E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_) header
E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_) profile picture

Lawyer & Liberal, Personal & Private Banking, Universal Banker #ArsenalFan

Tanzania
Joined September 2015
Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)Photo by E.N.I.G.M.A (@Kabelinde_)
Gospel in Tanzania imekua nzuri lately in terms of vipaji vipya, music, new audience & social impact. Inapenya sana kwenye mawimbi na ina compete kama secular ukilinganisha back in years.
10
Hate watching with passion
Kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, Arsenal wakishinda naumia sana😒 leo hata appetite sina kabisa💔
15
Khalifa! Wawekezaji na wao ni sehemu ya hizi chokochoko zetu. Muwekezaji msafi hawekezi kwenye economy hii yenye rushwa nyingi kaka. Dunia ina wapiga dili kila kona bro, dunia imeshakua yakinyang’au ni how are we surviving and still remain one nation ndio mtihani mgumu we have now.
mimi ndo maana nasema serikali haimaanishi chochote inapozungumza kuhusu sijuwi maendeleo, dira, au kuvutia uwekezaji. yaani upate uwekezaji wa maana katika mazingira ambapo kama serikali ina maslahi kwenye kesi mahakama iko tayari hata kupindisha sheria kuiridhisha? tusahau!
2
69
I am Very Emotional. Imeniuma sana
Mimi sio mtu wa emotions sana ila leo niko very emotional, I hope tutapewa dhamana au tutapewa fine, binafsi niko tayari kulipa hata yote peke yangu, I hope TAL atarudi nyumbani leo inshAllah.
2
94
Inawezekana ni Comrade aliyeamua kujitenga na siasa zake. Sio kila mtu anapenda kuwa affiliated na Comrade wa sasa wengi wenu hamjielewi.
Mwanenu wa Mwanza angekuwa comrade jambo lake lingekuwa kubwa na la heshima sana.
2
91
8,330
Mimi hakika nimemwachia Mungu.
PIGA KURA SASA! Majibu yetu kwa hukumu hii ya Tundu Lissu iwe nini? Tufanye nini kupinga huu udhalimu (Tutajadili baadaye Space:)
71%Maandamano
18%Tumwachie Mungu
11%Kitu kingine (eleza)
4,665 votes • Final results
1
3
390
Reading comments section.
Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT).Natoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu.Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili.
23
🫡🤝 Uongozi.
...... WATANZANIA SHALOM!
1
35
E.N.I.G.M.A retweeted
...... WATANZANIA SHALOM!
138
16
24
175
64,025
E.N.I.G.M.A retweeted
Unju 🙌🏼
5
28
1
116
3,910
Creativity
Mnyama ndani ya Kundi C la Ligi ya Mabingwa Afrika. #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja
52
E.N.I.G.M.A retweeted
'Mimi ni CCM ya Nyerere, hii sasa hivi inanipa shida kidogo' - Alute Lissu Mahojiano kamili>youtu.be/2aYT3TkLV1M?si=SDvA…
12
90
3
705
49,654
E.N.I.G.M.A retweeted
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka viongozi kuweka nguvu kubwa katika kulinda usalama wa wananchi, hasa pale kunapokuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani katika maeneo yao, ili kuhakikisha wananchi wanakuwa salama.
13
12
1
284
37,590
My brother Pambalu na siasa safi. You will come back stronger kaka 🙏🏾
1
43
JOHN PAMBALU ; KESI YA UHAINI. A good man; and charismatic 🥹
17
44
1,113
Nimefanya harakati za Siasa na Pambalu SAUT. John Pambalu pia ni mwinjilisti, ni kijana mwema na safi. @tanpol
John Pambalu kashitakiwa kwa UHAINI.
1
36
Nakubaliana na wewe. Miaka yote nimemfahamu pale SAUT always amekua mtu mwema. @tanpol Pambalu ni moja ya kijana mwema sana na mcha Mungu kwenye hii nchi.
JohnPambalu ni mtu mwema, MWACHIENI HURU akaungane na Familia yake.
32
E.N.I.G.M.A retweeted
Kwa Nini Kila Mwanamme Miaka 35+ Lazima Azifahamu Namba Zake! Septemba 2023, ndio Mwaka nilionza kuwa makini ka kufautilia namba zinazohusiana na afya yangu. @Ngaillah_ Kilichofanya niamke asubuhi na kwenda Hospital kupima ni hiki. JOGOO HALIPANDI MTUNGI.
4
4
1
4
1,346
Producer wa A-List aingie kazini
Hapa kuna mambo haya✌️
34
Mvua za @El Nino zinatarajiwa. Tuandae miche bilioni 100 ya kupanda krk maeneo makame... Dodoma, Singida, Shinyanga, Hedaru na kwingineko. Tusipoteze haya maji!
9
38
3
267
7,238