Albini Akonaay Saragu retweeted
‼️ALERT‼️
Nimepokea taarifa kwamba kuna Wenyeviti wa Bavicha kutoka kwenye Kanda tatu pamoja na wenyeviti wa Mikoa 11 ambao wanashawishiwa kwa nyakati tofauti kwamba waanze kufanya press kukishinikiza Chama kikubali kwenda kwenye meza ya Maridhiano.
Kazi hii inafanywa na mjumbe mmoja wa Kamati Kuu ambae kamtanguliza mbele Fred Justin, ambapo huyu Fred ndo anamtumika kwenye kupigia simu Viongozi wa Bavicha kuwashawishi wafanye izo press.
So kuanzia sasa mkiona kijana yoyote wa BAVICHA kafanya press kukishinikiza Chama kwenda kwenye maridhiano basi mjue deal limetiki.
Nguvu inayotumika kutafuta maridhiano kama ingetumika kutafuta Ukweli na Haki kama Taifa wala tusingekuwa hapa.
Albini Akonaay Saragu retweeted
Asamteni sana @VOCALAfrica_ ✊🏽👏🏽🇹🇿🇰🇪 Solidarity!
Justice for Twaha Mwaipaya
Following @VOCALAfrica_ and partners habeas corpus petition in the matter of Tanzanian Twaha Mwaipaya, the court has ordered the @IG_NPS, @DCI_Kenya and OCS Ruai to “produce the person or body of Twaha Mwaipaya live or dead” in court on Monday, 2nd November at 11am.
Albini Akonaay Saragu retweeted
Huyu Dada ameniliza sana.
Haya ndo maumivu ambayo maelefu ya kina mama ambao walipoteza waume na watoto wao siku ya Oktoba 29, 2025.
Kutazama full documentary bonyeza lini hii hapa youtu.be/izWs1lJ4QrI?si=dx8_…
Albini Akonaay Saragu retweeted
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
Albini Akonaay Saragu retweeted
Tunashukuru WAKENYA wanaoungana nasisi kwenye kipindi hiki kigumu.
#FreeTwahaMwaipaya
Repost 200
Albini Akonaay Saragu retweeted
“Tusipopata Katiba Mpya mauaji yatajirudia tena…”-; Askofu Wolfgang Pisa
#Mo29 #TanzaniaMassacre
Albini Akonaay Saragu retweeted
Video ya kwanza ni Arusha, huyu single mother alipigwa risasi na Samia Suluhu akiwa amekaa mlango kwake. Yani waliingia mitaania wakawa wanaua watu kama wanaua ng’ombe.
Albini Akonaay Saragu retweeted
KUMBUKUMBU YA MO29
Mwaka mmoja uliopita leo, tarehe 29 Oktoba 2025, maisha ya ndugu zetu yalipotea Tanzania. Vikosi vya ulinzi & usalama vilitumia nguvu ya kifo, na maelfu ya watu waliuawa kinyama.
Tunawakumbuka waathiriwa na familia zao. Kumbukumbu yao iimarishe wito wa haki, ukweli na amani. Hamko peke yenu.
Hatutasahau. 🕯️
Albini Akonaay Saragu retweeted
Kuna wale watoto watatu ambao mama yao alipigwa risasi na kuuawa mbele ya macho yao tena wakiwa nyumbani.
Kuna yule ambaye alikaa chini la kulamba damu ya mtoto wake huku akimwangalia akiwa anakata roho bila kuwa na uwezo wa kumsaidia.
Kamwe hatutasahau ukatili huu.
#SamiaMassacre
Albini Akonaay Saragu retweeted
Hadi watoto, malaika wa Mungu na wajawazito na vichanga tumboni walipigwa risasi na Samia Suluhu October 29 2025……..
Albini Akonaay Saragu retweeted
Hili ndio kanisa la kusali na kutoa sadaka ya KUJIMALIZA.
Haya mahubiri huwezi kuyasikia akihubiri kibaka kama MWAMPOSA.
Leo nchi nzima tunasali kuwaombea wapendwa wetu #Mo29
#TukutaneParokiani
Repost 200
Albini Akonaay Saragu retweeted
#TANZANIA: NDUGU WA WALIOUAWA NA WENGINE KUJERUHIWA OKTOBA 29 WAJITOKEZA KUWASHA MISHUMAA KANISANI
Ndugu na jamaa wa waliouawa na wengine kupata madhira ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 wamejitokeza katika Kanisa Kuu la Mt. Joseph lililopo Posta jijini Dar Es Salaam kwa ajili ya kuwakumbuka wale wote waliouawa.
Zaidi: youtu.be/Nxlzi22qX-c
Albini Akonaay Saragu retweeted
Abducting politicians who have ran away from their oppressive government is a cowardly act. Twaha Mwaipaya should be released unharmed immediately. Those who abducted him and their mistresses or masters must be held to account. FREE TWAHA MWAIPAYA NOW!
Albini Akonaay Saragu retweeted
Kweli Mungu baba unaruhusu waliofanya hili wanaendesha ma Rolls Royce na bado wako madarakani???
Mungu tuone Watanzania. Tupe nguvu ya kupambana na hawa waliofanya hilo.
Video ya kwanza, hao Ma Gen Z walikuwa wanacheza pool table , Samia akaenda kuwapiga risasi za vichwaZ
Pumziko la milele uwape ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie, wapumzike kwa amani. Amen!
Ee Bwana Mungu muweza ya yote, ikikupendeza, kila aliyehusika na umwagaji damu huu aangamie yeye hadi kizazi chake cha saba. Katika Wewe Bwana, hakuna lisilowezekana. Amen!
instagram.com/reel/DfExOgXOM…
Albini Akonaay Saragu retweeted
TAARIFA KWA UMMA:
TATHMINI YA MATUKIO YA OKTOBA 29, 2025 BAADA YA MWAKA MMOJA "UKWELI, UWAJIBIKAJI NA HAKI"
Albini Akonaay Saragu retweeted
They were systematically hunting down people.
Imagine, serikali yako mwenyewe inakuwinda hivi kama mnyama ili tu wachache waweze kushikilia na kunyonya nchi.
Albini Akonaay Saragu retweeted
African leaders complain about being summoned by a single country but they keep showing up.
At the Russia-Africa summit, Putin literally handed out ice cream, criticized former colonizers, and called out "active attempts by Western countries" to keep the continent in debt
African leaders troop to Russia, again
CNN's Larry Madowo reports on the third Russia-Africa summit as Putin tells leaders that Moscow is a better friend than former colonial powers






















