Themkulima (@themkulima) header
Themkulima (@themkulima) profile picture

Proudly SDA

Tanzania
Joined May 2021
Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)Photo by Themkulima (@themkulima)
Themkulima retweeted
Sawa unalima @themkulima @Mazikuagric @ThomasJosephat3 Unalimia wapiii? Mbarali kwetu馃
2
2
9
546
Mvua ikinyesha tunapanda mahindi,Jua likiwaka Tunaanika mpunga wetu wa kiangazi.
2
1
24
513
GoodMorning All farmers.
1
7
236
GoodMorning all farmers
1
1
7
254
Vijana wa Lile Shamba tumeanza kuhesabu siku kabla ya El nino huu mzigo uwe stoo unasubiri December Kaka yangu @SamataJr_12 Fanya mpango wa kombaina turahisishe kazi
7
4
17
590
Sahizi bila kutoa Rushwa hupati maji kabisa Bondeni
3
1
9
336
Themkulima retweeted
Seti itatimia nikipata Rotaveta ya Swaraji kutoka Agricom kama ilivyovaa hiyo Field King Disc 20 ya Agricom
3
2
2
100
GoodMorning All Farmers.
1
4
207
Jua linawaka kiasi kwamba Mpunga umeona bora uanze kukomaa ukapumzike zake Stoo tu
2
5
267
Tazama ndege wa angani hawalimi wala hawavuni,wala hawakusanyi ghalani na Baba wa Mbinguni huwalisha. #GoodMornging All Farmers.
2
3
8
331
Kiangazi kama El Nino @SamataJr_12
1
1
8
341
Ujanishaji unaendelea.
1
1
7
323
Mkubwa @SamataJr_12 kumeanza kuchangamka hapa,vipi nianze kuulizia bei ya mchele au Niache wenge
2
1
5
340
Kwasasa Gunia la Pumba za mahindi lina Pesa kuliko gunia la mahindi yenyewe.
3
1
14
527
Tunazidi kupambana na mpunga wetu wa kiangazi kibishi kibishi sana
3
5
21
462
Zamani ilikua ukikosa hela unatafuta Bonde unaenda kulima nyanya unapata hela unaenda kutoa mahali,Sahizi mambo yamebadilika, Kilimo kimekua Gharama na Mwanamke unampata Bure.
6
3
27
809
Muda wa Risit
Labda watumie lile jumba Lao ila hawatoboi tena馃榾 Yanga msahau kuifunga Simba kwasasa tunzeni hii鉁嶏笍
1
353
Muda wa kukagua mashamba umefika
5
1
12
428
Mwaka Huu Godown zote za Mpunga zimejaa.Kama hukuvuna Mapema Jiandae tu kufanya baadhi ya vyumba hapo kwako kuwa stoo.
6
1
18
772
Kubota Kazini
2
11
504