Prince (@lughxt11) header
Prince (@lughxt11) profile picture

#Feather ruffler #philanthropist # SDG 11

Tanzania
Joined October 2021
Photo by Prince (@lughxt11)Photo by Prince (@lughxt11)Photo by Prince (@lughxt11)Photo by Prince (@lughxt11)Photo by Prince (@lughxt11)Photo by Prince (@lughxt11)Photo by Prince (@lughxt11)Photo by Prince (@lughxt11)Photo by Prince (@lughxt11)Photo by Prince (@lughxt11)
Arsenal will win UEFA 2026/2027
237
Na kuna mtu ety ana shida ya kitu anakuja kununua kwako!! Wewe na unayemuuzia wote akili hamna. You deserve to be behind bars and not otherwise
This quoted post is unavailable.
34
Prince retweeted
Akuna kupiga goti akuna kupita njia za panya huyu Ndio mtu anayeshinda na crook’s ambao watatunga sheria Tundu Lissu
2
41
198
6,268
My personal experience with CCM in 23 years. 1.Economy 1/10 2.Rule of Law 0.3/10 3. Education 0.3/10 4.Public service delivery 1/10 5.Cost of living 0.3/10 6.Democratic freedom and human rights 0/10 Foreign relations 3/10 If I had a lawyer I could have explained in detail.
My personal experience with UPND in 6 years. 1.Economy 1/10 2.Rule of Law 0.3/10 3. Education 3/10 4.Public service delivery 3/10 5.Cost of living 0.3/10 6.Democratic freedom and human rights 0.5/10 Foreign relations 2/10 If I had a lawyer I could have explained in detail.
38
Duuh
Replying to @Ninja_Damour
Mteja kwangu BOYA tu kama wana jeuri wapande ndege waje wenyewe Dubai kama rahisi wanataka kuleta mazoea wasenge wasenge tu
1
11
Hapa kaongea kama mzito wa sisiemu
Kati ya moja ya vitu alivyoongea Lema leo ambavyo vimemuanika ni hii sentensi pia. Imagine anasema “ watu wanakufa” na sio wanauawa. Pili ananilaumu mimi kwa October 29 na hamlaumu alietoa order wananchi wauliwe na waliotelekeza order. Hamlaumu kimama na polisi. Instead anasema wananchi wanapende polisi…..
19
Sema hapa umemfanyia spinning aise
This quoted post is unavailable.
1
41
Huyu dogo si ni mwizi?
...... WATANZANIA SHALOM!
1
1
200
Prince retweeted
October 29, 2025 Tarehe ambayo watanzania hatutaisahau!!
13
249
6
1,136
23,908
Prince retweeted
Amen #FreeTwahaMwaipaya REPOST 200
8
174
1
530
11,828
Prince retweeted
WAKENYA hii ishu tunataka iishe salama kwa kutupa ndugu yetu akiwa mzima si vinginevyo. REPOST 200 #FreeTwahaMwaipaya
3
327
3
1,086
11,735
Prince retweeted
Tunashukuru WAKENYA wanaoungana nasisi kwenye kipindi hiki kigumu. #FreeTwahaMwaipaya Repost 200
9
310
5
1,076
18,073
Damn Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
13
How does LeBron James remember every single handshake?? 😭😭
LeBron James has a different handshake style with everyone in the NBA 😭😭
431
5,626
288
55,765
4,091,725
#TajiriLaKihaya Hivi hapa MADENGE ndio alikua Anavishwa Pete au COCO??
141
43
8
497
34,156
#DearNyerere sikuiz bila kujitoa akili kama hivi au kua familia ya viongoz wa juu hupati nafasi ya uongozi kweny hii nchi. Ni either uwe chawa au uzaliwe kweny familia zao..Meritocracy ilishajifia kitambo
Kaka, unaniangusha aseee haya maswali ya CCM imefanya nini miaka 60 yanapaswa kuulizwa na watoto au wajinga kaka.🤷🏾‍♂️ Mtu mzima hawezi kuuliza au kusema hivi kwasababu anajua uhalisia wa nchi ilipotoka kaka. Ukitaka kujua CCM imefanya nini, waulize wazazi wako na wazee wetu, wanajua Tanzania ilikotoka na ilipofika. Amani tuliyonayo, upanuzi wa fursa za elimu na afya, barabara za lami hadi Shinyanga na sasa SGR ni ushahidi wa hatua tulizopiga. Si kwamba kila kitu kimekamilika, lakini lazima tutambue tulikotoka. Sasa kaka, unataka CCM ifanye nini zaidi ili uone imefanya kazi? 🤷🏾‍♂️ sasa hivi hata kwenye mikutano yenu kutukana serikali mnaenda na ndege au SGR bado huoni kitu😁🤷🏾‍♂️embu nambie mnataka tufanye nini ili mseme tumefanya.
45
Wajina manyaunyau
Kwenye derby ya leo kati ya Simba na Yanga, naomba correct score yako. Baada ya mechi tukupongeze. Mimi Simba 2-1 Yanga.
1
1
1
36
Kigogo ms*ng sana kashasahau yeye ndo alitumika kumg'oa Chongolo kwa kuvujisha mavideo feki sijui ya kweli yale🤣🤣. Kigogo ww uwe na dau zuri tu- hachagui upande na hana upande. Bado maparody yake ya kina mapung'o na Sisimizi hayajaja
SIASA ZA MAJITAKA HAZIJAANZA LEO NA WALA SIYO NGENI WATU wengi sana humu mitandaoni hawajui nini kilitokea miaka hiyo ndani ya CCM wakati wanataka kupata mgombea wa kupeperusha bendera yao kwenye uchaguzi mkuu wa uRais. HAKUNA kipindi katika historia ya CCM waliwahi kuwa na mgombea mwenye sifa lukuki na zilizopitiliza kama Dokta Salim Ahmed Salim na kwa walio karibu na medani za kisiasa ndani ya CCM walisema huyu ndiye alikuwa chaguo la sahihi kabisa nyakati zile. Dokta Salim Ahmed Salim hakufanikiwa kuwa mgombea wa CCM kwa sababu maguluguja ya wanamtandao walimpiga fitna haswa na siasa maji taka ilitembea kweli kweli mpaka alifikia mahali wakamchafua kuwa siyo mtanzania halisi na wala siyo mzanzibari halisi kwa kuwa ana ndugu yake wa damu ni mwanajeshi kwenye cheo cha juu sana kwenye jeshi la Oman. HAWAKUISHIA hapo tu wakamhusisha kuwa yeye ni mwanachama wa HIZBU (wengi hamjui Hizbu ni kitu gani) na alikuwa miongoni mwa watu waliohusika kwenye kumuuwa Rais wa Zanzibar miaka hiyo Mzee Karume. Dokta Salim alipigwa siasamajitaka kwelikweli akajikuta anasusa na kuingiwa hasira na kususa na kuingia kichefuchefu na hakuutaka urais wenyewe tena. Mwishowe akajikuta hafanyi juhudi za kuutaka urais ambao alikuwa ameukaribia sana kuupata. Hakuna mtu alikuwa amemzidi Dokta Salim kwa sifa za kuwa mgombea urais na pengine kuwa Rais wa Tanzania. KASHFA za kutengenezwa zilitumika sawasawa na akachafuliwa kwelikweli akajikuta kakosa alichokuwa anaota na ndoto yake ya kuwa Rais wa Tanzania.. LOWASSA ni mfano mwingine wa karibuni ambao kizazi cha sasa kinawezak kuukumbuka kwa ufasaha sana. Huyu alikuwa anapendwa kwelikweli na alifanikiwa kuipa CCM kazi ngumu sana kwenye uchaguzi wa 2015 na kama siyo yule Mchungaji tapeli TB Joshua kumrubuni Lowassa alikuwa amekuwa Rais wa Tanzania. LOWASSA aliondoka CCM kwa kuwa alifanyiwa siasa za majitaka sana kuanzia akiwa waziri mkuu na kundi la akina Sitta na Mwakyembe. Walimpakaza Lowassa kila aina ya uchafu waliotaka na walimsiliba kwelikweli akajikuta siyo waziri mkuu na akautema uwaziri mkuu kwa kuwa tu alishindwa kuhimili kishindo cha pressure aliyokuwa anapewa na wafanya siasa za majitaka. KWA MTU mwenye akili timamu ilikuwa inawezekanaje Lowassa peke yake afanye yote yale ya Richmond huku Kikwete kama Rais hajui? Ni wazi kuwa siasa majitaka zilichukua nafasi yake na goli likaachwa wazi asilibwe na kila aina ya kashfa na kwa kweli CHADEMA waliicheza kwelu kweli ile ngoma kwa niaba ya wabaya wake na akang'oka. Maana waliokuwa wanapiga kelele kuwa Lowassa ni fisadi ni watu wa CHADEMA na upinzani. LIKAJA suala la Chongolo kuutema ukatibu mkuu wa CCM kwenye juhudi za kumtafutia Nchimbi chaka la kuwa Katibu Mkuu. Changolo alijikuta kaingia kwenye kashfa ya mapenzi na mameseji ya WhatsApp mengine yana ujumbe una ukakasi kwelikweli akajikuta kiti cha ukatibu mkuu wa CCM nikama kimechafuka sana hawezi kuendelea kukikalia akaamua kujinasua kupisha wengine waendelee. LEO njia zile zile zilizotumika kuwaondoka akina Lowassa ,Dokta Salim na Chongolo sasa zinatumika kutaka kumchafua Waziri Mkuu wa sasa Mwigulu.. Lengo ni moja tu hawataki kuona watu wa aina hii wanaingia kwenye ulingo wa kuutaka urais ifikapo 2030. CCM imekuwa hodari sana kuwan na makundi ya hivi ndani ya chama chao na kazi yao ni kupatishana ajali kila inapokaribia uchaguzi wa urais na wamafanya hivikwa kuwa wanataka wagombea ambao ni maboya au majizi au wasio na uwezo wa kuongoza ndiyo wachaguliwe ili sasa wapate nafasi ya kuwamanipulate na kuendelea kuiteketeza hii nchi. NILISEMA JANA kuwa Mwigulu siyo Chongolo! Amekuwa kwenye hiki chama nyakati zote hizi ambazo mifano niliyowapa inatokea na hili la kutengenezwa tena na AI na kupewa CHADEMA watembee nalo haliwezi kuwa jambo gumu sana kulishinda. HATUWEZI kukubali nchi hii kukawa na siasa za majitaka hivi na hatuwezi kukubali aina hii ya siasa itumike kwa ajili ya kuchafua watu kwa lengo la kuwaondolea sifa za kuwa viongozi. CCM MNA KAZI YA KUFANYA SANA📌 #KigogoMediaUpdates
1
44
"Nia na uwezo "- men wana uwezo wa kufanya GBV compared to women that's why unaona nying ni sisi. Mfano,,girl anaweza kupanga na kumchoma mtu kweny tanuru la mkaa?? Ila ukija kweny njia nyingine mfano sumu na uchaw bas utakuta idad ya "ke" kufanya ni kubwa mno
Cases nyingi za Gender based violence especially zinazopelekea vifo tuna commit sisi wanaume. It seems tuna emotional tolerence ndogo kuliko wao , japo huwa tunasema women are "emotional beings" its just a cliché at this point.
1
1
114