JUMA MIRIGO (@JumaMurigo) header
JUMA MIRIGO (@JumaMurigo) profile picture

Mwanaharakati wa haki za binadamu Muhubiri injili ya Yesu iletayo uzima Katiba mpya ni hitaji la sasa

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2017
Photo by JUMA MIRIGO (@JumaMurigo)Photo by JUMA MIRIGO (@JumaMurigo)Photo by JUMA MIRIGO (@JumaMurigo)Photo by JUMA MIRIGO (@JumaMurigo)Photo by JUMA MIRIGO (@JumaMurigo)Photo by JUMA MIRIGO (@JumaMurigo)Photo by JUMA MIRIGO (@JumaMurigo)Photo by JUMA MIRIGO (@JumaMurigo)Photo by JUMA MIRIGO (@JumaMurigo)
Just REPOST
12
400
3
998
39,217
JUMA MIRIGO retweeted
Nimepita barabara kutoka Ubungo to Kibaha. Maeneo ambayo juzi watu walibomolewa nyumba na serikali ya ccm kwamba ni hifadhi ya Barabara. Watu wengi walipoteza maisha, wengi walipata magonjwa makubwa na kupoteza kila kitu walichopigania maisha yao yote. Miaka mitatu baadae haya haya maeneo viongozi wa serikali ya ccm na majambazi wenzao wamejigawia wanajenga vituo vya mafuta kushoto na kulia!!! Nyie Watanzania mpo mnaona uonevu mnasema Mungu atasimamia. Cartels wamepoka nchi yetu, kila mtu ataumizwa kwa njia zake. Lazima tukatae, maana leo watachukua nyumba yako waseme ni barabara Kesho utakuta anaishi mtoto wa Waziri hapo.
46
284
8
1,456
47,953
Kwenu wana CCM, Kari ya Mwigulu Nchemba na Deo Ndejebi Nani ana cheo kikubwa zaidi? Sasa kwanini Mwigulu Nchemba kapigwa marufuku kusikiliza kero za wananchi au kuongea na wananchi directly lakini Deo Ndejebi hajapigwa marufuku kusikiliza kero za wananchi na kuongea nao haswa vijana? Kwanini Deo nae hapigwi marufuku kuwa karibu na wananchi? Hili ndio swali kila mwana CCM anatakiwa kujiuliza. Wana CCM, mnaangalia Samia Suluhu na Kikwete wanawa neutralize wana CCM wote wenye ndoto za kugombea Urais 2030. Alianza na January Makamba, akafata Nchimbi, sasa hivi wana deal na Mwigulu Nchemba. Samia Suluhu akishindwa kujiongezea muda madarakani kupitia katiba mpya kimbilio lake yeye na Kikwete ni Deo Ndejebi, huyu ndio mgombea wa CCM mtandao. Kama Samia akishindwa kubaki madarakani, Kupitia Deo Ndejebi CCM Mtandao wana uhakika wa kuendelea kushikilia Ikulu ya Tanzania.
46
215
3
1,582
89,528
Ustaarabu huo mmetoa wapi? Michezo! Tunaelewa, amri hiyo ni kwa sababu ya AFCON siyo kwamba imekiuka katiba. Hamjafikia hatua ya kutupenda kiasi hicho. Kwenu sisi siyo binadamu. Kwa wastani, nchi mwenyeji wa mashindano ya AFCON anaweza kupokea wageni 200,000 hadi 500,000 wa kimataifa. Ndiyo mmezingatia. Tanzania, kuna miji mitatu (Dar es Salaam, Arusha, na Zanzibar) ambayo imethibitishwa kuandaa AFCON 2027, itapokea sehemu kubwa ya wageni hao Watakuwepo wachezaji na mabenchi ya ufundi kwa timu zote zinazopangwa kucheza mechi zake katika vituo vya Dar es Salaam, Arusha, na Zanzibar. Maafisa wa juu wa soka, marais wa mashirikisho ya soka kutoka katika nchi 24 zinazoshiriki, viongozi wa kiserikali wanaokuja kuunga mkono timu zao. Waamuzi wa kati, wasaidizi wa waamuzi (linesmen), wataalamu wa teknolojia ya usaidizi uamuzi (VAR), na wakaguzi wa viwanja na usalama, watakuwepo. Mashabiki kutoka mataifa yenye utamaduni wa kusafiri na timu zao; Nigeria, Senegal, Morocco, Egypt, Algeria, Cameroon, South Africa. Raia kutoka nchi jirani za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, na DR Congo watakaoingia Tanzania kwa usafiri wa anga au barabara kushuhudia mechi. Kuna mashabiki kutoka Europe, Asia, America wao wanasafiri popote Duniani kuhudhuria mashindano makubwa ya kimataifa (Groundhoppers). Watakuwepo waandishi wa habari na watangazaji (Media & Broadcasters) na wapiga picha kutoka vyombo vya habari vya Afrika na kimataifa. Mafundi, watangazaji, na wachambuzi kutoka kampuni zinazonunua haki za matangazo kama vile SuperSport, beIN Sports, Canal+, DAZN, etc Kuna vituo vya televisheni vya mataifa yanayoshiriki AFCON 2027 wanaofika kuweka mitambo na kurusha matangazo mubashara mashindano ya AFCON. Mashindano ya AFCON kwa mwaka 2027 yanafanyika kati ya Juni 19 na Julai 17 kitakuwa kipindi ambacho ni msimu wa kilele wa utalii (peak season) Wawakilishi wa kampuni za kimataifa watakuwepo Tanzania katika kusimamia chapa zao na kuendesha kampeni za masoko (brand activations). Wafanyabiashara wanaofuata fursa za kuuza jezi, bendera, na bidhaa za utamaduni wa nchi zao (merchandise) katika maeneo ya FAN ZONES. Mashindano ya AFCON hufanyika katikati ya dirisha kubwa la usajili la Ulaya (Juni – Julai). Maskauti wengi wakubwa kutoka ligi kubwa YUROPA watakuwepo Hao binadamu karibu wote niliowataja wanatumia mtandao wa 𝕏 kwa ajili ya kuchapisha maudhui na taarifa zao zinazohusu mashindano ya AFCON. Wangetakiwa kuwasha VPN ili kuweza kuingia katika mtandao wa 𝕏 kuchapisha maudhui ya taarifa zao, kusoma Direct Messages (DM) na kutumia GROK. Kuna uwezekano mkubwa sana amri hii ya Mahakama ikatekelezwa bila mazonge kwa haraka zaidi kuliko utekelezaji wa amri nyingine za Mahakama Kuu. Sisi siyo wajinga kama mnavyofikiria!
32
147
9
731
63,477
Njooni X (Twitter) huko Meta kumeshaharibika! Hata Dada wa Taifa mtamkuta hapa tu! Leo useme tatizo ni VPN alafu unatafuta ukombozi? Na mimi kwa sasa nita post hapa X zaidi - siwezi kujichosha na mtandao unaoshirikiana na wauaji! 🚮 Resistance is our right ✊🏽 Hakuna kukaa kinyonge! #TutaelewanaTu
28
220
6
982
31,213
JUMA MIRIGO retweeted
CHAMA kimetangaza LISSU awe huru ili aongoze hayo wanayoita "MARIDHIANO". Kuna kundi la watu wanaojiita VIONGOZI wa CDM wanataka CHAMA kiende kwenye MARIDHIANO bila LISSU. Hii inamaanisha kuna viongozi wa CDM wanafaidika na LISSU kuwa ndani. Hasa hawa wanaotaka MARIDHIANO bila LISSU kuwa nje.
15
118
1
902
33,063
Maoni ya Polepole kuhusu Maridhiano . Leo saa mbili usiku tutakuwa na space maalamu ya waliotekwa na waliopotezwa na serikali ya Samia Pia unakaribishwa kama ndugu yako ameketwa na kupotezwa na serikali ya Samia Au kama umefanyiwa uonevu wowote #ChangeTanzania
3
47
168
4,796
Watanzania Samia atatuletea matatizo makubwa mnoooo kwenye nchi kama tusipomuondoa madarakani. Hawa Taliban hawatambuliki kama serikali halali ya Afghanistan. Kwanza wanavyotesa wanawake na mabinti ni balaa. Mabinti hawaruhusu hata kwenda shule. Kweli leo Tanzania imekuwa katili kwa wananchi wake mpaka inatafuta ushirikiano na serikali katili pia. Nawaambia yuhu kimama atatuletea shida sana. Tanzania na Taliban wapi na wapi? Hii ni desperation, kimama anakatiliwa kila kona so anajenga ukaribu na wauwaji wengine
‼️WHY IS SAMIA SULUHU’S ILLEGITIMATE GOVT HOSTING THE TALIBAN??‼️🚨 So basically in November 2026, the Taliban's Minister of Industry and Commerce, Nooruddin Azizi, met with Tanzania's Minister of Minerals, Anthony Mavunde, on the sidelines of the seventh Tanzania Mining and Investment Conference (TMIC 2026) in Dar es Salaam What trade? “The two sides discussed expanding trade ties, including exporting Afghanistan's agricultural products, carpets, and mineral resources to Tanzania.” What kind of Afghanistan agricultural product are we talking about that Tanzania cannot produce? Opium poppy? Engaging this govt is dangerous! Cc @NorwayMFA @usembassytz @StateDeptARS @FCDOGovUK @SweAmbTZ Kwanza tujiulize Taliban haitambuliwi kama serikali halali ya Afghanistan - walialikwa na serikali haramu ya Samia Suluhu kuongea eti biashara? Afghanistam wana kilimo gani ambacho wanatupiku? Ni madawa wa kulevya yanayotokana na mmea wa poppy!? Ama? Na wameongeza uzalishaji tena in 2026! Hii serikali imealika Muslim extremists waliochukua madaraka kwa silaha alafu wanataka kutusingizia ugaidi wanaharakati tunaotumia vijisimu vyetu ku typetype!? Thubutu! Yaani hii serikali haramu ni ya kigaidi na wanatamani walete udini na uhafudhina tu hamna kingine! Ila acha twende hivi maana #TutaelewanaTu mapema!
31
127
2
640
57,637
JUMA MIRIGO retweeted
Mwenyekiti wetu Tundu Lissu amezishinda risasi 32 za ccm na dola.. Walitaka kumuua mwaka 2017 wakashindwa. Wamejaribu kumnyonga kwa kesi ya uhaini wa uongo wameshindwa. Wamemfunga kwa uchochezi wa uongo. Makaburu hawakuwahi kumpiga risasi Mandela wala kumuondolea ubunge wake. Wamlimfunga tu kwa mda mrefu na baadae alitoka. Historia ya Mwenyekiti Lissu itaandikwa kwa wino wa dhahabu, sio Raila wala Mandela amefanyiwa unyama na serikali kama ambao Mwenyekiti Lissu amefanyiwa na anaendelea kufanyiwa. Tutashinda na tutavuka.
56
448
8
1,801
32,033
Hatuna katiba
3
76
1
448
4,796
JUMA MIRIGO retweeted
Hii COMBINATION ya Lissu na @HecheJohn haijapata kuwepo kwenye UONGOZI wa aina yoyote hapa nchini. Najaribu kufikiria kama Lema au Wenje ndie angechaguliwa kuwa Makamu saa hizi CHADEMA ingekuwa wapi? Mungu ni Mwema kila wakati.
Kaka @frediejustine sikufundishi siasa lakini msikilize heche na umwelewe usifikirie kujibu.
9
46
4
256
6,734
Wauwaji watajitoa akili ila huu ndio ukweli.
Take a moment na tumsikilize bongo zozo! Kuna madini matupu
3
137
1,054
53,994
JUMA MIRIGO retweeted
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wanamtesa Gwamaka Mbughi na kumlazimishi akiri kwamba alikuwa mmoja wa watu walioingiza silaha nchini kwa lengo la kutumika katika jaribio la kupindua nchi tarehe 29 October. Wanataka aseme kwamba izo silaha alizito nchini Malawi na kuziingiza nchini kinyume cha utaratiba na kwamba Gwamaka ndo alikuwa mmoja wa waratibu wa kile wanachokiita vurugu kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Oktoba 29, 2025 Nduli Idd Amin Mama aliuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi kwa risasi, akaiba maelefu ya miili na kwenda kuizika kama mizigo kwenye makaburi ya halaiki sasa anataka kuwabebesha LAWAMA zote Viongozi na Wanachama wa CHADEMA.
33
142
5
616
22,447
JUMA MIRIGO retweeted
HECHE:HATUJAKATAA MAZUNGUMZO, LAKINI INAKUAJE MTU AMBAYE YUPO KWENYE MGOGORO YEYE NDIO AWE MSULUHISHI “Tunasisitiza kuwa umuhimu wa mazungumzo tunaujua na wala chama chetu hakijakataa mazungumzo yenye tija, lakini mazungumzo lazima yawe na msuluhuishi anaeheshimika na anayeweza kuleta pande mbili zinazokinzana pamoja, mgogoro uliopo ni kati ya CCM na chama chetu, CCM inaiba uchaguzi, wanaua watu, wanakamata watu wetu wanawafungulia kesi za uongo, inakuaje mtu ambaye yupo upande mmoja wa mgogoro yeye ndio anataka kuongoza mazungumzo ya mgogoro huo, hiyo inakuaje na tumekaa hapa kwenye nchi haiendi, watu wanaishi kwa hofu hata wao wenyewe hawana amani, tunaelewa wanayopanga nyuma ya pazi?”-John Heche, Makamu Mwenyekiti Chadema Bara.
3
52
176
2,824
Mariadhiano bila chama kinachoungwa mkono na Watanzania walio wengi ni kutafuta kuiingiza nchi kwenye matatizo makubwa zaidi….
Makamu Mwenyekitiwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche amesema kuwa kwa namna mchakato unavyoendeshwa wa kuelekea kwenye mazungumzo hakuna namna yanaweza kufanikiwa bila kukihusisha CHADEMA kwa kuwa ndicho chama chenye watu wengi kuliko hata Chama Cha Mapinduzi(CCM). Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Novemba 24, 2026, katika Makao Makuu ya CHADEMA jijini Dar es SalaamHeche, amesema Zanzibar vilikaa CCM na ACT Wazalendo pekee kama vile hamna vyama vingine. Amesema ni kujidanganya kwenda kufanya mazungumzo bila CHADEMA kuwepo. #EastAfricaRadio #TogetherTunawakilisha
10
151
1
1,087
36,215
JUMA MIRIGO retweeted
‼️ALERT‼️ Nimejulishwa kwamba Abdul na vibaraka wake akina Sumai wapo Nairobi tangu Jumapili, wamekuja kwa mgongo wa Team yao ya Dar City so kama wewe ni Mwanaharakati upo Kenya ni muhimu kuchukua tahadhari maana hawa wauaji bado wako mawindoni, wanataka kuzima sauti za watu wote ambao wanamkosoa Nduli Idd Amin Mama.
17
115
1
540
51,123
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeweka masharti mawili ya kushiriki mchakato wa maridhiano ya kitaifa, yakitaka Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, aachiwe huru bila masharti na kesi zinazowakabili viongozi na wanachama wake zifutwe.
9
66
6
388
19,870
Tomorrow! Kesho usikose X Space maalum ya Polepole na Utekaji Tanzania! Make sure you are part of this important space - it will be hosted HERE 👊🏽🔥 #FreePolepole #FreeAllPoliticalPrisoners in #Tanzania
5
154
3
589
12,458
JUMA MIRIGO retweeted
Yooh! God is Good 🙌 Angalia yule kijana aliyekuwa na matatizo ya ngozi alivyokuwa baada ya matibabu 🙌 All thanks to God, Erick Omondi na watu waliomchangia 🙌
26
60
2
1,006
35,001
JUMA MIRIGO retweeted
“Hakuna mazungumzo ya aina yoyote ile hiki Chama kitafanya kama Mhe. Lissu ataendelea kuwa Gerezani kwa kesi ya uwongo…”-; Mhe. @HecheJohn
13
168
3
755
12,781
Okhoreye bhuya muno, omona weito. 👊🏾 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @HecheJohn amesisitiza msimamo wa Kamati Kuu kuhusu maridhiano: masharti ya chama yatekelezwe kwanza—Mwenyekiti @TunduALissu aachiwe huru ili atuongoze huko mezani na awepo msuluhishi. Nothing less, nothing more.
15
179
1
1,156
28,360