Ringle Beatz™ (@ringunger) header
Ringle Beatz™ (@ringunger) profile picture

Music Producer, Programmer, Software and Electronics Expert, Pianist, Musician, Inventor. (creativity and technology).

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2011
Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)Photo by Ringle Beatz™ (@ringunger)
youtu.be/adsttmcQESA Hii beat nilimtengenezea marehemu Godzilla (RIP) tukiwa nae (pamoja na @MsamiDickson) studio kwake Salasala. Kwa bahati mbaya Mungu alimwita kabla ya kuifanyia kazi. Emotion iliyopo kwenye hii beat mara zote inanikumbusha @King_Zillah enzi za uhai wake.🕊️
2
1
182
Kwa upande wangu, huu wimbo ni TRIBUTE kwa marehemu King Zilla. Natamani kwa pamoja tumkumbuke kwa kujifunza kuonyesha upendo kwa watu wakiwa bado na uwezo wa ku-appreciate. Sikiliza na pia share na wengine. youtu.be/adsttmcQESA #maua #RIPKingZilla
1
3
96
“Msinipe maua mi siwezi kuyanusa”
23
New Song Is Out 🔥 🔥 #BlackBelt🏆 #Stamina #Roma #Khaligraph #Gnako Link on my bio 👆 youtu.be/7X62XWRr3dw
42
106
8
734
31,951
Always Top 🔝🔥🚀🙌 Hakuna mjadala tena namba hazidanganyi Dizasta Vina anaendelea kudhihirisha kwanini yeye ni kinara wa Hip Hop Bongo kila siku 🏆👑 #DizastaVina #HipHopBongo #Top10Audiomack #AFF Cc. @dizastavina @PanAuthentik @ringunger @BenixMatrix
6
9
141
Ringle Beatz™ retweeted
Replying to @ringunger
@ringunger "I got passion for the thing ila natingwa na time kuna wajinga wanapinga kwamba Ringle ana rhyme, Si kwamba naifanya game, Ka inanipa maslahi hii kitu haijanilipa ila kibingwa na sign" 👊
1
2
83
#HipHopFamily kufa au kupona 🎶 verse ya kwanza kasimama @ringunger Unampa asilimia ngapi? Rap music imechangamka kamaitaenda mwaka mzima itakuwa poa sana. #TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿‍♂️
7
11
1
27
1,364
"Have confidence and take a chance. Don't worry about failure"
1
1
5
119
Ringle Beatz™ retweeted
Nawalilia waliopoteza ndugu na jamaa. Nawatakia nguvu na ujasiri wa kuendelea na maisha. Kama kuna kitu tumejifunza ni kuwa, mabadiliko ni gharama. Walale pema waliotutangulia. May their courage never go unnoticed. Forever in our hearts 🇹🇿 🇹🇿 – at Tanzania
44
326
2
1,448
27,057
“Kila pumzi ni ukumbusho kwamba mwisho unakuja, na kila pumzi mpya ni nafasi ya kuishi kwa makusudi.” POWER IS TEMPORARY, BE GOOD. “MEMENTO MORI” sasa ipo YouTube youtu.be/iVTDOpP40Qo @KichwaMtumba #MementoMori #mementomori
1
1
1
5
289
This world is not our home. We are just passing through. MEMENTO MORI (Remember you must die) #MementoMori
1
1
143
youtu.be/E5ajxcTyYF4?list=RD… Official Lyric Video now available on Youtube
4
21
92
2,481
Asanteni sana wanafamilia wote mlionipambania kwa namna mbalimbali katika mchakato mzima wa tuzo za TMA (2024). - Special thanks to JayCob Mahuwi and @dizastavina I really appreciate it, and may God bless y'all. #TMA2024 #BestHipHopProducer
10
16
3
93
5,516