ABD (@SamataJr_12) header
ABD (@SamataJr_12) profile picture

AgriPreneur | Farmer | Family First | FLY๐Ÿฆ… First Love Yourself ๐Ÿซถ FARMING isnโ€™t a Job. Itโ€™s A LEGACY. There is no Culture like Agriculture Bet on yourself

Madibira Mbarali Mbeya
Joined October 2013
Photo by ABD (@SamataJr_12)Photo by ABD (@SamataJr_12)Photo by ABD (@SamataJr_12)Photo by ABD (@SamataJr_12)Photo by ABD (@SamataJr_12)Photo by ABD (@SamataJr_12)Photo by ABD (@SamataJr_12)Photo by ABD (@SamataJr_12)Photo by ABD (@SamataJr_12)Photo by ABD (@SamataJr_12)
โ€œKila mmoja kwa karama yake, kadri yake na kudra yakeโ€ Muda hamsubiri Mnyongeโœ๐Ÿป
2
18
2
75
EURO III
๐Ÿšข ๐Ÿ–ฒ๐Ÿ–ฒ Marcopolo G7 Paradiso 1200 Powered by Volvo B11R 430HP #KataramaLuxury
2
4
210
Wameniombaa MAONI wenyewe lakini @TBoundBuses @SouthernBuses na hapo nipo busy nimeshindwa kutype sana๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
8
2
1
19
2,274
Sawa unalima @themkulima @Mazikuagric @ThomasJosephat3 Unalimia wapiii? Mbarali kwetu๐Ÿซถ
2
2
9
547
Kimenirambaaa๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
1
156
Mchina kwenye starehe ndani hana mpinzani ๐Ÿ˜†
๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Wapunguze ziwe Seat 48 Au waongee vizuri na Marcopolo akaombe Desa kwa Mchina maana Bus zote za kichina zenye Seat 53 zina Legroom kubwa na nyingine zina mpaka choo ndani mfano ABC yeye ni Seat 53 na choo&Mlango wa kati.
20
4,641
Vitu ni vipendavyo kutoka @SelcomTanzania mambo ya kusave @iDreamfoto๐Ÿ˜†
1
3
212
Tuichakatee kitonga usiku mnene na G7 la Christopher Mwambepo @TBoundBuses @SouthernBuses @iDreamfoto chuma linapandaa kama linashuka vileee๐Ÿ™Œ
1
3
8
706
A two year old girl saved her diabetic father who had a hypoglycemia attack. Her parents taught her what to do but didn't expect her to remember it because she was still very young.
753
9,537
1,130
113,101
10,639,642
Ila BreakPoints Makumbusho๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ @BLIZZSS bei ya bidhaa zao haiendani na ubora aisee๐Ÿšฎ
1
3
937
Tutoee kituuu @Joy_Mbura karibu mtamboni mlo wa usiku ni Sambusa ndizi mzuzu na juice ya Embeโœ๏ธ
178
Sio Africa Mzee Sema TANZANIA na hapo mtoe AZAM FC๐Ÿ“Œ
Ni Africa tuu ndio unakuta team moja ina jezi zaidi pairs sita kwenye msimu mmoja. Eti jezi za michuano ya ndani na kimataifa. ๐Ÿ’”๐Ÿšฎ Tuna safari ndefu wakuu.
93
Tajiri wangu @Joy_Mbura bye byee msalimie shemeji Mpembaa๐Ÿ˜†
1
1
2
18
3,250
Magazeti yenye haya ya leo๐Ÿ˜† unaenda ozeshaa ubongo wa mtoto tu๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
Mzazi Rudi na gazeti nyumbani; kisha msimamie mwanao asome hata aya tano tu kwa siku. Hivi ndivyo wazazi huko Qatar wamechangia kukuza utamaduni wa kujisomea chini ya kampeni ya โ€œQatar readsโ€! Hata hili linawashinda wazazi?
1
2
190
40ft imekaa utamu sana kwenye hii Trailer ya Superdoll @GodemaE @TBoundBuses Tajiri INYASI pande za Geita anawakilisha na Shacman X3000 ndani ya Bluecoast Team๐Ÿ™Œ
1
3
1
9
916
Imenibidi nitafute Dereva wa SUB kumsaidia jamaa kwa muda aisee, inamshindwa Rotaveta alikuwa anatembelea PTO high ukicheki video ya kwanza makosa kama yote sababu ya uzoefu ila atajua tu humohumo kutumia Rota ni mwana tumekula wote msoto kwenye vibovuuu usiku kuchaa anakomaa hauwezi muacha kirahisi ana haki kula bataa kwenye chuma mpya @mwasa05 ukicheki hizi video mbili hapa ya kwanza na hii utaona utafouti mkubwa sana kwenye uendeshaji kutumia Rota๐Ÿ“Œ
Na vijana wa hovyoo ๐Ÿ˜† @themkulima @Mazikuagric @masuba___ @mwasa05 wamefika shamba kuvuruga leo huyu Dereva hajamaster bado kutumia Rotaveta sasa anatoa boko hapo na walikuwa wanarec wanitumie akamwambia mwenzako aloo hiyo usitumee mwenzake katuma zote kwangu๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
1
4
993
Na vijana wa hovyoo ๐Ÿ˜† @themkulima @Mazikuagric @masuba___ @mwasa05 wamefika shamba kuvuruga leo huyu Dereva hajamaster bado kutumia Rotaveta sasa anatoa boko hapo na walikuwa wanarec wanitumie akamwambia mwenzako aloo hiyo usitumee mwenzake katuma zote kwangu๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
5
5
1
9
2,252
Kupanda kwa shadidi raha sana @themkulima wape shamba umemaliza kuvuruga wape hela yao we kaa pembeni tukutane kwenye kutunza shamba tu๐Ÿ˜†
1
1
88
Update ya Uliemtuma kazi๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ @themkulima @Mazikuagric @masuba___ Amekaaaa๐Ÿ˜† Kesho zizame PowerTiller tu kupiga show Huyu akirudi awe amevaa Rota tu
Nirudi tu shamba Phone farming hii itanipandisha pressure tu๐Ÿ˜† uliemuachia Trekta anaendekeza vibarua kuliko kuandaa mashamba yako kwa wakati @mwasa05 @masuba___ @themkulima Kijana anakuzimia na simu unaanza mtafuta kwa whataspp call usipompata asubuhi unashangaa ameamkia vibarua ameacha kazi zako๐Ÿคฆโ€โ™‚๏ธ
5
3
16
3,468
๐Ÿš› CALVARY INVESTMENT COMPANY LTD ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Moving heavy loads. Delivering trust. Connecting businesses across Tanzania and beyond. ๐ŸŒ๐Ÿ’ช From heavy haulage to specialized cargo transportation, we move your business forward with reliability and commitment. Your cargo. Our responsibility. ๐Ÿค @GodemaE Nzito na Mchina๐Ÿ”ฅ
1
3
1,294