Juma Wickama retweeted
Sera za nchi ndio zinadidimiza haya madhamba ya Seriikali, Kitulo kukikuwa nq 1st class friesian na Merino, Uyole 1st class Friesian, Saanen, Toghenburg na mbegu za Nguruwe kwa sasa ukienda utalia
Juma Wickama retweeted
Long weekend ni ya kufanya marekebisho na service
Audi yako na VW yako inahudumiwa kwa spare Bora kabisa
📞:0767450433
Juma Wickama retweeted
Did You Know???
Sweet potatoes are a highly nutritious "superfood" packed with fiber, potassium, and vitamins A and C. They promote digestive health, support immune function, improve eye health.
Juma Wickama retweeted
Naitwa Dr.Anord Christian, wa hospitali ya mkoa Shinyanga. Namuombea msaada huyu binti Neema (22) mzaliwa wa Bukoba lakini mkazi wa Shinyanga kwa sasa.
Historia yake ni ndefu kidogo. Ni yatima aliyelelewa na baba mdogo huko Ifakara Morogoro. Mwaka 2022 mlezi wake alifariki, hivyo akalazimika kurudi Bukoba kwa bibi yake.
Akiwa Bukoba alikutana na kijana mmoja ambaye alimpa ujauzito akajifungua 2024. Baadae alianza kupata maumivu na uvimbe kwenye taya. Mzazi mwenzie alimuaga anaenda Shinyanga kutafuta kazi ili aweze kumhudumia yeye na mtoto.
Uvimbe ulizidi kuongezeka hivyo akalazimika kumfuata mwenzie Shinyanga. Kijana alipoona hali ya uvimbe alimkimbia na hadi leo hajulikani alipo. Baada ya muda alifukuzwa walipokuwa wakiishi kwa kushindwa kulipa kodi. Akaanza kuhangaika mtaani akiwa na mtoto wa miezi 18 na uvimbe ukizidi kukua.
Muuguzi mmoja alimsaidia kumleta hospitalini. Vipimo ilionesha ana saratani ijulikanayo kama “Ameloblastoma” yani seli za “ameloblasts" kukua na kuharibu mfupa wa taya na kusababisha sura ya uso kubadilika.
Akifanyiwa upasuaji anaweza kupona kwa sababu ni saratani isiyosambaa. Tumempa rufaa ya kwenda Bugando, lakini hana uwezo wa kumudu gharama. Maisha yake ni magumu na tumekuwa tukimsaidia yeye na mwanae kuanzia malazi, chakula na matibabu.
Anahitaji upasuaji wa kuondoa uvimbe na sehemu ya taya iliyoathirika (Wide local excision). Kisha kurejesha muonekano (aesthetics) na kazi ya taya (function). Kwa cash gharama inaweza kuwa kubwa lakini akipata bima ya NHIF kifurushi cha juu cha Tanzanite (TZS 2,712,000/=) kinaweza ku-cover sehemu kubwa ya matibabu, zikabakia gharama ndogondogo.
#MyTake:
Maisha ya Neema hayajawa rahisi tangu utotoni. Kufiwa na wazazi na kuachwa yatima, kulelewa na baba mdogo naye akafariki, kurudi kwa bibi Bukoba, kupewa ujauzito, kuugua saratani, kukimbiwa na mwenzie kutokana na ugonjwa. Yote hiyo ni mitihani ya maisha. Hana ndugu wa kumlilia. Sisi ndio ndugu zake.
Tumchangie angalau 5M ili apate matibabu na kiasi kingine kimsaidie kujiuguza. Tuma sadaka yako kupitia M-PESA #0752581983, Tigopesa #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation. RudishaTabasamu LetLoveLead.
Juma Wickama retweeted
Replying to @tassagency_en
Translation: Ruzzia destroyed 20 of his own troops which was retreating.
Juma Wickama retweeted
On this day, a Girl Child from Isenye village, Serengeti District in Mara region was born. She was named Nyambura (born during rainy season/day). May she live to make her years meaningful instead of just counting them. Happy Birthday to her.
Juma Wickama retweeted
Replying to @BakariMugini @wickama
the amount of flour. Ukikoboa dent inapoteza unga mwingi zaidi ya Ukikoboa dent inapoteza unga mwingi zaidi ya flint
Juma Wickama retweeted
Replying to @BakariMugini @wickama
Kuna aina zaidi ya sita za mahindi, dent-, flint-, sweet-, pod-, pop-corn etc. Flint hazina dent (kishimo) kwa juu, ni very compact wakati dent zina kishimo. Kwa ujumla dent zina punje kubwa kuliko flint. Kwa hiyo ukisaga dona kwa mbegu hizo 2, the larger the seed the larger
Juma Wickama retweeted
Meanwhile in Russia: something went wrong in Murino, near the city of St. Petersburg.
Juma Wickama retweeted
⚡️Bloomberg: Putin to skip G-20 summit to avoid potential confrontation with world leaders.
Russian dictator Vladimir Putin will not attend the next Group of 20 summit in Indonesia, Bloomberg reported, citing its sources.
Juma Wickama retweeted
BREAKING:
The Russian Army has been ordered to withdraw from the city of Kherson!
Russia's commander in Ukraine, Sergei Surovikin, says it was simply no longer possible to keep supplying the city.
Battle of Kyiv - lost
Battle of Kharkiv - lost
Battle of Kherson - lost
Juma Wickama retweeted
Russia tried to block Zelensky from addressing the UN Security Council on Ukrainian Independence Day. Russia got zero support.
Juma Wickama retweeted
BREAKING: Trump’s stolen documents may have included records showing the identities and methods of agents spying for the US.
Such intelligence records — and nuclear records — CANNOT be declassified by the President alone. So there is no way it was legal for Trump to have them.
Juma Wickama retweeted
Replying to @wickama
Singida hiyo ipo pia wanakausha hata maboga wanatumia wakati wa kiangazi, pia kuna karanga zinachemshwa wakati wa mavuno zinakaushwa ni nzuri sana na zinakaa muda mrefu sana sana haziharibiki
Juma Wickama retweeted
Fish-rice integration is exciting. You harvest both fishes and rice on the same land. Do you like it?































