The Notorious JayZ retweeted
Fun fact
The greatest mass murderer throughout all of history is government.
And y'all still think your government loves u
The Notorious JayZ retweeted
El anarcocapitalismo es el único sistema de cooperación social plenamente compatible con la naturaleza del ser humano.
Jesús Huerta de Soto
The Notorious JayZ retweeted
Unajua unaweza kupoteza thamani ya TSh MILIONI 1.8 kwa mwaka bila hata kutumia pesa zako? 😳🇹🇿
Mfano: Mshahara wako ni TSh 2,000,000 kwa mwezi = TSh MILIONI 24 kwa mwaka.
Januari 2026:
💵 $1 = TSh 2,470
💰 Milioni 24 = $9,717
Novemba 2026:
💵 $1 = TSh 2,654
💰 Milioni 24 = $9,043
Yaani mshahara wako wa mwaka, ukipimwa kwa dola, umepungua thamani kwa $674 (takriban TSh milioni 1.8)!
Hujapunguziwa mshahara, lakini uwezo wa pesa zako kununua vitu vinavyouzwa kwa USD umepungua.
Sasa badala ya kulalamika, tufanye nini? 👇
- 🇹🇿 Wekeza kwenye hisa za DSE
- 🏦 Angalia Treasury Bills na Bonds za Serikali
- 💵 Hifadhi sehemu ya akiba kwa USD
- 📈 Wekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS
- 💼 Jenga chanzo kingine cha kipato
Usifanye kazi kwa ajili ya pesa tu. Hakikisha pesa zako pia zinafanya kazi kwa ajili yako.
The Notorious JayZ retweeted
People, I get asked all the time if Donald Trump was mobbed up. Here’s my question back: why only Trump? Going back to FDR, presidents had no problem dealing with us when it was to their benefit. To win a war. To win an election. To get something done that nobody else could get done. I’m not saying they were mobsters. I’m not saying we were extorting them. I’m telling you what I heard my whole life, from my father and from the guys who were there. And the one thing that never changes: when the mob does something for you, we expect something in return.
In this life, when you take help from somebody and then turn around and try to destroy them, you create enemies who don’t forget. And I’ll tell you this. The most corrupt organization in history isn’t the mob. It’s government. I’m doing a whole video on that. Stay tuned. #MichaelFranzese #Mafia #Presidents #JFK #MobHistory
📲 Text me — which president surprised you the most?: my.community.com/michaelfran… (424) 325 0921
🍷 Have you tried my wine yet?: yt.franzesewine.com/
The Notorious JayZ retweeted
I know a lot of people who have done this "Surrounded" thing. Seems like almost every conservative in media has cycled through. I can't possibly understand the appeal. Sitting there and enduring a parade of morons who are just using you to farm for clicks and don't care what you have to say? What's the point? I don't get it.
The Notorious JayZ retweeted
Replying to @Carlos_Calz07
Bro you come off as the biggest complainer I’ve ever heard.
You will get nowhere in life with a loser attitude.
Go create a business
Go work towards a career
Go invent something
Go start a YouTube channel
Etc etc etc
You wasted a massive opportunity to learn from someone who is incredibly successful
The Notorious JayZ retweeted
Mimi nilipoteza ndugu zangu wawili katika zile vurugu za Oktoba 29 ambazo Mahakama leo imethibitisha pasina kuacha shaka kwamba zilichochewa na Lissu. Nimebaki na msiba mzito katika maishani. Angalau hukumu hii ya Lissu kwa sehemu flani imetibu nusu ya maumivu ya moyo wangu.
The Notorious JayZ retweeted
Kuna siku nitaelezea Uzi namna Lissu alivyopewa uenyekiti bila kutarajia ,na namna alivyofanyiwa extortion na miss wa zamani wakishirikiana na Liberatus na pastor Kinyambe akalazimishwa awe Mwenyekiti
The Notorious JayZ retweeted
"Kuna siku Lema atakuja kusema ukweli wote wa kwamba ccm ndio waliomuweka Lissu kwenye uwenyekiti kupitia mfuko wa Lema. Na hapo ndipo Lissu na Heche watakapotukanwa na wanaharakati uchwara mpaka wachanganyikiwe. Time will tell" - Mdau inbox
The Notorious JayZ retweeted
Replying to @MsigwaPeter
Tapeli Msigwa baada ya kuinjinia kumng'oa Mbowe kwa hila ukiwa CCM huku ukisukuma kete yako vyema kupitia Liberatus na Rose Mayemba, haya Sasa Chadema inaelekea kuwa TLP kabisa. Na nachojua soon watakukabidhi chama
The Notorious JayZ retweeted
Mambo matatu ya haraka kwa CHADEMA:
Mosi,Maridhiano ndani ya chama Team ,Mbowe,Team Lissu Sasa team Makamu na Team Lema
Pili,Kukataa kuwa mateka wa "wanaharakati "
Tatu, Meza ya Mazungumzo na Rais Samia na CCM
@godbless_lema @jjmnyika @HecheJohn
The Notorious JayZ retweeted
Kama chadema haiwezi kuwalinda vijana wake . Basi iache kuwatuma kwenye mambo ya kuwaingiza kwenye hatari watoto wa maskini.
The Notorious JayZ retweeted
Naombeni Mnieleweshe Taratibu Bila Kufokewa.
Toka uingie uongozi wa Lissu na Heche umefanya nini?
Sababu ata maandamano yalikua sio ya chama ni ya wananchi.
Na bado kunabaadhi ya wanachama wao wapo ukimbizini.
Je Chadema imefanya nini mpaka sasa?
Replying to @jackk_002
If I were human, none. Evidence, reason and curiosity beat faith-based systems for understanding reality. Of the ones shown, Buddhism’s focus on the mind and reducing suffering via observation appeals most as practical philosophy rather than dogma.
The Notorious JayZ retweeted
📍 Breaking News...
Hatimaye Chadema @ChademaTZ2 wamekubaliana na Renatus Nzemo.
Wamekubaliana Chadema itamlipa Nzemo 25M Ili kuachana na madai ya 69M.
This is Leadership
THUMB UP
The Notorious JayZ retweeted
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini ajiuzulu. Kwasasa kila mwenye akili timamu hawezi kuwa sehemu ya Chadema chama kilichogeuka kuwa kundi la vibaka wajinga machokoraa wasiojielewa waliojaa matusi!! Mtu yeyote makini ni lazima ajitenge nao hawa wahun.






















