NYANI MZEE (@jwise017) header
NYANI MZEE (@jwise017) profile picture

Mtanganyika | Mkulima | Polygamist |Afisa Ubashiri | Beer & Bebez | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru 🙏🏿 #VituVyaPeponi #MatomboStyle⭐️

Matombo, Morogoro, Tanganyika
Joined November 2010
Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)
UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua “kufa kiume” na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
36
221
13
990
183,799
NYANI MZEE retweeted
TAL! Baada ya kukutwa na hatia aliomba kuongea na mawakili wake, tukamzunguka kila mtu akawa anampa mitigation facts, akasema kwani hamjui wana hukumu?, tukamjibu tunajua!, akasema nikifanya mitigation itabadili hukumu yao?, tukajibu hapana! Akasema let me speak my mind!
33
164
3
554
8,586
“Today the High Court has confirmed what we have said from day one: the treason charge was a political fabrication. The prosecution failed to prove any intention to intimidate the government. Instead of ordering my release after 577 days in detention, the court has convicted me of an offence I was never charged with and never given a chance to defend. This is not justice. This is damage control. History will record how the court searched for a lesser charge simply to keep me in prison.” Tundu Antipas Lissu November 6, 2027 —Admin.
14
227
3
618
7,512
Kipindi cha uchaguzi TAL hakuwa uraiani lakini mnasema kachochea vurugu za October 29. Hii yote ni kukwepa uwajibikaji kwa mauaji mliyoyafanya. Mahakama si Muhimili unaojitegemea.
6
35
178
3,215
NYANI MZEE retweeted
“Mimi ni raia mwema na mzalendo wa nchi hii. Nimekuwa Mbunge mara mbili. Nimekwenda jeshini. Nimekuwa Rais wa Mawakili. Mimi sio mpiga kelele na wala mchochezi. I am a SOLID PATRIOT.” - Tundu Lissu.
4
55
208
2,278
NYANI MZEE retweeted
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA! Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka. Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo. Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua). Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja. Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee. Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA. Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani. Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu. UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA! BAK MWABUKUSI
31
252
2
753
9,219
NYANI MZEE retweeted
Kwenye press ya leo, viongozi wa Chadema ni kama wamepata nguvu na ari mpya.
6
18
150
2,573
NYANI MZEE retweeted
😂😂😂ulikua unalazimisha akubali makosa ambayo leo mahakama imesema hana alaf unajifanya unamuonea huruma🚮
#TajiriLaKihaya Duh Hadi Chozi limenidondoka 💔💔 * Mhe. Lissu anaendelea Waheshimiwa majaji nafaham mnajua kwamba nina msiba mkubwa sana wa mtu aliyenilea, amenifanya mimi kuwa mwanasheria, kwasabu sikupata nafasi ya kumuuguza, nilikuwa natumaini kuwa Mahakama itaniacha niende nikamzike Mzee Alutte, I was hoping that, inaelekea kuwa hiyo haipo kwenye mahesabu yenu, mnapokuwa mnafikiria adhabu mfikirie na hilo, family obligationdls is a factor kuamua adhabu, huyu mtu amefiwa, Dunia nzima inajua, magazeti everywhere, I was hoping that nitapata nafasi ya kwenda kumzika huyu aliyenilea. Waheshimiwa majaji leo ni mwaka na miezi 7 niko gerezani, mnapofikiria adhabu kali muitoe msije mkasahau kwamba huyu mtu ameshakaa gerezani kwa kosa ambalo mmelisema wenyewe kuwa sio kosa, halijathibitishwa na wala msije mkasau walichokisema jopo la Majaji watatu wenzenu: Jaji Mruma, Dkt. Longopa na Jaji Rumisha kuhusiana na niliyotendewa gerezani. Wamesema nimenyimwa fursa ya kuwasiliana na mawakili wangu, Viongozi wenzangu wa chama halali cha Chadema, nimenyimwa fursa hata ya kuomba Mungu. Majaji wenzenu wamesema hayo yaliyotendeka nilinyimwa fursa na haki ya kujitetea, msije mkasau hayo mnapofikiria adhabu kali. Waheshimiwa Majaji mimi ni raia mwema wa nchi hii, mzalendo wa nchi hii, nimetumikia nchi hii kama Mbunge wa kuchaguliwa na Wananchi mara 2 nimekwenda Jeshini, nimekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa nchi hii, mimi sio mpiga kelele, I am a patriotic, ndio maana nimeona na mabalozi wako Mahakamani, wanajua mimi ni patriotic hivyo mnapofikiria adhabu msije mkasahau hoja hii. Waheshimiwa Majaji gerezani sio mahali pazuri sana, nasema hivyo kwasababu nimeishi kwa siku 577, nakaa kwenye chumba cha sita kwa sita, sio sheraton hotel, unaweza ukasema tu funga kama hujui Gereza ni nini? Nasema haya kwasababu mimi sio mzima sana, kwenye huu mwili wangu nina operesheni 25, visu vya madaktari, ninatembea na risasi mwilini. Katika risasi 16 zilizoingia mwilini moja walishindwa kuitoa, ninatakiwa niwe naenda Hospital Ubeligiji, Hospital ya chuo kikuu cha Luven nilikotibiwa baada ya yaliyonikuta miaka 9 iliyopita, nimeshamiss appointment 4 kwasababu ya kesi hii, juu ya yote hayo Majaji nina kisukari huu mwaka wa 6 sasa, kwahiyo mtakapokuwa mnatafakari hiyo adhabu kali, mkumbuke hilo kwamba hali yangu ya kiafya sio nzuri sana. Waheshimiwa majaji kosa la uchochezi mara ya mwisho nilipoangalia ni kosa lenye dhamana, kama itawapendeza Kwa vile hili kosa lina dhamana, mnipe dhamana ili nikatie uamuzi wenu huu rufaa nikiwa nje kwa dhamana lakini muhimu zaidi pia ili nikamzike huyu aliyelala (Mzee Alute), nilisema sina mpango wa kuomba ila dhamana naomba.*
35
28
235
10,914
NYANI MZEE retweeted
As the High Court of Tanzania delivers its judgment today in the legally bankrupt treason trial of CHADEMA Party Leader Tundu Lissu, I stand in unwavering solidarity with him and the people of Tanzania. The future of our Jumuia does not belong to neocolonial puppets, corrupt elites, or captured states. It belongs to deep structural reforms, constitutionalism (Ukatiba), and Pan-African solidarity anchored firmly in democratic values and human dignity. The march towards true Reform–Mageuzi is unstoppable. Kumekucha! @TunduALissu @ChademaTZ2 @MariaSTsehai @judiciarytz @TitoMagoti @HecheJohn
15
339
10
820
20,484
NYANI MZEE retweeted
“Ukweli unaweza kuwa ni kosa la jinai kwa WATAWALA WAOVU, ila haujawahi kuwa dhambi” Tundu Lisu & Bob Marley.
2
3
103
NYANI MZEE retweeted
Halafu bado kuna watu wanataka CDM waende kwenye meza ya maridhiano hahah
10
17
163
2,500
Replying to @jwise017
What are the aims of Education?
1
1
105
NYANI MZEE retweeted
Inabidi uchukue break kwenye siasa, inawezekana unaumiza zaidi kuliko kuponya naamini nia yako ni njema. Lissu kasema hajakata tamaa, familia yake imesema hivyo hivyo, jamii inaonesha kutoridhishwa, ila wewe unaona jamii iko kimya?
Mwenyekit Tundu Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi ambalo, kwa mtazamo wangu, ni la kutengenezwa. Safari sasa ni kwenda Mahakama ya Rufaa, lakini tusisahau kwamba hata Mahakama ya Rufaa haiwezi kuwa mbadala wa dhamiri ya umma katika kutetea haki na kupinga matumizi mabaya ya mifumo ya dola. Mahakama ya rufaa ya Lissu haipaswi kuwa Mahakama ya Rufaa pekee. Inapaswa kuwa umma wote tunaohofia kwamba kesi hizi zinatumika kama njia ya kuwanyamazisha na kuwadhibiti wanasiasa wakosoaji. Hatari kubwa zaidi si kifungo cha Lissu pekee. Ni uwezekano wa kifungo kutengeneza mazoea hatimaye kuwa sehemu ya mfumo wa kawaida wa kudhibiti upinzani. Hapo ndipo tunapopaswa kuwa na wasiwasi. Leo hukumu imetolewa, lakini nchi inaendelea na shughuli zake kana kwamba hakuna jambo kubwa lililotokea. Kana kwamba ni mtu mwingine wa kawaida tu aliyefungwa. Hii ni ishara inayopaswa kutufanya tutafakari kwa kina kuhusu hali ya dhamiri ya jamii yetu. Watu wengi, wakiwemo wanachama wetu, tayari wako mahabusu. Tusipojiuliza kwa pamoja tunakoelekea, tunaweza kuamka siku moja na kukuta magereza yamekuwa sehemu ya kawaida ya maisha ya kisiasa ya nchi yetu. Uonevu hauzuiliwi na nguvu ya waliouonewa pekee, bali pia na dhamiri ya jamii inayokataa kuuzoea. Kukaa kimya mbele ya jambo linalogusa haki za msingi za binadamu kunaweza kuifanya jamii izoeane na hali ambayo kesho inaweza kumkuta yeyote kati yetu.
14
20
2
117
4,971
ZAMBIA: Safari ya Marais kutoka Ikulu hadi GEREZANI na kutoka gerezani hadi IKULU. “Zambia imetuonyesha kuwa katika siasa, mtu aliyeko magereza leo anaweza kuwa kiongozi wa nchi kesho, na aliyeshika Funguo za madaraka leo anaweza kujikuta akikabiliana na mashtaka kesho” Historia ya kisiasa ya Zambia imejaa ushindani, usaliti wa kisiasa, kukamatwa, kufungwa jela na mabadiliko ya uongozi. Ni historia inayodhihirisha jinsi wapinzani wa jana wanavyoweza kuwa watawala wa leo, na watawala wa leo kuwa wafungwa au watuhumiwa wa kesho. Mnamo mwaka 1964, Zambia ilipopata uhuru kutoka kwa Uingereza, Kenneth Kaunda akawa rais wa kwanza wa nchihiyo. Hata hivyo, baada ya muda, serikali yake ilianzisha mfumo wa chama kimoja mwaka 1972, hali iliyopunguza nafasiya upinzani wa kisiasa. Miongoni mwa watu waliokumbana na mkono wa dola yake alikuwa Frederick Chiluba, kiongoziwa vyama vya wafanyakazi, ambaye alikamatwa na kuwekwa kizuizini mwaka 1981. Chiluba hakukata tamaa; badalayake, aliendelea kupigania mfumo wa vyama vingi. Mwaka 1991, aliongoza chama cha Movement for MultipartyDemocracy (MMD) kushinda uchaguzi na kumwangusha Kaunda, ambaye alikubali kuondoka madarakani kwa amani.Hivyo, mtu aliyewahi kuwa mfungwa chini ya Kaunda akawa rais wa pili wa Zambia. Lakini historia ilijirudia kwa namna ya kushangaza. Baada ya Chiluba kuingia madarakani mwaka 1991, uhusiano wakena mtangulizi wake, Kenneth Kaunda, ulizidi kuwa mgumu. Mwaka 1997, Kaunda alikamatwa na kuwekwa chini yaulinzi wa serikali ya Chiluba kufuatia tuhuma zilizohusishwa na jaribio la mapinduzi. Baadaye aliachiwa, ingawaaliwekwa chini ya vizuizi vya nyumbani. Wakati huohuo, Chiluba alipomaliza mihula yake miwili ya urais,alimpendekeza Levy Mwanawasa kuwa mrithi wake. Mwanawasa alipoingia madarakani mwaka 2001, alianzakuchunguza tuhuma za ufisadi zilizomhusu Chiluba. Mwaka 2002, hatua za kisheria dhidi ya Chiluba zilianza kushikakasi, na rais huyo wa zamani akajikuta akikabiliana na mahakama. Hatimaye, aliachiliwa huru katika kesi ya jinai nchiniZambia mwaka 2009. Miaka iliposonga, Zambia ilishuhudia ushindani mwingine mkubwa kati ya Edgar Lungu na Hakainde Hichilema. Lungualiingia madarakani mwaka 2015, huku Hichilema akiwa mmoja wa wapinzani wake wakuu kupitia chama cha UnitedParty for National Development (UPND). Katika uchaguzi wa mwaka 2016, Lungu alitangazwa mshindi, huku Hichilemaakipinga matokeo. Mgogoro wa kisiasa uliendelea hadi tarehe 11 Aprili 2017, ambapo polisi walimkamata Hichilemanyumbani kwake na kumfungulia mashtaka ya uhaini baada ya tukio la msafara wake kuhusishwa na msafara wa rais.Aliwekwa katika gereza la Mukobeko Maximum Security Prison na kukaa mahabusu kwa takribani miezi minne. Hatahivyo, Agosti 2017, kesi yake ilifutwa na akaachiwa huru. Tukio hilo lilikuwa sehemu muhimu ya safari yake ya kisiasa,ambayo haikuishia gerezani. Katika uchaguzi mkuu wa tarehe 12 Agosti 2021, historia ilijirudia kwa namna nyingine. Hakainde Hichilema alimshindaEdgar Lungu na kuwa rais wa saba wa Zambia. Mtu aliyekuwa amekamatwa na kufungwa katika utawala wa Lungu sasaalikuwa ameingia Ikulu kama mkuu wa nchi. Ushindani wao wa kisiasa uliendelea hata baada ya mabadiliko ya uongozi.Edgar Lungu alifariki dunia tarehe 5 Juni 2025 nchini Afrika Kusini, huku kukiwa na mvutano kati ya familia yake naserikali ya Hichilema kuhusu taratibu za mazishi yake. Kwa hiyo, uhusiano wa kisiasa kati ya viongozi hao wawiliuliendelea kuwa sehemu ya historia yenye misukosuko ya Zambia, hata baada ya mmoja wao kuondoka duniani. Kwa ujumla, historia ya Zambia inatoa somo muhimu kuhusu matumizi ya madaraka na mustakabali wa demokrasiabarani Afrika. Kuanzia Kenneth Kaunda, Frederick Chiluba, Levy Mwanawasa, Edgar Lungu hadi Hakainde Hichilema,tunaona namna viongozi na wapinzani wao walivyokutana katika mazingira ya kukamatwa, kufunguliwa mashtaka,kufungwa na hatimaye kubadilishana nafasi za uongozi.
1
9
30
2,510
NYANI MZEE retweeted
He is one of the smart guys in politics! How can you hate him man !
31
1
125
1,910
Bia imegoma kabisa kushuka leo, sad day indeed!
1
10
342
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Ushwaishi+nguli wa sheria
1
36
Replying to @godbless_lema
Tunahitaji strategic engagement vinginevyo njia ya Mahakama haitoki?
1
5
264
NYANI MZEE retweeted
Print weka nyumbani weka unakoona panafaa tabasamu jema la mtu mwema Aliyeshinda Risasi Anayeandaliwa na Mungu Kama Mungu aishivyo
2
77
322
4,054
NYANI MZEE retweeted
Chair anapendwa na kukubalika street ile mbaya, look at this attention he captured.🙌🏿🔥
14
73
562
9,146
"Sitaomba msamaha kwa sababu sina hatia, Wasio na hatia hawaombi msamaha" TAL,2026
2
27
99
928