6brand retweeted
BREAKING:
Another mutiny!
It seems Ugandans are leaving the army to them. Something must be boiling inside. We hope it accelerates the liberation even faster.
6brand retweeted
Siku yaja, nyie ndio mtatuma nauli na sisi hatutakuja vile vile😂💔..
Maandiko yanaeleza ...
#elimikaweekend
6brand retweeted
Hakuna wa kuja kutuokoa
Si Lissu, si Mange, si mimi si mwanaharakati yoyote!
Si Marekani, EU, nchi yoyote
Si UN, ICC ama shirika yoyote
You get the government you deserve! Ukikubali kudharauliwa, kukandamizwa na kikundi kidogo na kuogopa kuRESIST - basi utaishi ktk dhulma
Ndo ukweli mchungu
#TutaelewanaTu
6brand retweeted
DEO NDEJEBI ndio Plan B ya Samia Suluhu na Jakaya Kikwete……
Tusiite Afcon, tuiite AFCON YA WAUWAJI na wa Africa wenzetu wanaopanga kuja Tz tuwaambie wanakuja kusapoti mauaji ya Waafrica wenzao kupitia sports washing
6brand retweeted
Jamii inataka mtoto wa kiume awe good husband and father, hapo hapo inataka awe a good son to his parents, bado madogo wanataka uwe the good brother, ndugu wanakutolea macho, boss nae anataka u deliver kazi, bado uwe good kitandani, aloo 😆
6brand retweeted
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angel…….
KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHi…..
Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai haki…..
Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania.
Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano.
Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29……
6brand retweeted
‼️🚨 Gaidi Mwandamizi Namba 101
Mtanganyika - Jaji Shaban Ally Lila‼️
Tunamleta kwenu Gaidi Shaban Ally Lila (Mtanganyika) ambaye ni Jaji na Mwenyekiti wa tume HARAMU iliyoundwa na Gaidi Kiongozi Samia Suluhu Hassan mnamo Mei 2026. Gaidi Lila amezaliwa mwaka 1960.
Ikumbukwe kwamba raia wa Tanganyika wapatao 10,000 wasio na hatia waliuliwa kabla, wakati na baada ya Oktoba 2025. Mauaji haya yamefanywa na familia katili kutoka Zanzibar ya Gaidi Mkuu Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na familia yake
Gaidi Shaban Ally Lila anatuhumiwa pamoja na ukatili mwingine wa kisheria ambao amekuwa anaufanya, ana tuhuma za kupokea rushwa kutoka kwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya alipokuwa kwenye majukumu katika mahakama za Tanzania. Tuhuma hizi zilizoletwa kwetu na wazalendo ndani ya vyombo hazijawahi kukanushwa wala kupingwa.
Hivyo uteuzi wake kuongoza tume haramu ya kuinajisi Tanganyika na
watu wake unatokana na uzoefu wake wa kupindisha sheria na taratibu
kwa malipo ya fedha.
Kwa sasa Gaidi Shaban Ally Lila anaendelea na kazi ya kuchunguza
chanzo, wahusika, na waliopanga au kufadhili matukio ya ghasia, vifo na uvunjifu wa amani. Kazi yake kubwa sasa hivi ni kukusanya kila takataka ya taarifa ili atimize lengo la kuwaumiza Watanganyika kwa kesi FEKI za uhaini na ugaidi. Kazi kubwa anayoikamilisha ni kuhakikisha baadhi ya viongozi wa CCM wasiopendwa na Gaidi Kiongozi Samia na familia yake, wanaharakati, wanasiasa hasa wa chama kikuu cha siasa Chadema, viongozi wa dini hasa TEC na baadhi ya KKKT ambao wanasimamia HAKI wanafunguliwa mashitaka ili kuzima harakati zote za kuikomboa Tanganyika dhidi ya uvamizi wa magaidi kutoka Zanzibar.
Ndugu Mtangayika, simama kutetea nchi yako. Tafadhali toa taarifa popote pale utakapomuona au kupata taarifa za Gaidi Shaban Ally Lila. Kutoa kwako taarifa ikiambatana na picha au sauti itasaidia kuweka kumbukumbu zitakazowezesha kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria.
Tusiogope! Tutashinda!
A luta continua, vitória é certa!
Mapambano yanaendelea, ushindi ni hakika!
#FreeTunduLissu #KatibaMpya #SamiaMustGo
6brand retweeted
Siku chadema wakifanya maridhino a wauwaji ndio mwisho wa chadema dunia hii
So maridhiano ni ya wananchi sio chadema
#freeTunduLisuu
6brand retweeted
Kwenu ICC na ICJ Samia Suluhu na wenzie lazma wawajibishwe kwa damu hizi……
Nchi ya Tanzania haitokaa ipone wala itulie bila uwajibishwaji wa damu hizi…..
6brand retweeted
AMKENI!
@Africa_In_EN imechapisha madudu ya kimama na kumwanika Ndejembi
Urafiki wake na Abdul iko on record
Lakini pia alifunguliwa kesi Uingereza na anadaiwa faini na hadi leo hajalipa!
Ndo nawaambia hawa TISS ya Mombo ni 🚮 - Makamu wa Rais mzima ameacha vimeo huko UK! Na tungejua huyo faini alifanya kosa gani!
Alagu tusikie mnasema eti Lissu hafai kuwa makamu kwa sababu eti kahukumiwa! Kama kujiuzulu aanze Sifuri Tatu!
Tafsiri:
Nyaraka rasmi za Uingereza zilizoonwa na *Africa Intelligence* zinataja hukumu mbili za mahakama ya madai dhidi yake, zilizotolewa mwaka 2021 na 2022, zikimtaka kulipa faini za pauni 3,140 na pauni 4,085.
Nyaraka hizo hazibainishi sababu za faini hizo, lakini kiasi hicho cha fedha kilikuwa bado hakijalipwa kufikia Septemba 2026. Msemaji wa ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania hakujibu ombi la *Africa Intelligence* la kutaka maoni.
Tunapambana na wahalifu!
Eniwei #SamiaMustGo na #TutaelewanaTu
6brand retweeted
Kusoma fuata link: 👇🏾
africaintelligence.com/easte…
6brand retweeted
Kushughulika Na TUNDU LISSU Jiulize Kwa Nini Anaishi? Ukipata Jibu, Nyenyekea. Ukilikosa Jiandae Kujibiwa. Kagoma Kurudi Nyuma. TURUDI SISI.
~Askofu BENSON BAGONZA (PhD)
6brand retweeted
Tunaweza jikomboa kwa sasa
Tunatakiwa wapelekea wana CCM wote vikwazo vya kiuchumi, tusitumie wala kugusa bidhaa zao.
Kila siku CCM wanaibuka na ukatili mpya , nguvu wanapata kwenye fedha tunazowapatia kwa kununua bidhaa zao
6brand retweeted
Tunaweza jikomboa kwa sasa
Tunatakiwa wapelekea wana CCM wote vikwazo vya kiuchumi, tusitumie wala kugusa bidhaa zao.
Kila siku CCM wanaibuka na ukatili mpya , nguvu wanapata kwenye fedha tunazowapatia kwa kununua bidhaa zao
6brand retweeted
Pesa zote za nchi wanazo familia 5 wananchi wataacha kuishi kwenye umaskini uliokithiri?
Mifumo yote inayozuia haki kupatikana Tz imeshikiliwa na hizi familia 5 pia……
1. Samia Suluhu - Ikulu
2. Mombo - Usalama Wa taifa
3. Wambura - Jeshi la polisi
4. Othman - Jeshi La Wananchi
5. Jakaya Kikwete - Strategist anae coordinate mifumo yote hii kuendelea kuzuia haki kupatikana na anae mhalalisha Samia kimataifa.
Benki ya Dunia inasema Nigeria, DRC, Ethiopia na Tanzania ni miongoni mwa vituo vikubwa zaidi vya umaskini uliokithiri Duniani.
openknowledge.worldbank.org/…


















































