Mzee Mchafu 🎩 (@runjipapi) header
Mzee Mchafu 🎩 (@runjipapi) profile picture

C'est la vie

kariakoo
Joined April 2013
Sababu za kuongezeka kwa wagonjwa wa kisukari na Tanzania kuwa ya Pili kwa ugonjwa huo barani Afrika ni zipi?
44
29
13
411
33,256
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
The art of knowing when to leave. >>>>>
54
409
9
1,603
42,974
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Kama huwezi kuwa Polite and Kind wakati wa kuhudumia watu wenye physical and emotional pains, sio ungesomea udaktari wa mifugo sasa.
17
34
6
409
16,563
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Kipindi watu wanalia kwa kulia baada ya Wananchi kuuliwa ila Msanii akafanya kibao kata ndio huyohuyo leo hii mnapush reli yake?? Kwamba nyie ndio mnaijua fedha sana au mnaona wengine hawana uhitaji kuliko ninyi au mnaona waliouawa hawakuwa wanataka hizo fedha eti?
77
236
16
1,288
44,866
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
I’m a whole expert 😁 @runjipapi
Ukiweza kuendesha Gari Kariakoo hamna sehemu Tanzania hii utashindwa kuendesha gari.!!🙌
1
1
1
412
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Kadri mahusiano yako na Mungu yanavyokuwa imara, ndivyo maamuzi yako, mwenendo wako, na kesho yako vinavyobadilika. Hujachelewa, Anza leo 🙏🏼
19
190
8
1,021
19,096
Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.
39
433
8
2,460
36,757
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Tukemee ubinafsi kuanzia level ya mahusiano, ni sumu kali sana.
14
47
5
359
10,193
Mnachekesha😂yaani vidinner, coffee, vimaua ndo eeh 😂 mwanaume anaye kupenda anatakiwa akupe akili ya Maisha namna Gani mpate pesa,namna Gani utaweza simama ata akiwa Chini akujenge uwe imara uache kuona vidinner ndo Kila kitu hamna cha tuvitu tudogo tudogo pewa Akili ya maisha
101
150
34
610
61,056
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
If these hoes can cheat on Kai Cenat nigga nobody safe😂.
265
1,702
231
12,745
467,334
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Ukitaka kubadili maisha yako, anza na tabia zako.
40
153
7
768
21,349
Wanataka Taifa Stars washinde kwa raha baraka zipi!? As much as I love my country so much, sina mzuka wowote wa matokeo chanya kwa jinsi hali ilivyo... Tuna majeraha na hayaponywi kwa matokeo ya Taifa Stars bali kwa uwajibikaji.
12
22
1
151
3,309
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
With two fractures on one limb.
380
290
12
2,179
83,382
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Isaya 40:29–31 “Huwapa nguvu wazimiao; humwongeza nguvu yeye asiyekuwa na nguvu… lakini wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya.”
1
21
1
62
2,829
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
A leap of faith is trusting God beyond what your eyes can see. You may not see the whole path, just take the next step. Walk by faith, not by sight. God is already there.
3
12
1
62
5,245
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Ukiweza kuongea uongo kwa kujiamini na ukaaminika, Ipo siku utaongea ukweli huku unalia kwa hisia na Usiaminike.
7
88
471
12,873
WE WILL NEVER FORGET OCT 29, 2025.
10
257
10
846
19,983
Maji nayo imekua wimbo wa Taifa, kweli rushwa mbaya.😅
6
31
4
377
12,341
Kwa hiyo wakazi wa Dar wanaoga, kunywa na kupikia 'AMANI' !
26
42
10
296
32,447
😅kuna muda ukiskiza kila maoni hii dunia huezi fanya kitu.
Sema hizi podcast za wabongo alafu wanaongea American English, naonaga kama ni ubinafsi, usenge na u much know.
2
3
14
1,040