niseme tu Mungu yupo
Uhai au mateso ya mwanadamu mwenzako hayapaswi kuwa shangwe kisa tofauti za kisiasa. Leo ni sisi kesho inaweza kuwa wewe au wajukuu zako
Tuwe na mioyo ya nyama na tutangulize ubinadamu kwanza, hakuna kitu cha thamani zaidi ya uhai duniani
Rashad retweeted
Unaweza ukawa na mahusiano au ndoa na bado ukawa unasumbuliwa na UPWEKE kitaalam tunaitaje hii!!?
Mayeeeπππππ
Rashad retweeted
Wapumbavu wengine, wajinga na wasio na akili ni wale ambao wakitaka kuoa ni mpaka wawapeleke wachumba nyumbani kwao afanyiwe tathmini na mama, baba, dada au kaka zake.
Acha ujinga wewe mwanaume, mke ni kwaajili yako sio ya kila mtu. Shenzi wewe!
Rashad retweeted
Replying to @kikaango @AllyAssed13070
Selcom ni bank nzuri sana until muamala wako uje ukwame sehemu, utajutaππ½π
Rashad retweeted
Msela kaoa manzi ya chuga hapa,manzi yenyewe ndio inajiamlia mambo,picha linaanza manzi imepaka BRICHI kichwani na msela yupo hapo,picha linaendelea manzi ikitoka kuoga inaloanisha KHANGA na kupita matikati ya WAPANGAJI mwanamke kama huyu kmmke I I'll be KWEKA JUNIOR! π
π
π
π
Rashad retweeted
This Day Last Year.
Kusema kweli hata tuliopona ni bahati tu ya mwenyezi MUNGU. Vyuma vililia haswa hapo katikati ya mji.
Waendelee kupumzika kwa Amani wale wote waliopoteza Maisha yao. ππ
Rashad retweeted
Sometimes mtu akikublock it doesn't mean mna ugomvi au umewah engage nae ,kuna watu tweet zenu zinakaraisha sana moyo najiuliza tu ni mmekosa utu kiasi iko au ni pesa. Nyie watu mnaona kama vile hii dunia ni yenu pekeenuπππ
Yet again TUTAFANYAJE SASA πππ























