Namba 6 Inaweza Kuwa Sita Au Tisa Inategemeana Tu Na Wewe Upo Upande Upi Wa Kuitazama #PointOfView
43
Kwenye Hustle Zetu Hizi Za Kila Siku Wakuu Kuna Watu Wa Aina 3
1: 50%- Ni Watu Wanaokuangalia Tu( Wanaosubiri Waone Utaishia Wapi)
2: 40%- Ni Watu Ambao Ni Haters Upatie Ukosee Wao Wameamua Kuwa Haters
3: 10%- Hawa Ni Watu Wanaokusapoti Iwe Kwa Wewe Kujua Au Bila Wewe Kujua.
Mkogoty retweeted
Nani miyayusho na alizingua zaidi katika nyimbo hizi 👇
Zubeda wa Prof Jay (Nikusaidieje)
Mac Muga
Mtoto Iddi - Juma Nature
Amekoma (Side Mnyamwezi)
Ritha - Marlaw
Leah - Dully Sykes
Zuwena
Sele
Kafia Gheto - Hussein
Ahmada - Offside Trick
Dunga Mawe
Lover Boy
Yahaya
Dunia Imebadilika Sana, Siku hizi Mzazi Ndio Anamuheshimu Mtoto Badala Ya Mtoto Kumuheshimu Mzazi
3
311

