Melch 5.0 retweeted
🔥 Nasdaq imefunga kwa rekodi nzuri siku mbili mfululizo.
Je, BTC ndio inayofuata?
BTC imepanda 13% ndani ya siku nne (Sep 17 - Sep 21) hadi $87K — karibu ATH ya miezi 8, lakini bado iko kama 30% chini ya ATH ya wakati wote.
Melch 5.0 retweeted
Wekeza kwenye hisa za USA.
Performance yake ni kubwa sana.
Ntakupa mifano.
Mwezi huu tu:
AMD iko up 35%
Meta iko up 34%
CRWD iko up 34%
SNDK iko up 22%
Hizi % kwa hisa za bongo unasubiri kwa mwaka au zaidi.
Melch 5.0 retweeted
GET PAID $12/hr TANZANIA
GO ON THIS LINK 👇
surl.li/jdwnxi
TO APPLY HILA VPN WALA PROXY
WEKA SKILLS ATA UKIFAIL THEN NJOO NA 10k tzs CHAP NIKUFANYIE ASSESSMENT (wachache tu)
ACCOUNT ZILIZO READY ZIKO CHEAP PIA
Melch 5.0 retweeted
Watu wengi wamekuwa wakiuliza jinsi ya kuanza kufundisha English online na kupata pesa remotely 💻💰
So nimeandaa thread rahisi kabisa kwa beginners 👇
Ina-cover:
• Jinsi ya kupata TEFL certificate 📜
• Best platforms za kuanza kufundisha 🌍
• Jinsi ya kusetup profile yako vizuri 🧑🏫
• Na namna ya kupata students wako wa kwanza 🔥
Kama ulikuwa unasubiri sign ya kuanza… hii ndio hiyo 😎👇
🔥🥱 drop reaction…
Wenye wasiwasi proof hii hapa! Withdraw zote ni instant, hamna kuchelewa! 🫵🏼
Baada ya kusikia PayPal linked with Vodacom, nkasema nifungue account nione inakuaje!
Positive feedback, Paypal ya bongo hatimae inaweza kupokea mkwanja!
Client wangu wa UK 🇬🇧 ame deposit imefika! $300 imeingia bila shida!
Note:🚨
Kuna vile vizuizi vya kwanza vya Paypal vipo, ni swala la kua na ID na ku submit, maelezo ya muamala ulikotoka basi! Hamna mambo mengi!
Evidence👇🏽
Nina experience na paypal kwa miaka mingi! Hyo ishu sio ngeni! Ziliwah nikuta nikiwa natumia paypal ya Kenya, I well solved it na hela ikatumwa Bank!
Nimetumia Paypal US, UK pia all those issues nime solve sijawahi poteza hela!
Replying to @meetmelch
Mkuu, nakusaidia kubookmark hii post ili siku PayPal wakikuonyesha why they aren't worth it, nitakukumbusha. Don't trust PayPal at all utakuja kulia machozi na hamna msaada utapata. Watahold pesa for 180 days na kukwambia "we can no longer do business with you" na pesa hutoipata
Baada ya kusikia PayPal linked with Vodacom, nkasema nifungue account nione inakuaje!
Positive feedback, Paypal ya bongo hatimae inaweza kupokea mkwanja!
Client wangu wa UK 🇬🇧 ame deposit imefika! $300 imeingia bila shida!
Note:🚨
Kuna vile vizuizi vya kwanza vya Paypal vipo, ni swala la kua na ID na ku submit, maelezo ya muamala ulikotoka basi! Hamna mambo mengi!
Evidence👇🏽
Kuna mwana kanipigia simu, ananiambia
“Kaka, kumbe watu wanachangamoto”
nkamuuliza kwanini!?
“Daaah, yani nimemsikiliza @ThisIsMagnetics nimetamani kulia”
Nkamwambia, wewe una daiwa kodi ya laki 5 tu unaongea peke yako barabarani😂😅
Melch 5.0 retweeted
Siku utakayogundua kuna Pesa imejificha mitandaoni kamwe hutalala njaa.
Sehemu Saba Pesa imejificha Online
PS: Repost na wengine waweze kujifunza...
Melch 5.0 retweeted
Moja ya kitu huwa nikiona inaniuma sana ni hii crypto coin inaitwa SHIBA INU.
Kuna muda huwa nasema sasa hivi hata nisingekuwa nahangaika na shida ndogo ndogo za hela.
Nakumbuka nilitaka kuweka kama $15 hivi ile December 2020.
Jamaa angu mmoja nifiche jina lake akanishauri sana kwamba hamna kitu kwenye hiyo coin.
Kipindi hicho bado nipo chuo.
Maisha nagumu ukitoa hiyo $15 unaweza kuishi wiki mbili tatu kwa shida mno 😂😂.
Nikamsikiliza.
Shiba INU ilikuja fika ATH msimu wa Graduation. Kila nikiangalia naona ningekuwa na kama $25 million nikawa navurugwa 😂😂.
Hata ningeacha mpaka leo pamoja na kushuka bei kwa crypto bado ingekuwa kama USD 890,000 hivi.
Ile kitu ndo ilikuwa sababu ya mimi mpaka kesho na kesho kutwa sijawahi fuata tena mtu kumuomba ushauri wa kuwekeza.
Nafanya analysis mimi mwenyewe alafu naingia tu. Nikipata sawa nikikosa sawa.
Mpaka leo huwa nimeiweka Shiba Inu kwenye watchlist. Huwa inanikumbusha kwamba kwenye uwekezaji unahitaji kwanza INTUITION & GUTS zako mwenyewe kisha ndo mengine yanafuata.
Sema 2018 mpaka 2022 were the best times in CRYPTO
Melch 5.0 retweeted
Hizi ndio Accounts 10 za TikTok & IG unaweza fatilia
Mimi zimenisaidia for Yrs
➠Zitakusaidia kupata idea ya product ua kuiMport
➠Utapata inspiration jinsi ya kupost,kuedit na kupromote
➠
Nyingi ni za waKenya na wanigeria & wazungu
1. DENNIS MENEZ (my fav)
👉🏾 instagram.com/dennismenez?ig…
2. SIDE HUSTLE KIBAO
👉🏾 tiktok.com/@sidehustleskibao…
3. Keith Import
👉🏾tiktok.com/@keith_imports?_r…
4. Tradelle ( naitumia sana kujua trendy products natembelea chaki)
👉🏾 instagram.com/tradelle?igsh=…
5. SHIQUO
👉🏾 tiktok.com/@shiquo4?_r=1&_t=…
6. JUSTICE BUYS
👉🏾 tiktok.com/@justicebuys?_r=1…
7. RISSA
👉🏾 tiktok.com/@rissasidehustle?…
8. Patrick
👉🏾 tiktok.com/@patrick.yiwu?_r=…
9. Goods from China
👉🏾 tiktok.com/@wholesale.master…
10. Mnunuzi Online ya mwanangu @eddygotya
👉🏾 tiktok.com/@mnunuzionline?_r…
BONUS: Legit grinder
👉🏾 tiktok.com/@legitgrinderimpo…
Melch 5.0 retweeted
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata 𝗨𝗔𝗘 𝗿𝗲𝘀𝗶𝗱𝗲𝗻𝗰𝘆 ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii.
Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI
𝙈𝙖𝙗𝙖𝙮𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙨𝙪 𝘿𝙪𝙗𝙖𝙞 𝙆𝙬𝙖 𝙀𝙭𝙥𝙚𝙧𝙞𝙚𝙣𝙘𝙚 𝙮𝙖𝙣𝙜𝙪
-Utakuwa umefika Dubai
-Umejua kila kona ya Dubai
-sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk
𝗕𝗼𝗼𝗸𝗺𝗮𝗿𝗸, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee👇
Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia
Chachu ilitoka wapi?
“𝙄 𝘼𝙡𝙬𝙖𝙮𝙨 𝙘𝙝𝙤𝙤𝙨𝙚 𝙧𝙞𝙨𝙠𝙮 𝙛𝙧𝙚𝙚𝙙𝙤𝙢 𝙤𝙫𝙚𝙧 𝙘𝙤𝙢𝙛𝙤𝙧𝙩𝙖𝙗𝙡𝙚 𝙨𝙡𝙖𝙫𝙚𝙧𝙮. 𝘼𝙡𝙬𝙖𝙮𝙨.”
Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini.
Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo.
Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa 𝕞𝕟𝕦𝕟𝕦𝕫𝕚𝕠𝕟𝕝𝕚𝕟𝕖 tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo
Sasa yeye akaanza kwenda 𝘿𝙪𝙗𝙖𝙞 next ikawa China
Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai.
(Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE)
Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo
Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana.
(Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza👉🏾 youtu.be/lLfA4B5zQpg?si=Tuwd…)
Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa.
Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk
Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia
NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu.
Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China
Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe
Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende
Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai
Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi
Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu
Kukosa mteja labda nirogwe.
Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia.
Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi.
Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale.
Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu.
Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa😂 (nitter.cf/gabyconscious/status/1…)
Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia 𝙬𝙝𝙖𝙩𝙨𝙖𝙥𝙥.
(Learn Whatsapp marketing👉🏾 youtu.be/1ER2REhfhMM?si=uLjm…)
Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie 𝙐𝘼𝙀 𝙄𝘿 ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara
Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu.
Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo.
Bana Mungu sio Mark Zuckerberg😅. Round hii mambo ikajipa
Process ikaanza
👇👇
Melch 5.0 retweeted
Tar 21 Feb 2026 nilikua nachagiza Maada za Forex nikasema huwezi kupata 100% kwa mwezi ukitrade consistently
@richardkalipeni akasema anaweza pata hata 200% atatoa $50-$150
Sikuwa na hiyana nikamuekea mzigo
Nikaongea na bro @ray_heriel ana platform yake inaitwa fundedpayout.com
Atengeneze a temporary account ambayo kila mtu anaweza track
Hii hapa (fundedpayouts.com/account-de…)
$50 ni hela kidogo ila nilitaka vijana wengi wanaoingia kupambana Online wajifunze suali ambalo wananiulizaga sana “Nianzie wapi?, Nianzaje?, Nifanye nini?”
Huwaga nawajibu kuwa : 𝑭𝒐𝒄𝒖𝒔 𝒐𝒏 𝒕𝒉𝒆 𝒑𝒓𝒐𝒃𝒍𝒆𝒎𝒔 𝒚𝒐𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒕 𝒕𝒐 𝒔𝒐𝒍𝒗𝒆 𝒂𝒏𝒅 𝒕𝒉𝒆 𝒔𝒌𝒊𝒍𝒍𝒔 𝒏𝒆𝒆𝒅𝒆𝒅 𝒕𝒐 𝒔𝒐𝒍𝒗𝒆 𝒕𝒉𝒆𝒎,𝒖𝒋𝒊𝒑𝒐𝒔𝒊𝒕𝒊𝒐𝒏 𝒗𝒊𝒑𝒊,𝒎𝒐𝒏𝒆𝒚 𝒘𝒊𝒍𝒍 𝒇𝒐𝒍𝒍𝒐𝒘. 𝑩𝒕𝒘, 𝒕𝒉𝒆𝒓𝒆’𝒔 𝒏𝒐 𝒔𝒊𝒏𝒈𝒍𝒆 𝒕𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒚𝒐𝒖 𝒄𝒂𝒏 𝒅𝒐 𝒕𝒐 “𝒎𝒂𝒌𝒆 𝒊𝒕.” 𝑰𝒇 𝒊𝒕 𝒆𝒙𝒊𝒔𝒕𝒆𝒅, 𝒘𝒐𝒕𝒆 𝒕𝒖𝒏𝒈𝒆𝒌𝒖𝒂 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒕𝒉𝒆 𝒔𝒂𝒎𝒆 𝒕𝒉𝒊𝒏𝒈.
Leo nimechek fundedpayout.com mchizi target niliomuekea ya 100% keshaifikia in Two weeks.
Congrats @richardkalipeni Umetisha sana
Nadhani kuanzia leo hii ndo njia pekee ya kupushiana vijana story pekee hazitoshi tutaleta Challenge kila week.
Mshindi atapata faida:
1. Kuaminika
2. Inspiration kwa wengine kuwa inawezekana
3. Wengine watajifunza kupitia yeye
Nitajaribu nikipata muda tuwe tunafanya nao Calls za hapa na pale.
NEXT CHALLENGE ni ya MATANGAZO (ADS)
-Nitampa hela mtu yeyote mimi au mdau atajitolea
- Nitawapa page wataalamu wawili wa ADS na hawana Pesa ya Ads
-Mtu atakayeweza kuuza kwa Faida yaani Hela ya Ads irudi na FAIDA within a week Kwa Budget ya $25-50 (Akiongezeka mtu mwingine wa support fresh)
-Mshindi Atapewa kiasi mara mbili ya kilichotumika kwenye ADS
Tuma Proof of work (Matangazo umewahi fanya) kwa whatsapp yangu👉🏾 shorturl.at/WY66D
NB: Watu wawili wa kwanza walioonesha Proof of work(sio story tupu) Kuwa wanajua META ADS vizuri ndio watapewa kazi.
Kila kitu kitakuwa Public
Mauzo yatafanyika kwa snippe.sh so tutaona wote
Faida itakayopatikana itarudi HapaHapa X kwa ajiri ya Challenge ingine🫡
#GabyDigitalHustlerChallenge
Melch 5.0 retweeted
Addiction nyingine ni kushindwa kutambua online unataka nini, Kila sehemu ukisikia kuna hela na wewe upo
Kwenye fx upo, betting upo, CPA upo,remote jobs upo,shitcoin upo, network marketing upo
Mwisho wa mwaka unakuja kutambua sehemu zote hizo hujapata hata sh 100
Melch 5.0 retweeted
Habari MTanzania 🇹🇿
Tarehe 21/03/2026 kwa mara ya kwanza kabisa timu ya OKX itafanya Meet Up rasmi hapa Dar es Salaam. Hii ni fursa adhimu kwa vijana, wafanyabiashara na wanafunzi wanaotaka kuelewa kwa kina namna ya kutumia OKX Exchange na kuchangamkia fursa zilizopo kwenye soko la crypto.
Katika mkutano huu, beginner watajifunza mambo muhimu yafuatayo:
1. Jinsi ya kufungua akaunti ya OKX hatua kwa hatua.
2. Mchakato wa KYC verification kwa usahihi.
3. Mbinu za kulinda akaunti (2FA na security settings).
4. Namna salama ya kufanya deposit na withdrawal.
5. Uelewa wa Spot trading na misingi yake.
6. Jinsi P2P trading inavyofanya kazi.
7. Matumizi ya Convert feature kwa urahisi.
8. Trading Bots na namna ya kuzitumia.
9. Earn products na jinsi ya kupata faida.
10. Jinsi ya kusoma na kuchambua Markets kitaalamu.
11. Networking na wadau wa teknolojia ili kujenga community imara ya OKX Tanzania 🇹🇿
Kama upo Dar es Salaam, jisajili mapema kwani nafasi ni 100 tu 📌 Location itatangazwa baada ya kuthibitishwa 📢
Jisajili hapa 👉 luma.com/423u9awj
Jiunge na WhatsApp Group ya OKX Tanzania kwa taarifa zaidi 👉 chat.whatsapp.com/LOqV7pfPL1…
Sharing is winning 🥇
@okx
Kuna watu wana IQ ndogo sana😂
Kama kuna mtu smart wa kufanya nae Business, basi ni Mwaisa.
Huyu naweza mtumia 15M nkaenda kulala, huna wasi wasi ana deliver.
Pole sana mzee! Keep moving.
This quoted post is unavailable.






























