Kwamba wangekuachia huru bila kukuhukumu, hiyo ingenitisha zaidi. Katika mazingira ambayo wanamiliki kilichopo mahakamani hadi Popo, uamuzi wa aina hii ulikuwa ni wa lazima. Kila kitu kina mwisho, hata haya yataisha siku moja na kuwa sehemu ya historia!
Hizi taarifa za utekaji zinasikitisha sana. Kuwa Mpinzani au kuwa Mwanaharakati hakuwezi kuwa dhambi ambayo adhabu yake ni kutekwa. Ndugu Watekaji muachieni Twaha aendelee na maisha yake ni kijana mwema kuliko nyinyi mnaoteka na kupoteza watu kila siku. #FreeTwahaMwaipaya
Sijui hata tumefikaje hapa kama nchi. Tanganyika imekuwa kama Pori ambalo halina mwenyewe kila mtu anaweza kufanya anachotaka hata kujisaidia na kuondoka. Tunahitaji Nchi yetu tuishi bila hofu. Malisa sio mhalifu anatakiwa kuwa huru! #FreeMalisa
Huyu Selasini aliyezungumza humu youtu.be/s6tw74btnaw?si=FQaQ… siku 4 zilizopita akikutana na Selasini aliyezungumza leo wanaweza wakapigana sana.
Umefanya vizuri kuliweka sawa Daktari! Tuna haki ya kuwa na mashaka kwasababu tumeumizwa sana lakini tutafanya makosa kama mashaka hayo yatakuwa yanaumiza wenzetu bila kuwa na ushahidi! @Advocate_Kisabo sio project anatakiwa kuelekezwa tu! Vijana wanaojitolea kama Paul sio wengi!
Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao, rasilimali zao na mshikamano katika kumtetea Mwenyekiti Lissu. Mmeonyesha kuwa mu marafiki wa kweli katika vita dhidi ya Mamumiani na mafisadi wa demokrasia ya kweli katika nchi yetu.
Katika harakati tunazoendesha tofauti lazima zijitokeze na hata kutiliana mashaka. Msikatishwe tamaa hata mara moja tusonge mbele kwa pamoja. Kama mjuavyo sasa tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Mwenyekiti Tundu Lissu. Taarifa hizo zitatolewa na uongozi mkuu wa chama, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa Sheria baada kushauriana na Mwanasheria Mkuu.
Jopo la Mawakili wa Mwenyekiti Tundu Lissu ni hawa wafuatao:
Orodha ya mawakili:
1. Mpale Kaba Mpoki
2. Dr Rugemeleza Nshala
3. Peter kibatala
4. Jeremiah Mtobesya
5 Hekima Mwasipu
6.Gaston Garubindi
7. Jebra Kambole
8. Deogratius Mahinyila
9. Paul Kisabo
10.Sisty Aloyce
11. Nashon Nkungu
12.Catherine Michael
13. Ikoti Lissu
14. Emanuel Chengula
15. Gloria Ulomy
16. Deus Singa
17. william Maduhu
18. Fredinand Makore
19.Jacob Mogend
20. Dorice Kafuku
21. Michael Mwangasa
22. Pastory Kong’oke
23. Matojo Cosata
24. Mzee Alute Mughwai Lissu.
25.Dickson Matata
26. Edward Heche
27.Maria Mushi
27. Selemani Mohamed Matauka
28.Michael Lugina
29. Melchiory Sanga
30. Edson Kilatu.
Naomba tuwatie moyo Mawakili hawa wote na tusonge mbele kwa pamoja na kwa moyo mmoja (tiyende pamodzi, ndi mtima umodzi) kama Mzee Kenneth Kaunda alivyotufundisha.
Aluta continua Vitoria e certa!
Bob Chacha Wangwe retweeted

R.I.E.P Mzee wetu Bungala (Bwege). Utakumbukwa kwa kuwa kiongozi mkweli na hodari wa kuwasilisha hoja hata kwa njia za ucheshi. Haukuwa mnafiki wala mwenye tamaa! Pumzika kwa amani!
Kesho korido za mahakama zitatembelewa tena na huyu Mwamba ambaye yuko gerezani kwa kesi za kubumba. Kwa akili zao mbovu Wanadhani kwa kuendelea kumshikilia atawapigia magoti ni wazi kwamba hawamfahamu Tundu Lissu! Muachieni Lissu mnapoteza muda tu huyo sio dalali wa kisiasa.
Siku kama ya leo mwaka jana, tulipambana na kukesha kuhakikisha CHADEMA inazaliwa Upya. Inatoka kwenye mikono ya Madalali wa Kisiasa! Happy birthday CHADEMA!
Bob Chacha Wangwe retweeted
Tanzanian Lawyers Bring Election Dispute to East African Court
thechanzo.com/2026/01/08/tan…
Bob Chacha Wangwe retweeted
Kesi ya Mahakama ya Afrika Mashariki juu ya Uchafuzi 2025, Nimefurahi kufanya kazi na SC Donald Deya, Arnold Tsunga,
Jeremiah Bamu, from Pan African Lawyers Union @LawyersofAfrica
Ubuntu Africa Law Group, and Civic Space Network Africa, 🌍
We represent @TitoMagoti @BobWangwe
Naam. Kama tutaamua kuwa kimya bila kuchukuwa hatua kwa kile kilichotokea Oktoba 29, basi tutakuwa tumesaliti elimu zetu na mambo yale yatakuwa sehemu ya chaguzi zitakazofuatia. Tunahitaji ustaarabu wa Kidemokrasia. Tunahitaji Tanzania ya Haki!
Bob Chacha Wangwe retweeted
govt-imposed curfew was illegal, making every act authorities took to enforce it outright criminal. we need an investigation into every death that occurred during the curfew period, and full reparation for the families who have lost their loved ones. more: thechanzo.com/2025/11/04/a-c…
Ni maumivu makubwa kuona nchi yetu ikiharibiwa kwa mambo yanayoweza kuzuilika. Mambo kama ya utekaji wa raia, mauwaji, uonevu, kiburi cha madaraka, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za nchi, uminywaji wa haki na uporwaji wa mamlaka ya Wananchi kuchagua viongozi wanaowataka….
…ni baadhi ya mambo ambayo yametufikisha hapa! Haya ndio mambo ambayo ni chukizo kwa Wananchi.
Watawala wanatakiwa kujua kama mambo haya yataendelea, nchi yetu itaendelea kupoteza umoja wa Kitaifa na Amani mambo ambayo ni tunu muhimu kwa maendeleo ya nchi yoyote….