Mtanganyika OG 💯 retweeted
Huyu asipewe hata sh 5 na atengwe na jamii nzima asitusumbue! Nani alimtuma amtetee Mwuaji Mkuu? 🚮
Useless kabisa!
#TutaelewanaTu mbona?
Mtanganyika OG 💯 retweeted
Tukiwambia muungano haufai huu , ufe uvunjike watanganyika hamtaki sikia hapo sasa. Nakuambieni watanganyika amkeni mungano ufe uvunjike
Mtanganyika OG 💯 retweeted
317 days enduring hardships you sometimes never speak about.
If only they were true patriots of our country, they would never allow a meticulous mind like yours to rot in jail for no good reason.
We are with you. We will stop at nothing until you regain your freedom.
We love you.
Hivi kufanya ujinga kama huu katika Mwezi Mtukufu sio haramu hasa ikizingatiwa anayefanya ujinga husika ana SIGDA! 😳
Maustaadh na maustaadhat msaada wenu tafadhali.
instagram.com/reel/DU77BF8jF…
Mtanganyika OG 💯 retweeted
Chadema hii inawalenga nyie.
Msikubali kuingia Kwenye maridhaino na wakina Wassira. Mkikubali mtakuwa mmewasaliti Watanganyika. Waacheni wakaridhiane na CHAUMA na ACT. Ni wahuni tu wataingia kwenye maridhiano
Walisema wanaingia kwenye uchaguzi na Vyama 19. Wakaridhiane nao
Mtanganyika OG 💯 retweeted
Nilikosoa dikteta mwendazake Magufuli huku nikijua naweza nikatekwa na kupotezwa.
Ninaendelea kukosoa dikteta @SuluhuSamia huku nikijua naweza nikatekwa na kupotezwa.
Dikteta @SuluhuSamia hata ujenge ghorofa kwa kila raia hili la kuuwa raia wasio na hatia tar 29/ 10 hatutasahau.
Mtanganyika OG 💯 retweeted
Kwa lugha nyingi yule shahidi waliesema alifiwa na wakataka kesi ihairishwe walitaka kwenda kutengeneza nyaraka ya kuongeza kwenye kesi
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo February 19, 2026
Jana tuliishia Part 195 so leo tunaendelea na-;
Part 196
Majaji na mtuhumiwa ndio wanaingia ndani ya Chumba cha Mahakama almaarufu Ukumbi Na. 1 hapa Mahakama Kuu.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara, John Heche alifika mapema sana hapa Mahakamani majira ya saa 3 asubuhi.
Jaji anamuita kalani asome namba ya shauri anasoma hapa.
Jaji anasema Wakili wa Serikali unasemaje?
Anasimama Renatus Mkude anatambulisha kikundi chake cha kila siku anachoshirikiana nacho kuiwakilisha Jamhuri.
Mshitakiwa anasema yuko tayari pia.
Jamhuri wanadai wanamambo mawili.
1. Notice of additional substance of Evidence chini ya kifungu cha 308 (1) Taarifa ya ushahidi wa ziada.
2. Jambo la pili
Mwenendo wa shauri linaloendelea na kauli zinazotolewa kuhusu mashahidi wanaotoa ushahidi Mahakamani.
Anasima Mh. Tundu Lissu kurespond kwenye hayo Mambo mawili yaliyosemwa na Mawakili wa Serikali.
Kuhusu hiyo Notice yao
utaratibu wa kisheria hauruhusu.
Anasimama Katuga anasema mtuhumiwa afate utaratibu kwamba mawakili wa Serikali wameregister Notice
Hivyo jukumu lake ni kujibu kuwa mtuhumiwa yupo tayari kusikiliza?
Mhe. Lissu anasema kama wameleta notice basi wafahamu kwamba nitakua na lakusema baada ya submission yao.
Waendelee tu sitaacha kitu, wajue hilo.
Majaji wanashauriana kwa muda mrefu kidogo hapa, tunasubiri nini kitakachoendelea.
Mhe.Jaji: tunajaribu kuangalia kama hii notice iko ndani ya mfumo na tumeona ni kweli iko ndani ya mfumo.
Katuga: tunaomba tuisubmite kwanza ili tuweze kumuombea shahidi tuliyenaye leo kwa sababu shahidi tuliyenaye leo si miongoni kati ya mashahidi tuliowaombea.
Mhe.Lissu : kiutaratibu ili waweze kusubmit notice ni lazima wafate utaratibu kwa sababu hawajafuata utaratibu tuendelee na mashahidi waliopo.
Mhe.Jaji: tutaendelea na mashahidi waliopo lakini hatuwezi kuacha notice hii bila kuizungumzia ili iweze kuingia kwenye utaratibu wa Mahakama, wakati tukiendelea na mashahidi waliopo kesho tuweze kuanza na hii notice.
Mhe.Lissu: siku ya jana tuliambiwa Shahidi aliyepaswa kuendelea ambaye ni mpelelezi Mkuu alipata msiba hivyo ataendelea leo, sasa wanatwambia kuwa huyu shahidi wanayemuombea notice anayo maelezo ya ziada ni kwa nini tusiendelee na mashahidi waliopo kwanza wakati wakifuata utaratibu.
Katuga: wameshimiwa Majaji naomba tuendelee na submission ya hii notice kwanza kabla ya kuendelea kusikiliza mashahidi wengine ili tujue kama tutaruhusiwa kumleta huyu Shahidi.
Majaji wanaendelea kujadiliana hapa.
Mhe.Jaji: kwa sababu tayari tunao mashahidi wengine hii issue ya notice ibaki reserve isubirie kwanza tutaizungumzia baada ya kumaliza mashahidi waliopo, hivyo tuendelee na mashahidi waliopo kwanza.
Mkude: Mhe.Jaji tunaomba tuadress mambo yanayoendelea katika premise ya mahakama kuhusu mashahidi kabla hatujaendelea.
Mhe.Jaji: mshitakiwa ameomba kujua ni mambo gani hayo, yasijekuwa mambo ya kutupotezea muda yanayohitaji tuanze kuandika rulling kwanza na kutuzuia kuendelea.
Wakili Mkude: mheshimiwa Jaji kuna mambo yamekuwa yakiendelea na mshitakiwa amekuwa akiadress baadhi ya mambo. Tangu kesi ianze kuna mambo yamekuwa yakijadiliwa kuhusu mashahidi wanavotoa ushahidi wao, katika mitandao ya kijamii mambo yamekuwa yakizungumzwa namna mashahidi wanavotoa ushahidi wao, wengine wakiitwa waongo, hatukatazi kureport muenendo wa kesi lakini usiathiri proceedings. Kifungu 114 cha Penal Code.
Kwa kifupi hawa jamaa hawataki mashahidi na ushahidi wao uzungumzwe nje ya Mahakama. Hawataki habari za kwamba mashahidi ni waongo. 😂😂 yaleyale ya kutaka kesi iwe gizani kwa kila kitu.
Hata hii kuripoti tu wanaona wananchi mnafaidi sana, wanataka Mahakama izuie.
Part 197 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba repost yako.
Mtanganyika OG 💯 retweeted
"WHO ARE YOU " Huyu hapa mahakani
-Wakili wa kimataifa mwenye uzoefu mkubwa katika masuala ya ulinzi wa taasisi (safeguarding), utawala bora na sera, Brooke Lee Montgomery,leo amehudhuria Mahakama Kuu, Kanda ya DSM kufuatilia kesi ya UHAINIya Mhe LISSU
Mtanganyika OG 💯 retweeted
Tujikumbushe mashahidi wa Tundu Lissu:
Samia Suluhu.
Philip Mpango.
Kassim Majaliwa.
IGP Wambura.
DCI Kingai.
CEO TISS.
Ramadhani Ng'anzi.
Agather Atuhaire.
Boniface Mwangi.
John Marwa.
A Golugwa.
J Heche.
J Mnyika.
Prof Mutunga.
Martha Karua.
Kitaumana!!
Mtanganyika OG 💯 retweeted
Oneni lijambazi la kike liuaji linajifanya linamjua Mungu. Seriously? 🚮 Amani? Muuaji mkubwa mbwa wewe. Amani? Ondoka Ikulu mharamia wewe, na chama chako ovu ondokeni kabisa; hapo ndo Tanganyika itaona amani. #SamiaMustGo #CCMmustGo
Mtanganyika OG 💯 retweeted
Shujaa wetu wala hana makasiriko na mtu mwenyewe kajibebea chakula chake leo na yupo comfortable.Mapambano yanaendelea,kwenye kutafuta haki sisi hatutachoka.#TunawatuTutashinda #FreeLissu
Mtanganyika OG 💯 retweeted
Samia ametumia picha ya August 2025 Kuwatakiwa wakristo KWARESMA
Ameweka picha kufanya udanganyifu kwamba amekutana na hawa watoto leo hii sio kweli
Hii picha ilikuwa bado ana jicho lake, kwa sasa hayuko hivi wala hana hii afya
kwa nini leo Mmefikia hatua mnatumia mapicha ya kale
Kumbe toka 2018 ndipo hii picha imepigwa na imekuwa ikitumika kudanganya kwamba Samia amekutana na watoto wa kristo
mara ya mwisho ilikuwa 2018 baada ya hapo kuna matukio mengi ya sherehe za kristo ambazo amekuwa ana post kama ameshiriki tukio lakini ni uongo hakuna tukio lolote amfanya
swali nani anamlazimisha kwamba ni lazima aonekane kama vile ameshiriki chochote ? Kuna ulazima gani wa kudanganya kwamba huko na dini zote wakati sio kweli
haya matendo kufanya na watu wanaojifanya ni viongozi ni laana na hatari sana,
uongo kwenye mambo kama haya ni ishara kuna uongo mbaya sana unafanyika na hawa watu
Ninawatakia Wakristo wote Kwaresma njema na yenye baraka. Safari hii muhimu kiimani kwenu mnayoianza leo kwa ibada ya Jumatano ya Majivu iwe fursa ya kutafakari, kuendelea kuimarisha uhusiano na Mwenyezi Mungu; na kudumu katika ibada, kuiombea nchi yetu amani, umoja, mshikamano na ustawi kwa wote. Mwenyezi Mungu azipokee funga, sala na sadaka zenu na awakirimie mema yote mnayomuomba kwa mtu mmoja mmoja, familia, ndugu, jamaa, marafiki na Taifa kwa ujumla.
Tafakari
Biblia Takatifu Yoeli 2:12-13
“Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuomboleza; rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu, mkamrudie Bwana, Mungu wenu; kwa maana yeye ndiye mwenye neema, amejaa huruma; si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, naye hughairi mabaya.”
Wanaosema huyu muuaji aombewe wakae wakielewa hakunaga muovu anaeombewa bali muovu kama huyu dikteta @SuluhuSamia hulaaniwa, kumuombea huyu chinjachinja ni sawa kuunga mkono uovu alioufanya maana yake ni kwamba aendelee kudumu ili azidi kumwaga damu za watu, labda aombewe mabaya!
Mtanganyika OG 💯 retweeted
Walisema tumuombee, mbona sasa naye anaombea nchi ?
Oneni lijambazi la kike liuaji linajifanya linamjua Mungu. Seriously? 🚮 Amani? Muuaji mkubwa mbwa wewe. Amani? Ondoka Ikulu mharamia wewe, na chama chako ovu ondokeni kabisa; hapo ndo Tanganyika itaona amani. #SamiaMustGo #CCMmustGo
Mtanganyika OG 💯 retweeted
“Sisi hatutapigia mtu magoti kwa uongo hilo hatutafanya hilo wajue kabisa, kwamba watatukata vichwa tutaenda huko chini kaburini tukiwa proud kwamba tulisimama hatukupigia mtu magoti” - Mhe. @HecheJohn akizungumza leo mahakamani baada ya kuhairishwa kwa kesi ya Mhe. @TunduALissu







































