Diwani (@chamalozo) header
Diwani (@chamalozo) profile picture

Unatafuta nini? ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ

Afrika Mashariki
Joined April 2018
One of the most dangerous Cages inayotumiwa na serikalii ya Ccm "National Security Comes Before Everything." Justifying unchecked state power and restrictions on civil liberties in the name of security.
1
12
534
KIMENUKAAAAAAAAA, naomba niingie kulala, ila nikiamka na ku-drop watoto shule na drop ๐Ÿ’ฃ moja kali. Video itakuwa hewani saa 1 usiku ya Tanzania. ISSUE NI DIPU!!!!!
241
481
29
3,763
294,989
I hope tumejifunza kitu leo kwenye hii issue ya Miss Grand. Mmefanyishwa kampeni, Mwisho wa siku kampeni inatumika kumsafisha muuaji wa Watanganyikaโ€ฆโ€ฆ. Tunapowaambia hawa watu wanatumika na wauaji kuwatoa kwenye focus muwe mnaelewaโ€ฆโ€ฆ.. Msikubali kutumika kama condom
109
337
2
2,372
194,326
Kaka hata ungekua wewe nadhani ungefika huko unaumwa CANCER ya Utumbo MKE kabadili HATI za mali kwa jina lake halafu amesha file TALAKA uuguziwe wapi? akuuguze nani? na unajua hapo ni wewe na KIFO au Mungu aamue vinginevyo niko upande wa huyu kaka na Mungu amsamehe.
97
70
9
1,244
104,982
Africans too were shocked at what they saw from their homes when Europeans invaded and colonised Africa.
Elderly British man shocked by what he sees from his home in London.
6,537
28,028
462
240,025
8,834,883
Ni bahati mbaya sana , lakini wakati mwingine unamtazama mtu na kuwaza, pengine hapa, uzazi wa mpango ungekuwa msaada kwa taifa.
54
93
7
1,040
39,768
Freeman Mbowe hajawahi kupata dakika moja amtembelee Tundu Lissu gerezani au mahakamani. Lakini ana muda wote wa kuzurura na Samia, na leo yuko Rufiji kupiga picha ktk bwawa la umeme. Iโ€™m proud of yโ€™all for ending his politicalpreneur career!
113
304
11
1,898
72,322
Ladies. STOP FUCKING HITTING MEN. We do not like it. We will hit back. You will lose. STOP BEING FUCKING IDIOTS.
Any man that hits a woman is a failure
119
787
7
16,963
665,115
... also 8 billion people.
Women created 8 billion people. What did men create?
199
6,656
61
143,415
3,867,298
Afrika Mashariki hakupoi. Ni mbio za kiuchumi. Tanzania itajenga refinery yake kwa kushirikiana na Uganda na Vitol. Miongoni mwa mahitaji ya Dangote kujenga refinery yalikuwa ushiriki wa Serikali za Kenya, Tanzania, Uganda na hata Rwanda. Inavyoonekana, Tanzania na Uganda wana mipango yao. Kuna uwezekano mkubwa Refinery ya Kenya isitokee au ichukue muda mrefu mno kuja kujengwa.
Tanzania, Uganda and Vitol Sign US$20 Billion Tanga Energy Hub Deal to Transform East Africa's Oil Industry Tanzania and Uganda have signed a $20 billion MoU with Vitol Bahrain to build a refinery, storage and logistics complex at Tanga, moving their EACOP partnership from crude export into refining and fuel distribution. This comes weeks after Dangote chose Kenya for his planned East Africa refinery. uchumi360.com/c/energy-critiโ€ฆ
21
8
8
97
17,331
Diwani retweeted
Watu pekee ambao hawana bei pale CHADEMA ni Lissu na Heche. No amount of money can buy them
13
29
2
345
9,456
Diwani retweeted
Huyu hata akila mchango wako unaskia Faraja ๐Ÿ˜‚
Liten langu namtumia Edward atakupa kama halijatosha natuma lingine tena kesho jioni Mh makamu, mwenye wivu ajinyonge.
4
15
1
97
4,173
Stay strong kaka, Watanzania wana Imani na wewe. Wauwaji wanajaribu kukuchafua ili uwe mchafu kama wao na wizi wao na ufisadi wao. Pesa wametoa wananchi ila wanaolalamikia pesa hizi ni wauwaji wa October 29 mpaka wanalipa watu kukuchafua. Wao wanaumwa nini roho? Sisi wananchi tunaotoa hizo pesa tuna Imani na wewe na matumizi ya pesa. Pumbav, pesa tutoe sisi wananchi ila vinembe viwawashe waoโ€ฆ. Pumbav, na Rolls Royce tutamnunulia Lissu akitoka jela ili wauwaji wafeee kabisa.
56
299
1
1,952
100,964
JOHN WEGESA HECHE โœŒ๏ธโค๏ธ
20
159
4
1,135
10,597
Naona muuwaji Samia Suluhu ametutangaza wanaharakati kuwa ni MAGAIDI wakati akipatana na ACT Wazalendo. Yani mshenzi aliyeuwa maelfu akijilazimisha kuwa rais anatuita sisi ni magaidi? Hiki kibri anatoa wapi? Kati yetu na yeye nani GAIDI? Huyu mtu damu za watu zitamtesa sana!
11
147
1
838
17,253
Baada ya Lissu, Heche, na mnyika. Ninayekuamini kuwa na msimamo ni wewe kaka.โœŒ๏ธ Polepole alisema Msikubali Maridhiano baada ya uchaguzi.
Msikubali kutolewa katika mstari. Adui wa CHADEMA siyo mpya. Adui wa CHADEMA ni DOLA KATILI ya CCM. Kuwa KIONGOZI wa CHADEMA ni kukubali kujitoa MUHANGA. Kuwa mwanachama na mfuasi wa CHADEMA ni kuingia vitani. DOLA katili la CCM halipendi kuiona CHADEMA iliyostawi na IMARA.
4
20
154
6,273
Waliona wananchi wanafatilia mikutano ya Chadema zaidi kuliko bunge wakasema ngoja tusitishe shughuli za mikutano ya kisiasa kwa visingizio visivyo na mbele wala nyuma.
3
10
85
2,942
Yanayosemwa kuhusu baadhi ya viongozi ndani ya CHADEMA ambao kwa bahati mbaya sasa watu waliwamini kama ni kweli, basi tuna safari ndefu sana. Like seriously Lema?! Ooh nooo! Well sisi wengine tunaendelea kuwaunga mkono Tundu A. Lissu na John Wegesa Heche na John John Mnyika
1
8
58
1,365
'Ulishinda' kwa 98%, unalaumu 'wanaharakati wa nje,' sasa kwanini umebadili TZ imekuwa police state, na shughuli zimesimama leo? Hivi kwanini mnadhani Watanzania ni wajinga kama mlivyo? Manipulation worked enzi za mwalimu! Subiri next episodes, ombeni uhai!
10
110
872
19,088
CHADEMA imehitimisha salama vikao vyake vya Kamati Kuu vilivyofanyika mjini Kigoma. Maazimio yaliyopitishwa katika vikao hivyo yatatangazwa rasmi na viongozi wakuu wa chama kwa wakati utakaotolewa. Kwa sasa, msimamo na kipaumbele chetu ni mambo mawili tu: Uhuru wa Mwenyekiti Tundu Lissu na Katiba Mpya. Hii ndiyo dira yetu, ndiyo ajenda yetu kuu, na ndiyo mwelekeo tunaopaswa kuusimamia kwa umoja na uthabiti. Vijana wajibu wetu ni ule ule kulinda Chama hiki na viongozi wake kwa wivu mkubwa. Ajenda za Chama zitapiganiwa kwa nguvu zote. #KatibaMpyaFreeTunduLissu
4
78
413
11,079