Insomnia ni kama imewin, ikiendelea hivi naona nikisongesha thuruari ya wenyewe na nifanye insertion
flame retweeted
Missed Call 16 za Mokoro nikadhani mzae amenyuria juu alikuwa na Malaria Kidogo kumbe ni Ng'ombe yangu ya Helb imenyuria hata ningelewa
flame retweeted
Nyinyi mnasema kuachwa ni heartbreak. Mimi kuna siku nilibag dem nikiwa Form 2, 2019 pale Mau Sagamian (siara leon) buana. Tukakua tunaongea Term 2, akaniambia atanipa Kerio Valley December juu alikuwa anafocus na exams. Mimi nikarudi shule Term 3, kufika nikapata Johny Natamebeya amefukuza watu Mau, buana. My girl alikuwa among the victims, nikapata washahama.
Na venye ilikuwa first love, akh ya Mungu! Faith Chepkorir. Sai naweka tu hio ngoma ya Mario, “Sisi sio milima, tutakutana.”
Nyinyi mnalia vile Matiang’i aliwafanyia KCSE 2016, mimi nalia LOML, buana. Natembea nayo siwezi kusamehea ata silii shamba hio
enzi nlikua naona nmepata bibi😭😭
flame retweeted
Leo nikama Algorithm ilikuwa Maintainance walai, nimeuma 20 impressions hadi kwa Goodmorning tweet. Swali bado ni moja
flame retweeted
Me sai nkipotea it will take my family 3-4 months to notice that I'm lost. Maisha gani hii jameni😂🙁
Akili leo inataka nisumbue my rich uncle, the last time I did that aliniambia anatuma nikaenda hoteli kukula lunch nikingoja atume. Mf akutuma design hao hotel attendants walinisalimia aki sitasahau, Alinituma kesho yake though



















