Replying to @kigogo2014
@kigogo2014 sasa hivi anajiongelesha tu.. amekuwa kama mzee wa mizimu yaani kila mtu kashampuuza.
2
Replying to @bonifacejoseph_
Nakumbuka kuna bro niliwahi kumwambia..Lile daraja pale Tazara halitakuwa solution ya jam, sbb gari zikimaliza daraja zinakutana na ufinyu wa barabara. Tulihitaji njia 4 kwenda na njia 4 kuingia mjini na si huko tu. Kama ulivyosema watatanua tu barabara na ni swala la muda tu
1
7
672
Replying to @bbcswahili
Na huku Ukerewe mlifika kufanya uchunguzi wenu? Halafu msiwe mnafanyia mijini tu. Huko tunajua hakuna shughuli kwa hao washindia chips na kulalia chips.
1
6
455
Replying to @EsirEid
Sifuna bado sana na hawawezi kumsimamisha kama flag bearer wa upinzani lakini ni kama anandaliwa kwa huko baadae sana. Kenya Ruto hawamtaki lakini kwa chaguzi za kiafrika ana nafasi kubwa ya kurudi madarakani.
Replying to @bonifacejoseph_
Wao wangesema tu. Hakuna mlala hoi aliyejuu ya sheria.
Aloo kuna watu wapo juu ya sheria na wanatamba wanavyotaka.
15
Angel alikuwa mgonjwa lakini tabasamu lake halikuwahi kufifia, alikuwa akitabasamu na wewe unaemuangalia lazima utabasamu.
Punzika lakni utapunzika kwa amani pale HAKI yako itakapopatikana.
45
Na waliomteka mzee KIBAO kumtoboa macho na kumuuwa na wale waliokuwa wanaingia nyumba kwa nyuma #MO29 na kuuwa ndugu zako ni hawahawa kaka?
1
272
Cha muhimu ni BISMARCK ROCK. LIrudishwe kama lilivyokua. Picha zipo. Swala la meli tulishasema ni za kuungaunga na zitaleta majanga, kuna ile ya Kidgoma mmeungaunga piya. Kamati ishughulike na JIWE TU.
10
Replying to @Jaguar_455
Hizi kauli Mr Majaliwa alitembea nazo sana tu. Msichojua hawa wanatoleana kauli ngumu hadharani lakni wakiingia kwa maofisi huko wanakumbatiana kwa igizo zuri. Ndo namna wanavyolindana maana hao walio juu POSHO yao inatoka kwa hawa waliochini. Hapa tunazugwa sisi.
1
69
immortal retweeted
Haya naomba uongelee haya ya msingi.
1. Serikali imejaa watu hawana morals
2. Hatujapona Oktoba 29
3. Hali ya uchumi halisi toka 2020
4. Nchimbi Yupo wapi?
5. polepole yupo wapi?
6. Twaha yupo wapi?
Niongeze?
Replying to @Salym
Ukiwa mwandishi wa chama fulani cha siasa lazima mambo ya msingi uya ignore.
1
447



