TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
You must find the courage to leave the table if respect is no longer served. Know your worth and protect it.
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
Mwanaume asiye na Pesa leo anaweza kuwa Mkombozi wako wa Kesho Heshimu sana Safari yake hata ukihisi hana
Cha kukupa.โ๐ป
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
Team zote za north london zimeipiga psg kasoro sisi arsenal mwaka huu kweli kocha akileta ufala wake asepe tushamvumilia sana
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
Another day to remind you that, if it's not worth fighting for, walk away with dignity.
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
WACHAWI HAWATAKI UJUE HII SIRI
KUHISU MAVI YA PAKA .
โญ๏ธUZI๐งต๐งต๐โคต๏ธโคต๏ธโคต๏ธโคต๏ธ
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
Uliwahi kusikia nini kuhusu viwanda vinavyo tengeneza pesa?
Je ni kweli pesa zote zina tengenezwa Uswisi? Je! Unajua Afrika pia zipo nchi nyingi tu zina print pesa zao mwenye?
Huu hapa ukweli kuhusu utengenezaji na pesa
Shuka Na Uzi mfupi ๐งตโคต๏ธ
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
UKWELI KUHUSU KIFO CHA GADDAFI
-
Gadaffi alisalitiwa na kuuliwa na watu wake wa karibu kwa influence ya USA
Gaddafi hakuuliwa Kwa Sababu aliwatreat Vibaya Watu Wake kam USA inaua Rais ambae ni Dikteta Mugabe Angekufa Mapema
Gaddafi Aliuawa Kwa Sababu Alikuwa Katika Mchakato Wa Kuunganisha Afrika Kupitia Benki Moja & Sarafu Moja na Jeshi Moja.
Uzi Shuka Nayoโฆ.๐งตโคต๏ธ
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
Katika historia ya bahari, kumekuwa na matukio mengi ya ajali za meli.
Lakini kuna simulizi moja ya ajabu iliyozua maswali yasiyo na majibu kwa zaidi ya karne tatu.
Ni simulizi ya mfululizo wa meli zilizozama katika Pwani ya Wales, na cha kushangaza, kila mara kulikuwa na mtu mmoja aliyenusurika, na jina lake lilikuwa lilelile, Hugh Williams.
Je, huu ulikuwa mkosi? Bahati? Au kulikuwa na jambo zaidi ya macho yetu yanavyoweza kuona?
Siku ya tarehe 5 Desemba 1664, meli kubwa ilizama katika Pwani ya Wales.
Bahari ilikua na mawimbi makali, upepo ukivuma kwa kasi, na kabla ya nahodha kuchukua hatua yoyote ya kuokoa abiria, meli ilikuwa imetoweka ndani ya bahari yenye giza.
Kati ya watu 81 waliokuwepo ndani ya meli, hakuna hata mmoja aliyenusurika, isipokuwa mtu mmoja.
Jina lake? Hugh Williams.
Mtu huyu alibebwa na mawimbi hadi kufikia pwani, akiwa amechoka lakini mzima.
Wakazi wa eneo hilo walimchukua na kumhudumia. Ilikuwa ni miujiza.
Lakini walijua nini? Kwamba hili lilikuwa tu tukio la kwanza katika msururu wa ajali zinazoshangaza dunia hadi leo.
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
UCHAWI NYUMBA ZA KUPANGA. (TRUE STORY)
.
Jamaa anasimulia โNilikuwa naota mama mwenye nyumba anakuja chumbani kwangu na nashiriki naye tendo la ndoa nilikuwa najiuliza inakuwaje niote kitu halafu niwe nimekifanya kweli, niliamini labda ni ndoto zinazosababishwa na uchovu au kwa vile mke wangu hayupo
Hali hiyo ilijirudia mara kwa mara hadi ikafika kipindi asubuhi nikawa namtazama sana usoni mama mwenye nyumba lakini yeye anashindwa kunitazama usoni โฆ.. ๐งต๐
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
๐ช๐ฒ๐ป๐ด๐ถ ๐๐๐ป๐ฎ๐ท๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ผ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ,
๐ป๐ฎ ๐ ๐๐๐ป๐ด๐ฎ๐ป๐ผ ๐๐ฎ ๐ก๐ฐ๐ต๐ถ ๐บ๐ฏ๐ถ๐น๐ถ, ๐ง๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐ป๐๐ถ๐ธ๐ฎ,
๐ป๐ฎ ๐ญ๐ฎ๐ป๐๐ถ๐ฏ๐ฎ๐ฟ ๐ถ๐น๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐๐บ๐ณ๐ฎ๐ต๐ฎ๐บ๐ ๐ต๐๐๐ ๐ท๐ฎ๐บ๐ฎ๐ฎ,
๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฒ๐ฏ๐๐ป๐ถ ๐ท๐ถ๐ป๐ฎ ๐น๐ฎ ๐ง๐.... ๐๐ป๐ฎ๐ท๐๐ฎ ๐ถ๐น๐ถ๐ธ๐๐๐ฎ๐ท๐ฒ ?
๐๐ป๐ฑ๐ฒ๐น๐ฒ๐ฎ ๐ก๐ฎ ๐จ๐๐ถ ๐ ๐ฝ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ ๐๐ถ๐๐ต๐ผ๐งต
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
Osama bin Laden: Mtu aliyelitikisa Taifa kubwa zaidi duniani
Katika historia ya dunia, ni watu wachache sana waliofanikiwa kuutikisa ulimwengu kwa kiwango kikubwa kama alivyofanya Osama bin Laden.
Dunia nzima ilimuimba na kumtaja usiku na mchana, Marekani na ukubwa wao wailitumia takribani miaka 10 bika mafaniko kumtafuta
Jina lake limebaki kuwa nembo kuu ya ugaidi wa kimataifa, huku matendo yake yakiathiri siasa, usalama, na mahusiano ya kimataifa kwa miongo kadhaa.
Osama bin Laden, mzaliwa wa familia tajiri nchini Saudi Arabia, alikulia katika mazingira ya kifalme lakini aliamua kuachana na maisha ya kifahari na kuingia kwenye harakati za jihad.
Aliathirika sana na mawazo ya wanazuoni wa Kiislamu wenye misimamo mikali kama Sayyid Qutb na Abdullah Azzam, ambao walimhamasisha kuwa mtetezi wa Uislamu kwa njia ya vita vya kidini dhidi ya โmakafiri.โ
Thread ๐งต - Fupi.
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
Ebu fikiria Maisha yako ikiwa upo macho muda woteโhakuna kupata njozi au ndoto, hakuna mapumziko, hakuna usingizi hata kwa sekunde moja.
Unaweza kuishi hivyo? Jibu unalo, lakini kwa Thai Ngoc, mkulima mwenye umri wa zaidi ya miaka 81 kutoka Vietnam, amekuwa akiishi maisha hayo kwa zaidi ya miaka 60! Tangu mwaka 1962, hajawahi kulala hata mara moja.
Lakini cha kushangaza zaidi? Hali hii haikumfanya kupoteza uhai, anafanya kazi kwa bidii, na ameonekana kuwa na nguvu kuliko watu wa kawaida!
Hii si simulizi kisayansi ya kubuniโni ukweli wa kushangaza ambao umewashangaza madaktari, wanasayansi, na hata wanahabari wa kimataifa.
Thread ๐งต ๐๐พ
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
Kuna muda mungu habadilishi maendeleo yako sababuanataka kubadilisha moyo wako.
TZ Quotation power๐น๐ฟ retweeted
"Elimu siyo tu kupata cheti au kufaulu mtihani, bali ni mwanga unaokuongoza katika maisha. Ukiwekeza katika maarifa, unajiwekea msingi imara wa kesho bora." Nelson Mandela.....โ๏ธโ๏ธ


























