summer retweeted
Ni mwaka mmoja umepita Humphrey Polepole ametuachia ujumbe mzito wa mwisho tusisahau kuwa wenye mamlaka ni sisi wananchi na TUNA WAJIBU wa kupinga dhulma, ufisadi na kulinda nchi
Mwezi huu ninaanza mazungumzo ya kitaifa tujadili masuala muhimu kuikomboa nchi
#OngeaNaShangazi itakuwa live kupitia @MwanzoTvPlus na @MwanzoTV na kupitia social media akaunti zangu
Karibuni!
summer retweeted
#TajiriLaKihaya
Huu Mwaka mzima- This is The BEST QUOTE EVER🙌🏽🙌🏽🙌🏽
summer retweeted
Replying to @Marry_danken
Ndo naambiwa hapa 😓 ila ni mtu namheshimu nimemsikiliza tu! Ila haiwezekani! Tumefika huko?
summer retweeted
Mtawa wa Kanisa Katoliki na Daktari mzuri wa upasuaji aliyesoma ndani na nje ya nchi. Akafundisha chuo cha afya cha Bugando na akawa mkurugenzi wa huduma za upasuaji wa Hospitali hiyo. Hatimaye TEC imemteua Sister Dr. Alicia Massenga kuwa Mkurugenzi mkuu wa Hospital ya Bugando.
summer retweeted
Replying to @MariaSTsehai
Katiba iliyopo sasa iliandikwa wakati wa mfumo wa chama kimoja lakin pia iliandikwa bila kuhusisha maoni ya Wananchi.
Tunataka #KatibaMpya ambayo itatokana na maoni ya wananchi maana #WenyeNchiWananchi
summer retweeted
Je kuna mjadala wowote wa #MariaSpaces umekupita?
Basi ingia hapa na bofya utazipata zote sehemu moja - enjoy your weekend 👊🏽
youtube.com/playlist?list=PL…
summer retweeted
Weekend yenu imeanzaje? 😎
Mi nime-tick mambo mengi kwenye orodha yangu - nashukuru Mungu so nimeanza kama mshindi 👊🏽
Acha MATAGA wafikiri siye malofa 🤣
We know what we want 👉🏽 #KatibaMpya 💪🏽
#KatibaMpyaKwanza #KatibaMpyaNiSasa
summer retweeted
Picha ya Siku
Mhe. @freemanmbowetz na @HEBobiwine ✊
summer retweeted
"Mungu anatenda kazi zake kwa miujiza, na hakika Mungu ametenda miujiza katika kesi ya Mbowe, kuna wakati huwa najiuliza niwahukumu au niwashukuru walionipa kesi. Hawa wenzetu wanafikiria kwa kutumia nini? Hivi hawaioni dunia inaelekea wapi au wamekuwa vipofu" - @freemanmbowetz
summer retweeted
Tayari kwa kazi ya Chama na Nchi.
Ndani ya kamati kuu ya chama kikubwa zaidi Tanzania.
summer retweeted
Kwetu nikila urojo vichochoroni na Jussa.
#Zanzibar






























