Juma Wickama (@wickama) header
Juma Wickama (@wickama) profile picture

Soils & Land Degradation Scientist, Former Researcher at TARI-Tz (Rtd), PhD, Wageningen University & Research (WUR), Netherlands.

Tanga, Tanzania
Joined April 2009
Photo by Juma Wickama (@wickama)Photo by Juma Wickama (@wickama)Photo by Juma Wickama (@wickama)Photo by Juma Wickama (@wickama)Photo by Juma Wickama (@wickama)Photo by Juma Wickama (@wickama)Photo by Juma Wickama (@wickama)Photo by Juma Wickama (@wickama)Photo by Juma Wickama (@wickama)Photo by Juma Wickama (@wickama)
Kuna mahali (Rorya) nina shamba. Nikataka kuchimba kisima cha gari. Wenyeji wakanitonya kuna dogo anapima maji kwa simu ya kitochi na kuchimba. Nikakataa. Ila nikampa fursa. Kaja shambani, namuona anazurura na simu akachagua site & kuanza kuchimba. Huyoo anarusha maji 🤣🤣🤣👍
123
166
10
1,498
149,637
Potassium Deficiency. Dawa? Mbolea zenye hayo madini, kwa mfano NPK
2
4
145
Hii miti inastahili heshima. Miembe ina "roho ya paka" kunapokuja ukame. Kwanza majani yake yana utando kama wa "nylon" ambao unaisaidia kutopoteza maji. Kwa hiyo Haifi. Kisha inaahirisha kukua😅😅. Ukame ukipita na mvua kuanza kuja hiyoooooo inaanzisha majani mapya. Nuts👍
5
26
453
Eti waheshimiwa, hawa jamaa wanadhuru kipi kwenye miembe michanga?
1
4
267
Hivii ufugaji wa hawa jamaaa unalipa? Kweli kabisa?
1
5
253
Haya matunda ni mavumilivu SANA kwa ukame. Yaani kwenye arid na semi arid lands yanaona yamefika. Yanahimili hata ardhi yenye chumvi kwa mbaaali. Yakishika Shambani andika 506yrs+. Na yana bei nzuri sokoni. Mi sijui ni kwanini hayalimwi kibiashara kama mkonge
2
2
28
1,312
Japokuwa zimeandikiwa pamba na tumbaku, hizi mbolea ukizinunua zitakufaa sana kama una shamba la miti ya matunda. Matunda yanahitaji sana Potassium (hiyo K) Usizipuuze
5
1
16
724
DREAMING: LAKE VICTORIA RALLIES Guys, sources indicate there are 40-42 million people living around Lake Victoria. A 7000km+ ring road ideas around it has been floated. But currently there are paved roads covering its basin. We need International RALLIES around it? Boats & Cars
1
222
That Dream has Materialized: Thank You Guys. Now? Dodoma Grand Prix and Kilimanjaro Open (Golf)!
1
4
648
Siafu kwa tikiti maji huwaambii kitu. Wameniwahi.
2
176
Wajuzi, kuna tatizo gani hapa?
2
1
2
329
Barred Rock Chickens, not the best layers but certainly among the best dual purpose
1
10
174
Kwa wenzetu hili tunda ni green gold. Huko Asia eka moja (miti 64-70, spacing 8mx8m) mkulima anaingiza sawia ya Tshs 10M kwa mwaka. Ni vumilivu sn. Hili tunda utawaacha wajukuu wanavuna. Utotoni nilitishwa nikikanyaga ganda lake nitapata matende. Uongo mtupu.
1
1
8
377
Nani hapa NATURALLY ni jembe? (Pic: Google Images, unrelated to topic)
12
973
Wallah M/Mungu anatujali. Kuna mazao/ matunda husikii spacing wala mbolea wala wadudu. Yapo yanavunwa na wenye ubavu na wala hawayapalilii wala kuyarudishia chochote. Yapo yanatulipia kodi. Na wala hatushukuru!
3
4
1
47
1,184
Zamani kulikuwa na zile mbaazi ambazo unavuna zinachipua na hata mabua ya kuni mnapata. Zilidumu shambani Kama kahawa. What happened?
6
4
63
4,482
Iko hivi, baba kauza nguruwe wake. Kisha kaenda mnadani kanunua beberu la mbuzi. Karudi nyumbani na kumchinjia mwanae ili kutambua na Kumpongeza kwa mafanikio yake ya hivi karibuni. Wataalamu wa rural sociology hii imekaaje?
1
1
34
3,652
Mi naamini mchanganyiko wa Migomba, Kahawa, Ngombe ni moja ya vituliza roho sana kwa makazi ya vijijini. Sijui kama nawaza visivyo!
4
11
80
3,034
Ni zao gani ukililima kisha ukisikia utabiri wa hali ya hewa kuwa kunakuja mvua ya barafu wewe watakukuta ICU?
5
1
24
2,378