Hakuna mwenye ubavu wa kusimama na ku battle na Lissu kwenye political grounds, wanajua ndio maana wanahangaika nae akae ndani.
1
155
Diwani retweeted
One of the most dangerous Cages inayotumiwa na serikalii ya Ccm
"National Security Comes Before Everything."
Justifying unchecked state power and restrictions on civil liberties in the name of security.
Diwani retweeted
KIMENUKAAAAAAAAA, naomba niingie kulala, ila nikiamka na ku-drop watoto shule na drop 💣 moja kali.
Video itakuwa hewani saa 1 usiku ya Tanzania.
ISSUE NI DIPU!!!!!
Diwani retweeted
I hope tumejifunza kitu leo kwenye hii issue ya Miss Grand.
Mmefanyishwa kampeni, Mwisho wa siku kampeni inatumika kumsafisha muuaji wa Watanganyika…….
Tunapowaambia hawa watu wanatumika na wauaji kuwatoa kwenye focus muwe mnaelewa……..
Msikubali kutumika kama condom
Diwani retweeted
Kaka hata ungekua wewe nadhani ungefika huko unaumwa CANCER ya Utumbo MKE kabadili HATI za mali kwa jina lake halafu amesha file TALAKA uuguziwe wapi? akuuguze nani? na unajua hapo ni wewe na KIFO au Mungu aamue vinginevyo niko upande wa huyu kaka na Mungu amsamehe.
Diwani retweeted
Africans too were shocked at what they saw from their homes when Europeans invaded and colonised Africa.
Diwani retweeted
Ni bahati mbaya sana , lakini wakati mwingine unamtazama mtu na kuwaza, pengine hapa, uzazi wa mpango ungekuwa msaada kwa taifa.
Katika watu walipaswa kuongoza harakati za mapambano dhidi ya mfumo ni CCM, kwa sababu chama ni itikadi, falsafa na katiba. Kilichopo kwenye hivyo vitatu hakipo kwenye Utawala uliopo, na wapo comfortable wakiamini CCM ndio inatawala, simply kwa sababu anayeumia ni CHADEMA.
4
199
Same people who claim that women grow older earlier than men. Being unable to reason is naturally wired, and you call it misogyny. Damn!
You chase 19 year olds at 30 not because you like them younger.
It's because women YOUR age already dated a guy like you and will never do it again.
You're not mature, you're just rejected by mature women.
103
Diwani retweeted
Freeman Mbowe hajawahi kupata dakika moja amtembelee Tundu Lissu gerezani au mahakamani. Lakini ana muda wote wa kuzurura na Samia, na leo yuko Rufiji kupiga picha ktk bwawa la umeme. I’m proud of y’all for ending his politicalpreneur career!
Diwani retweeted
Ladies. STOP FUCKING HITTING MEN. We do not like it. We will hit back. You will lose. STOP BEING FUCKING IDIOTS.
Diwani retweeted
Afrika Mashariki hakupoi. Ni mbio za kiuchumi.
Tanzania itajenga refinery yake kwa kushirikiana na Uganda na Vitol.
Miongoni mwa mahitaji ya Dangote kujenga refinery yalikuwa ushiriki wa Serikali za Kenya, Tanzania, Uganda na hata Rwanda.
Inavyoonekana, Tanzania na Uganda wana mipango yao. Kuna uwezekano mkubwa Refinery ya Kenya isitokee au ichukue muda mrefu mno kuja kujengwa.
Tanzania, Uganda and Vitol Sign US$20 Billion Tanga Energy Hub Deal to Transform East Africa's Oil Industry
Tanzania and Uganda have signed a $20 billion MoU with Vitol Bahrain to build a refinery, storage and logistics complex at Tanga, moving their EACOP partnership from crude export into refining and fuel distribution.
This comes weeks after Dangote chose Kenya for his planned East Africa refinery.
uchumi360.com/c/energy-criti…
UVCCM humu ni wajanja sana, wana kelele nyingi za ku plead loyalty kwa viongozi na serikali yao. Ila wakikaa critical wanaona kabisa wanalinda upande sio.
1
115
Diwani retweeted
Watu pekee ambao hawana bei pale CHADEMA ni Lissu na Heche.
No amount of money can buy them























