Pinned Tweet
Watu wanapitia mengi sana ambayo hatuyaoni wala hawatuonyeshi usoni mwetu. Ukiwakuta watu wanafurahi ama kushangilia mafanikio yao hata kama ni madogo, ama ungana nao kushangilia, au wapishe washangilie. Kama wewe si sehemu ya maumivu yao, usilazimishe kuwa sehemu ya furaha yao.
Jacob Malima retweeted
Replying to @fredkavishe
Make sure your enjoyment squad is your rescue team bro !
Jacob Malima retweeted
Jitahidi sana kucontrol pombe na naweza kusema ukiwa broke achana na mapombe kabisa. Ukijijua unajitafuta achana na pombe ni UFALA
Jacob Malima retweeted
Zaburi 28:7
Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu; Moyo wangu umemtumaini, nami nimesaidiwa; Kwa hiyo moyo wangu unashangilia, Nami nitamshukuru kwa wimbo wangu.
Jacob Malima retweeted
Huwezi kuwadanganya watu Kila siku,
Ukweli hua unatabia yakuchelewa ila utafika.
Jacob Malima retweeted
Ukijua kuna ushindi unaopatikana kwa kuamua kukaa kimya utaacha kushiriki kila vita.
Jacob Malima retweeted
Normalize being very direct. Very straight to the point. Very assertive. You'll get everything you want in life. Stop beating around the bush. Start speaking with your chest. People don't respect hints. They respect clarity. Say what you mean.
Mean what you say. Then Watch-out
Jacob Malima retweeted
Haijalishi Unapitia Magumu Kiasi Gani Usijaribu Kujiua , Kuwa Mpole Ipo Siku Utakufa Tu 👊🙏
Jacob Malima retweeted
Long distance isn't missing someone every day. Its having 40 small things to tell them and forgetting 35 by the time you call.
Jacob Malima retweeted
The gift of your 30s is the destruction. You finally see how much your life was built on other people’s blueprints. So you burn it down and build that’s actually yours. That’s when life starts rewarding you in ways you didn’t know were possible.
Jacob Malima retweeted
One thing I love about tomorrow is that you never know who will be relevant, alive, available, important, bigger or most needed. Treat everyone equally, with dignity, respect and honour. Life has a way of changing the tables.




















