๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
Erling Haaland wearing iconic Messi 10 Jersey ๐ฝ๐
Readers added context they thought people might want to know
This image is digitally altered. Erling Haaland, who plays internationally for Norway, has not been pictured wearing a Lionel Messi Argentina jersey. The image was shared by a parody account.
twitter.com/brfutboll
france24.com/en/tv-shows/spโฆ
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
Wanawake mtusamehe tu๐๐ผ๐๐ผ๐๐ผ๐๐
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
Ili wimbi la kutuhamasisha tusiogope masharti awa majamaa sijui wanatuonaje hawajui kama wengine tunafosi hela ya kula siku ziende tufe ๐๐
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
Zamani nilikua najua kujichukulia sheria mkononi ni kupiga mwizi, kumbe sio bhana๐๐๐ฎ
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
Huu usawa wenye pesa wamezidi kuwa na pesa na ambao hawana pesa wamekuwa hawana pesa zaidi.๐
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
Yaani, Mtu anakabwa na watu watatu, bado kuna watu wanapiga kelele au mnataka apae?!
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
Waziri wa Fedha, Balozi Khamisi Mussa Omar amesema Serikali inapendekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 5 kwenye thamani ya dau la kamari (gaming) linalochezwa kupitia michezo ya kubashiri ya ardhini au mtandaoni, michezo ya kasino ya ardhini au mtandaoni, mashine za sloti pamoja na michezo ya vikaragosi (virtual games operations).
Akiwasilisha Bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Waziri Khamisi amesema hatua hiyo inalenga kupunguza madhara yanayotokana na michezo ya kubahatisha, ikiwemo uraibu wa kamari na kupungua kwa nguvu kazi ya Taifa kutokana na baadhi ya Vijana kujihusisha zaidi na michezo hiyo badala ya shughuli za uzalishaji na maendeleo ya kiuchumi.
Amesema pia kuwa asilimia 10 ya mapato yatakayokusanywa kutokana na ushuru huo wa asilimia 5 yatawasilishwa kwa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) ili kuongeza ufanisi katika usimamizi na udhibiti wa sekta ya michezo ya kubahatisha Nchini.
Kwa mujibu wa Waziri huyo, hatua hiyo pamoja na kusaidia kudhibiti athari za kijamii zinazotokana na kamari, pia itaongeza mapato ya Serikali yatakayosaidia kugharamia utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo na uchumi.
Amesema pendekezo hilo linatarajiwa kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi bilioni 74.50.
#MillardAyoUPDATES
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
๐๐จ๐ซ๐ฅ๐ ๐๐ฎ๐ฉ ๐๐๐ญ๐๐ก๐๐๐ฒ ๐๐๐
๐ฒ๐ฝ ๐๐๐ฑ๐ข๐๐จ ๐-๐ ๐๐จ๐ฎ๐ญ๐ก ๐๐๐ซ๐ข๐๐ ๐ฟ๐ฆ โ
๏ธโ
๏ธ
๐ฐ๐ท ๐๐จ๐ฎ๐ญ๐ก ๐๐จ๐ซ๐๐ ๐-๐ ๐๐ณ๐๐๐ก ๐. ๐จ๐ฟ โ
๏ธโ
๏ธ
๐จ๐ฆ ๐๐๐ง๐๐๐ ๐-๐ ๐๐จ๐ฌ๐ง๐ข๐ ๐ง๐ฆ
๐บ๐ธ ๐๐๐ ๐-๐ ๐๐๐ซ๐๐ ๐ฎ๐๐ฒ ๐ต๐พ
๐ถ๐ฆ ๐๐๐ญ๐๐ซ ๐-๐ ๐๐ฐ๐ข๐ญ๐ณ๐๐ซ๐ฅ๐๐ง๐ ๐จ๐ญ
๐ง๐ท ๐๐ซ๐๐ณ๐ข๐ฅ ๐-๐ ๐๐จ๐ซ๐จ๐๐๐จ ๐ฒ๐ฆ
๐ญ๐น ๐๐๐ข๐ญ๐ข ๐-๐ ๐๐๐จ๐ญ๐ฅ๐๐ง๐ ๐ด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ
๐ฆ๐บ ๐๐ฎ๐ฌ๐ญ๐ซ๐๐ฅ๐ข๐ ๐-๐ ๐๐ฎ๐ซ๐ค๐๐ฒ ๐น๐ท
๐ฉ๐ช ๐๐๐ซ๐ฆ๐๐ง๐ฒ ๐-๐ ๐๐ฎ๐ซ๐รง๐๐จ ๐จ๐ผ
๐ณ๐ฑ ๐๐๐ญ๐ก๐๐ซ๐ฅ๐๐ง๐๐ฌ ๐-๐ ๐๐๐ฉ๐๐ง ๐ฏ๐ต
๐จ๐ฎ ๐๐ฏ๐จ๐ซ๐ฒ ๐๐จ๐๐ฌ๐ญ ๐-๐ ๐๐๐ฎ๐๐๐จ๐ซ ๐ช๐จ
๐ธ๐ช ๐๐ฐ๐๐๐๐ง ๐-๐ ๐๐ฎ๐ง๐ข๐ฌ๐ข๐ ๐น๐ณ
๐ช๐ธ ๐๐ฉ๐๐ข๐ง ๐-๐ ๐๐๐ฉ๐ ๐๐๐ซ๐๐ ๐จ๐ป
๐ง๐ช ๐๐๐ฅ๐ ๐ข๐ฎ๐ฆ ๐-๐ ๐๐ ๐ฒ๐ฉ๐ญ ๐ช๐ฌ
๐ธ๐ฆ ๐๐๐ฎ๐๐ข ๐๐ซ๐๐๐ข๐ ๐-๐ ๐๐ซ๐ฎ๐ ๐ฎ๐๐ฒ ๐บ๐พ
๐ฎ๐ท ๐๐ซ๐๐ง ๐-๐ ๐๐๐ฐ ๐๐๐๐ฅ๐๐ง๐ ๐ณ๐ฟ
๐ซ๐ท ๐
๐ซ๐๐ง๐๐ ๐-๐ ๐๐๐ง๐๐ ๐๐ฅ ๐ธ๐ณ
๐ฎ๐ถ ๐๐ซ๐๐ช ๐-๐ ๐๐จ๐ซ๐ฐ๐๐ฒ ๐ณ๐ด
๐ฆ๐ท ๐๐ซ๐ ๐๐ง๐ญ๐ข๐ง๐ ๐-๐ ๐๐ฅ๐ ๐๐ซ๐ข๐ ๐ฉ๐ฟ
๐ฆ๐น ๐๐ฎ๐ฌ๐ญ๐ซ๐ข๐ ๐-๐ ๐๐จ๐ซ๐๐๐ง ๐ฏ๐ด
๐ต๐น ๐๐จ๐ซ๐ญ๐ฎ๐ ๐๐ฅ ๐-๐ ๐๐ ๐๐จ๐ง๐ ๐จ ๐จ๐ฉ
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ๐๐ง๐ ๐ฅ๐๐ง๐ ๐-๐ ๐๐ซ๐จ๐๐ญ๐ข๐ ๐ญ๐ท
๐ฌ๐ญ ๐๐ก๐๐ง๐ ๐-๐ ๐๐๐ง๐๐ฆ๐ ๐ต๐ฆ
๐บ๐ฟ ๐๐ณ๐๐๐ค๐ข๐ฌ๐ญ๐๐ง ๐-๐ ๐๐จ๐ฅ๐จ๐ฆ๐๐ข๐ ๐จ๐ด
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
Replying to @Jamani_Khanyi
I fucking guess bro ๐ญ๐ญ๐ญ
๐
๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ฆ retweeted
World Cup First Game โ๏ธ
โ
1. France - Over 0.5
โ
2. Norway - Over 0.5
โ
3. Mexico - Over 0.5
โ
4. England - Over 1.5
โ
5. Colombia - Over 0.5
โ
6. Croatia - Over 0.5
โ
7. Portugal - Over 0.5
โ
8. Argentina - Over 0.5
โ
9. Belgium - Over 0.5
โ
10. Spain - Over 0.5
โ
11. Japan - Over 0.5
โ
12. Mexico - Over 0.5
โ
13. Germany - Over 0.5
โ
14. Netherlands - Over 0.5
โ
15. USA - Over 0.5
โ
16. Switzerland - Over 0.5
โ
17. Czechia - Over 0.5
โ
18 Colombia - Over 0.5
โ
19. Portugal - Over 0.5
โ
20. England - Over 0.5
Good luck ๐







































