Replying to @iGodmanHustler
Nahangaika kurenew ya kwangu jamaa wa Tra ananipiga kiswahili kila nikimuuliza
40
.Manca.β€ retweeted
Mtu akikufikia kwa Uhitaji wa Jambo lake Msikilize, na Kama Unauwezo Msaidie, Baraka zetu hupita Kwa Watu na Ridhki za Watu hupita Kwa Watu piaβοΈ
.Manca.β€ retweeted
Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.
Replying to @jac255
Sijapata huwezi amini, niko Arusha so kama haijafanyika nje ya mkoa wenu hupewi
1
41
Replying to @frnkjulius @KiliMarathon
Sasa nyie ndo mnaenda kwa ajili ya kukimbia yaan tangu nimeanza kuona unapost how many days to marathon umetisha sana
2
2
37





