likati thomas (@likati83) profile picture

Outstanding, self motivated || Creative || communications specialist ||

Tanzania
Joined December 2011
Photo by likati thomas (@likati83)Photo by likati thomas (@likati83)Photo by likati thomas (@likati83)Photo by likati thomas (@likati83)Photo by likati thomas (@likati83)Photo by likati thomas (@likati83)Photo by likati thomas (@likati83)Photo by likati thomas (@likati83)Photo by likati thomas (@likati83)Photo by likati thomas (@likati83)
REST IN PEACE EDDO BASHIR. Huyu Jamaa kawasaidia Watangazaji wengi sana wa Maredioni,.Chakushangaza wakati anaumwa Kumsaidia ikawa mbinde. Enzi hizo Ebony FM Iringa, Mbeya, Njombe ukiwa Bush huwezi mkosa jamaa.
18
32
3
256
8,834
likati thomas retweeted
VIDEO: Mawakili mbalimbali wameonekana wakiwa na nyuso za huzuni huku wakiubeba mwili wa Wakili Alute Mughwai Lissu ndani ya jeneza, aliyefariki dunia usiku wa Novemba 1, 2026. Ibada fupi ya kumuaga marehemu Alute inaendelea nyumbani kwake jijini Arusha, ikihudhuriwa na viongozi mbalimbali, ndugu, jamaa na marafiki. mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa kesho kwenda kijiji cha Mahambe, mkoani Singida, ambako anatarajiwa kuzikwa Novemba 10, 2026.
5
63
3
593
28,364
Alafu kuna kanisa langu linajifanya hakuna kitu kilitokea October 29th. hawa sadaka yangu na fungu la 10 wasahau.
1
2
244
likati thomas retweeted
Hizi boxes napata wapi wakuu?
13
10
3
63
7,410
Local Media bado zinajiuliza kama ni kweli au sio kweli. Vinasubiri mwongozo maana na wao hawakutarajia😆😆
37
likati thomas retweeted
Replying to @Fikra_pevu
Biashara ni ushindani, Watanzania wanataka huduma bora, pale Mbezi hakuna uhuru wa huduma bora
4
2
23
3,636
likati thomas retweeted
Kama Serikali imeweza kuyarudisha mabasi Magufuli Stand basi malori yote nayo yaishie Kwala. Mjini hatutaki kuona mabasi yanazurura na wala kuona malori yanapaki hovyo. Vinginevyo itakuwa ni double standard.
12
25
1
226
10,462
Nimetoka dawati la jinsia muda huu nipende kusema kwamba kama una hasira za karibu siku ukiitwa dawati la jinsia wewe kama mwanaume usiende Ile jijsia unateteana sana kwa vitu vya kijinga..
19
29
2
286
18,199
likati thomas retweeted
Serengeti Boys wamefuatwa huko waliko kwenda kupewa presha na watia nuksi. Kabla ya hapo walikuwa wanacheza kwa uhuru na amani kama vile wako mashindano ya UMISSETA na kila aliyetia mguu alichabangwa.
4
15
1
107
5,353
#TajiriLaKihaya Kama Uliona ile Report ya Chande kuanzia mwanzo hadi mwisho… Regardless of the reason… Wewe Hushindwi kumuua mtu! Binafsi sikufikisha dakika 10💔
131
213
6
1,452
31,914
likati thomas retweeted
Uhai wa mtu sio kitu unaweza kufananisha na Mali, tulianza kupona mnatutonesha upya.
32
180
6
1,047
14,196
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
101
751
5
4,171
72,432
likati thomas retweeted
Na iwe 90% wazawa please. Tunataka talent development sio Uyoga.
Azam Basketball Team is on the way. Pia sehemu ya kujenga basketball court ya kubeba 5k fans wa ABT (Azam Basketball Team) hapohapo chamazi lishapatikana.
13
3
3
101
9,588
likati thomas retweeted
Hakuna mtu anaweza kuimba pumbu za mtu watanzania tuna matatizo ya afya ya akili
8
14
42
1,744
likati thomas retweeted
A Taifa Stars moment with the fans. 🇹🇿💙 #TotalEnergiesAFCON2025 | #WeCelebrateDifferent
22
150
6
1,099
28,544
Hakuna maji, umeme umekatwa, joto ni kali na linatuadhibu kweli kweli...tukimbilie wapi?!
1
63
likati thomas retweeted
Tupo kwenye kipindi cha anguko la AKILI TIMAMU, hakuna jamii yenye watu wanaojielewa ikawapa airtime watu kama MACHAWA, viongozi wasio wajibika na WAUWAJI. Ni hatari sana kuwa na akili timamu zama hizi. Very risk.
4
34
2
169
3,230
Nilichokiona leo, Mungu Nipe Ujasiri😭
42
likati thomas retweeted
Makosa ya Kimtandao uwa ni kwa ajili ya Kundi flani tuu la watu, nyie wengine mnagara mnavyotaka tuu
40
39
395
26,372
likati thomas retweeted
Humu ukiona Hoja yako yenye mlengo wa kisiasa imeungwa mkono la Ben, Zach, Bihemo, Salim au Mimilicious we jua tuu umepiga boko 🤣
52
76
9
902
30,583