Maverick 🇸🇴 retweeted
Impunity, continued detention of Tundu Lissu & other opposition voices, clampdown on media & civil society:
One year on, there is no end to #Tanzania's crackdown.
@EUinTZ @EU_EEAS: press TZ authorities to stop targeting critics, ensure accountability.
hrw.org/news/2026/10/28/no-a…
Maverick 🇸🇴 retweeted
Miaka inazidi kukatika, mahubiri ya maridhiano na kesi ambazo hazieleweki zinazidi kushamiri,
Neno UGAIDI Tanzania limekuwa neno jepesi kutamkwa kama ilivyo kutamka bongo flavour
Nchi ina jeraha ambalo kupona inatakiwa watu wawajibike kitu ambacho imebakia kuwa ndoto.
🕊️💔😭
Miaka inazidi kukatika, mahubiri ya maridhiano na kesi ambazo hazieleweki zinazidi kushamiri,
Neno UGAIDI Tanzania limekuwa neno jepesi kutamkwa kama ilivyo kutamka bongo flavour
Nchi ina jeraha ambalo kupona inatakiwa watu wawajibike kitu ambacho imebakia kuwa ndoto.
🕊️💔😭
Maverick 🇸🇴 retweeted
29/10 TO THE FALLEN HEROES 🕊️
Gone but never forgotten, Your sacrifice will forever live in our hearts.
May your souls rest in eternal peace.
We Remember. We Honour. We Will Never Forget. 🙏
Maverick 🇸🇴 retweeted
Wakati sherehe za mashujaa wao zikipikwa na kuchochea, Ndivyo hadithi za mashujaa wangu zilizikwa na kupotea
29.10.2025 💔❤️🩹
Maverick 🇸🇴 retweeted
Adjustable Sofa Set Design😍🔥
New Loved Design ya adjusting inayofanya Sofa liwe kubwa na more comfortable 😍
Available at 5seaters, 6seaters and 7seaters.
Available at our store✅
Price 3,500,000/=
Tunapatikana Dar es salaam, Sinza
Call/WhatsApp +255783809061
Maverick 🇸🇴 retweeted
Leo Oktoba 29, tunawakumbuka kwa majonzi ndugu zetu, jamaa, marafiki na Watanzania wenzetu waliotangulia mbele ya haki katika matukio ya uchaguzi ya Oktoba 29, 2025
Tunawakumbuka pia wale waliojeruhiwa na kuachwa na vilema ambao hadi leo baadhi yao hawawezi tena kutembea na kwenda kutafuta riziki kama walivyokuwa wakifanya kabla ya matukio hayo
Mwaka mmoja umepita lakini maumivu, vilio na kumbukumbu bado zipo mioyoni mwa familia zetu na wapendwa wetu
Mungu azilaze roho za waliotangulia mahali pema peponi, awape faraja, nguvu na awape uvumilivu na moyo wa kusimama tena wale waliojeruhiwa na matukio hayo
Tutawakumbuka. Tunawaombea 🕯️🕊️
Maverick 🇸🇴 retweeted
October 29/2025 💔
siku kama ya leo Watanzania wenzetu waliuawa kikatili 💔 Ni siku yenye maumivu makubwa katika historia yetu, siku ambayo mioyo mingi ilijeruhiwa na kumbukumbu zake hazitafutika kamwe. Hatutawasahau. 🕊️🪦🇹🇿 – at Dar es Salaam, Tanzania
Maverick 🇸🇴 retweeted
Nchi hii haitajengwa na wazungu, itajengwa na watanzania watakaoamua kuwa kitu kimoja, wanaosikilizana na kuhurumiana.
Kila mtanzania ajivunie Utanzania wake💯.
Mungu ibariki Tanzania🇹🇿~Oct 29🙏.
Shut the fuck up motherfucker son of bitch, stupid creature and your face like rejected sacrifice
I wonder why your parents didn't use birth control, we could not have an idiot like you in this world right now.
Replying to @amnestyusa
You the amest do you think Tanzanian police are stupid as you all in your office, these people in uniforms are very brave enough to protect the intrest of many that's why you always learn that Tanzania is a land of peace,
What your trying to show are footage of a stupid man
Maverick 🇸🇴 retweeted
Tanzanian authorities have not held anyone to account for the post-election violence security forces inflicted on protesters, which left hundreds of people dead.
bit.ly/4BuBoW9

































