Nelson Samuel (@Nelsoni255) header
Nelson Samuel (@Nelsoni255) profile picture

MUNGU KWANZA

Joined October 2024
Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)Photo by Nelson Samuel (@Nelsoni255)
Mbogamboga bhana.
John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao. Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni wapambanaji, ila wanatibiwa India kwa gharama za mtu wanayemuaminisha kwa Watanzania kuwa ni adui. Je, inawezekanaje mtu anayesemwa kuwa adui akawa sehemu ya msaada wa matibabu, huku hadharani John Heche akiendelea kutajwa kama mpinzani?
45
Mnahisi bado tupo zama za mate.
Heche kwenye Bank nje ana zaidi ya USD 250K, hizi aliingiziwa kupitia Wegesa trading Limited, I am not sure yet kuwa hii kampuni yao au yake. Swali ni, Heche anafanya kazi gani ya kuingiziwa USD 250K, katika account ya nje ya nchi. Wanachadema, fedha zenu za Tonetone ziko huku.
53
It's coming home
We have only 3 games left to win this 102 odds🥹🤲
1
76
Kaa humu mkuu, mtembelee @bohny_chengula hautojutia.
Brand gani inatoka haya madude imara maana nakaribia kujaza store.🚮
38
Hapana kurudi nyuma.
Bayern Munich sitawai wasahau🤦🏾 #FellohBets
1
52
Mpaka Jambo TV mmeamua kufunga comment, why?
VIDEO: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 08, 2025 amempokea na Kumkaribisha kwenye Chama hicho aliyekuwa Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza Bw. Boniface Paul Mkobe Nzagamba. Dkt. Samia amempokea Mwanasiasa huyo aliyewahi pia kuwa Katibu wa Baraza la Vijana wa Chadema Mkoa wa Mwanza kwa kipindi cha miaka kumi, akisisitiza kuwa kupokelewa kwa Bw. Nzagamba ni ishara ya siasa safi za Chama Cha Mapinduzi tofauti na "kule alipotoka, Chama cha wanaharakati." "Na hii ndio faida ya siasa safi, mkiwa na siasa safi wale wanasiasa wa kweli huwafuata wenye siasa zilipo lakini wale wanaharakati hubakia na Chama chao cha wanaharakati. Natambua Chama kilekile anachotoka boniface, wanasiasa wa kweli wameenda kujiunga na vyama vingine kufuata siasa za kweli." Ameeleza Dkt. Samia. Awali Bw. Nzagamba ameeleza furaha yake ya kujiunga ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM pamoja na kupewa fursa ya kusalimia mbele ya umati mkubwa wa wananchi, jambo ambalo halikuwahi kutokea kwenye maisha yake, akisema ameamua kujitokeza hadharani kutokana na kutokubaliana na baadhi ya hoja na maelekezo ya Uongozi wa Chama chake cha zamani, kinachohamasisha maandamano siku ya Oktoba 29, 2025, siku ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania.
1
18
Kama hivi tu.
Unaweza kugeuza 10,000 kuwa 100,000 ndani ya wiki moja? Kivipi?
1
1
210
Kutoka Mombo kuitafuta Njia panda ya Himo.
Kuna ile ya Mbeya - Matema unaweza hisi unaenda Malawi😁
12
God bless you, brother 🙏
20 million in the bag 🎒 I'm grateful To God 🙏 Congratulations to those who played Kindly drop your winning tickets
1
1
100
Hapa sasa.
Nyeupe kama unayoutaka wewe. Hiyo 100M yako hata kodi tu haitoshi.
6
Nyeupe kama unayoutaka wewe. Hiyo 100M yako hata kodi tu haitoshi.
Hii chuma nikiwa na TZS 100M siipati?😎
1
20
Nimechukua rushwa. Shukrani sana mkuu.
This post is from a suspended account. Learn more
1
6
3,960
3 more to go for me. Thanks man.
First 8 ✅✅✅✅✅✅✅✅ in 🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊🔊. So many millionaires already 🥶🥶🥶🥶💼💼💼
28
Kwa msaada wa dharula, nunua Spark plugs ORIGINAL funga, ulaji wa mafuta utapungua kwa kiasi kikubwa.
Hivi haiwezekani Kuweka Engine Ya IST kwenye Brevis? Mara ya Tatu Hii naenda Sheli toka Jpili 🙌
17