VIDEO:
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amekosoa uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, wa kumtia hatiani Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Wakili Tundu Antiphas Lissu kwa kosa la uchochezi kutoka kwenye kosa la uhaini, akidai kuwa mahakama imejipachika majukumu ya ushitaki na upelelezi badala ya kubaki kwenye kiti cha utoaji haki.
Mwabukusi ameyasema hayo akizungumza na televisheni ya mtandao ya Focus News Tanzania Tv 1 mara baada ya hukumu hiyo kutolewa, ambapo amebainisha kuwa Tundu Lissu ameachiwa makosa yote yaliyompeleka mahakamani hapo na badala yake majaji wakatengeneza kosa jipya ambalo halikuwa sehemu ya mashitaka ya msingi.
“Hakuna kosa lolote la Mbinga (Ruvuma) lililohusika na Tundu Lissu mahakamani, hilo ni kosa la majaji watatu waliloliibua wenyewe walipoliibua, wakatafuta ushahidi wao, wakapeleleza wao, wakafanya uchambuzi wao, wakamkuta na hatia wao, wakamhukumu bila kuwa na ushahidi wowote”, ameeleza Mwabukusi.
א ת retweeted
MARIDHIANO = USALITI . Ukisikia mtu anakuambia maridhiano huyo ni msaliti anayetumika na watesi wetu ,kama vipi pita nae mazima,we cannot continue entertaining traitors .
א ת retweeted
SHERIA YA UCHOCHEZI YA MWAKA 1950:
Kifungu cha 55(2) cha KANUNI YA ADHABU (PENAL CODE) kinasema SIO KOSA la jinai kwa mtu KUIKOSOA Serikali akiwa na lengo la kuonesha MAPUNGUFU ya Katiba, sheria au usimamiaji wa haki.
Tume ya uchaguzi imekua ikitengua watu hovyo, panga matokeo fake & mambo mengi ya hovyo na kuipendelea CCM na Serikali INABARIKI!
CHADEMA imekuja na #NoReformsNoElection ili kukosoa Serikali kwa utaratibu huo, lakini Jaji Ndunguru akaona kitendo hiki ni kosa kisheria na kutoa HUKUMU ya miaka 4.
Lissu alienda mbali kutumia haki yake ya aya "c" hapo 👇🏽 kushawishi Umma ili kuleta MAGEUZI ya jambo hili kwa njia halali.
Someni hapo aya (b) & (c)muone namna gani LISSU ameonewa na hii hukumu ni ya KISIASA & BATILI.
א ת retweeted
Tanzania: Lissu cleared of treason, but sentenced for inciting unrest l.theafricareport.com/8qS
Tanzanie: la famille de l’opposant Tundu Lissu dénonce un procès «purement politique»
➡️ go.rfi.fr/sj1
א ת retweeted
Tanzanian opposition leader Tundu Lissu has been sentenced to four years in jail after being arrested on treason charges in April.
The court instead convicted him of inciting unrest in a trial that has been widely condemned as politically motivated.
Tanzanian opposition leader jailed in ‘politically motivated’ case
More on Aljazeera.com
א ת retweeted
Tanzania’s opposition leader Tundu Lissu has been cleared of treason but sentenced to four years in prison for incitement. The ruling comes after 19 months in detention and a case that has drawn international condemnation.
Once regarded as one of Africa’s more stable democracies, Tanzania has faced growing scrutiny over its treatment of opposition figures and protesters
Inashangaza kuwa approach pekee ya mwenye PHD kuzidi wote Duniani!
א ת retweeted
Moja ya malengo yao ni kwamba asigombee URAIS 2030.!
Ndio maana uhaini umegeuka uchochezi.
א ת retweeted
Chadema will appeal against the four-year prison sentence handed to its national chairman, Tundu Lissu, and seek his release on bail pending the appeal.
thecitizen.co.tz/tanzania/ne…
א ת retweeted
“..Waheshimiwa Majaji toeni hukumu ambayo mnayo. TOENI HUKUMU AMBAYO MMEAGIZWA. Nimemaliza . Asante!..” Tundu Lissu
א ת retweeted
Unakuta mtu ni maskini,kula yake ya shida ,ajira hana ,akiugua daftari linapita mtaani ,anamchukia LISSU,mtu ambaye anampigania yeye atoke hapo alipo badala yake anawapenda wale wanao mfanya aishi kama mtumwa . Unbefuckenlivable !
א ת retweeted
LISSU anapendwa na watanzania wote wenye akili timamu, isipokuwa wale wasenge wasenge tu machawa wa CCM
א ת retweeted
Baada ya kutamka kuwa Tundu Lissu hakufanya kosa la UHAINI, sasa Mahakama imemtafutia kosa lingine, UCHOCHEZI.
Mind you, kesi ya Uchochezi iko Kisutu.
Sasa hii ni practice ya wapi?
All said and done, Lissu sio Mhaini.
Uchochezi? Come on!
א ת retweeted
We condemn the judicial ambush of CHADEMA Chairman Tundu Lissu, whose acquittal on capital treason was immediately followed by a four-year prison sentence for incitement. This is a grave assault on the rule of law and a calculated attempt to silence the demand for democratic reforms.
The United Green Movement (UGM) Party led by @dkmaraga stands in unwavering solidarity with Tundu Lissu, his family, CHADEMA and the people of Tanzania in their struggle for democracy, justice and constitutional freedoms.
We remain steadfast in our commitment to democratic liberation across our Jumuia. No amount of state terror, cross-border abductions or political imprisonment will stop the march for Mageuzi.
The march for Mageuzi cannot be jailed!
Read the full statement below.
Kumekucha!
@TunduALissu @ChademaTZ2 @USAmbTanzania @TitoMagoti @HecheJohn @MariaSTsehai @judiciarytz @kattoloo @NetoAgostinhoMP
#UGMParty #TunduLissu #Mageuzi






























