Harry (@HarryGodfirst) header
Harry (@HarryGodfirst) profile picture

A believer✝️. John17:3, Romans 1:16-17 Athlete. Football.Swimming.Marathon.Cycling

🌍
Joined April 2021
Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)Photo by Harry (@HarryGodfirst)
Naamini HATOKUJA KUJUTIA uamuzi huu.....
Hakeem Olajuwon bought a multimillion dollar historic building in Houston and turned it into a mosque and Islamic educational center. The Nigerian NBA Hall of Famer considers it his greatest achievement, bigger than anything he did in basketball
38
Imagine POLISI walivyo na Ushetani, Unamwambia mtu akumbatie Maiti...💔 !?
Sehemu ya kwanza ya simuliza ya kijana mwenye umri wa miaka 22 aliyepitia mateso makali kwa amri ya samia na kunusurika kuuwaa oktoba 29 hadi sasa anafuatiliwa na wauwaji Party One, the story of a 22-year-old young man who endured severe torture on Samia's orders, survived an attempt on his life on October 29, and has continued to be hunted by Samia's assassins ever since to make sure that they are cleaning up all the evidence. @elinavaltonen @humanrightstz @UN_HRC @HildaNewton21 @MariaSTsehai @lifeofmshaba @aliciakearns @NoPartialRights @SusannaN2 @EspenBarthEide @Tanzaiite @USAmbTanzania @BBCAfrica @cnni @EliasariaII @CPA_UK @Europarl_EN @IntlCrimCourt @jeangene_vilmer @SecRubio @POTUS44
43
Hakuna wa kuja kutuokoa Si Lissu, si Mange, si mimi si mwanaharakati yoyote! Si Marekani, EU, nchi yoyote Si UN, ICC ama shirika yoyote You get the government you deserve! Ukikubali kudharauliwa, kukandamizwa na kikundi kidogo na kuogopa kuRESIST - basi utaishi ktk dhulma Ndo ukweli mchungu #TutaelewanaTu
18
143
5
523
14,752
Uliyeniokotesha 20,000/= hapo SGR Station, Mungu akubariki, na asante sana kwa kutambua tunachokifanya!! Wakuu nimeokoteshwa ya weekend mapema sana, Mzee Mpoki utaramba bia moja tu 😂😂😂 @TitoMagoti @MpaleMpoki
19
58
1
596
9,186
Hawa wanaowalazimisha sasa mfanye 'MARIDHIANO' bila wao KUWAJIBIKA, Watawaua tena 2030 Na watawaita waliobaki kwenye maridhiano.
2
9
226
Bongo Zozo ameteka madini sana kuhusu MARIDHIANO.🧠👏
Tenga dakika zako 9 MSIKILIZE BONGO ZOZO. Repost 200
1
9
161
MARIDHIANO ya Nini.....?👇 Bongo Zozo🧠👏
1
5
133
DEO NDEJEBI ndio Plan B ya Samia Suluhu na Jakaya Kikwete…… Tusiite Afcon, tuiite AFCON YA WAUWAJI na wa Africa wenzetu wanaopanga kuja Tz tuwaambie wanakuja kusapoti mauaji ya Waafrica wenzao kupitia sports washing
Wauwaji wanataka kupitisha katiba iliyopendekezwa na CCM 2015 kwenye ile tume ya katiba mpya……. Samia, Kikwete, Wambura, Mombo na Haji Othman (Chief of staff jeshi la wananchi) wanataka kujimilikisha nchi for the next 15 years.
26
219
6
1,036
41,189
Wazee wakunusa Viashiria vya Uvunjifu wa Amani. Wanaoiba na kufanya ubadhirifu kodi za raia hizo taarifa huwa mnashindwa vipi kuzipata ?
VIDEO: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kuna viashiria vya kuhatarisha amani ya nchi vinavyotokana na matumizi mabaya ya imani za dini, hali ambayo inaweza kusababisha mgawanyiko miongoni mwa Watanzania. Katambi ameyasema hayo leo Novemba 20, 2026, wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi mkoani Kilimanjaro. Amesema kuwa kukosekana kwa malezi bora kutoka kwa wazazi kunachangia watoto kujiingiza katika vitendo vya uhalifu na makosa mbalimbali ya jinai. Aidha, amesema kuwa ongezeko la kesi za jinai nchini linachangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa malezi bora kutoka kwa wazazi, hususan baba na mama.
8
107
Stephen Miller × Marco Rubio possible incoming US presidents.
53
Chief of Staff @StephenM gives electric remarks: "Under his leadership, the next two years are going to be the greatest two years in American history — and I am so proud to be his Chief of Staff."
733
1,967
112
11,223
306,259
Samia jana anawasifia kabisa Polisi "...Yale makambi yenu yako tayari.." Abduction and Torture cell !? Mtatisha na kuua raia mpaka lini ?
5
121
Hili la kususia AFCON ni possible kabisa, Juzi nimemsikia HAJI MANARA anasema Hamasa kwa Timu ya Taifa na hata SIMBA & YANGA imepungua, i think campaign ya kuigomea AFCON inawezekana kabisa.👍
Watanzania wote tumemwangusha mtoto Angel. Wanaharakati pia tumemwangusha mtoto Angel……. KIFO CHA MTOTO ANGEL KIPO JUU YETU SISI WANANCHi….. Tuanze kampeni ya kuwaomba Wa Africa wenzetu wasusie Afcon upande wa Tanzania ili kutuunga mkono kwenyw kudai haki….. Lazma tuwe na Plan A, Plan B na Plan C juu ya AFCON. Tusiweke mategemeo yetu yote kwenye maandamano tu, lazma tuwe na strategies tofauti ili kuhakikisha Watanzania wanafanikiwa kuitumia Afcon ili kuwaanika Samia Suluhu, Jakaya Kikwete na ushetani waliowafanyia Watanzania. Na pia tuanze kuelemishana mitaani kuwa tunasusia Afcon na kujipanga na maandamano. Afcon lazma itumike kuonyesha dunia mauaji ya October 29……
10
412
Pwagu na Pwaguzi..
1
8
1,193
Trump....huyu mzee 😂😂😂🙌
🚨 JUST NOW: President Trump brings Chief of Staff STEPHEN MILLER up to the microphone, calling him “THE MOST POWERFUL MAN IN THE WORLD" -- then asks him if he wants to run for President 🤣 @StephenM: "I just wanted to say that President Trump has achieved over the last two years is more than any president has achieved BY FAR in American history. We can stand up here for FOUR HOURS and go through achievement by achievement by achievement. The first president in American history to achieve NET DE-REGULATION. In other words, not only were more regulations removed than added but 10 TO 1. For every new one 10 regulations removed. Never happened before in history! Even under Ronald Reagan.” 🔥 TRUMP: "Do you want to run for President?! Boy!"
2
118
.@POTUS on Iran: "They want to make a deal, but they don't want to make a deal that's acceptable to me. We want to make a real deal, not a fake deal... They've been bullshitting people for 51 years."
440
1,420
114
8,510
431,148
HATUHADAIKI ! Samia huyu ndiye wakati tunaendelea na Madaia ya #KatibaMpya yeye akiita '..Kijitabu..' !? Mnadhani mtu wa namna hii ataruhusu MCHAKATO GENUINE WA KATIBA? Binafsi Naona Ni Big NO, Kikubwa atauweka Viraka Viwili-Vitatu ambavyo ni very minor. Anatupotezea Muda🚮
1
1
15
449
Harry retweeted
Tunakoelekea Mungu akitupa UHAI, Ipo siku kina KATUGA na WALIOMTUMA watamtafuta Mh. Lissu kwa ajili ya 'MARIDHIANO' Hiyo siku yaja na huenda sio mbali.
1
4
13
593
Harry retweeted
Nilisema mwaka juzi na jana nafikiri kwamba Serikali,Bunge & Mahakama ambazo zitaundwaa chini ya SAMIA zitakuwa TAASISI za HOVYO kuwahi kutokea TZ. Unamhukumu mtu kwa Kosa A baadae unakuta hana hatia,Unaenda kumfunga kwa kosa B ambalo hukumshtakinalo. Hivi dunia inatuaonaje ? 😤
2
13
1,202