Tee❤️ (@Secondsisie) header
Tee❤️ (@Secondsisie) profile picture

PRO✍️ Braids 🤗 🥰 Azam FC fan💙🤍

Joined July 2021
Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)Photo by Tee❤️ (@Secondsisie)
Mithali 29 1 Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa. 2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua. 3 Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali. Mungu ni wetu sote 🙏
5
9
14
1,333
Tee❤️ retweeted
Nilibakwa Kwa zam na vidada vya jirani Nilikuwa nikimaliza nalia sana Nikawa Naogopa nikipita tena watanishika 😭😭😭😭
5
10
18
401
Tee❤️ retweeted
Tunapatikana kurasini uhasibu karibu na liquid bar Tunafanya make up and hair installation Karibuni sana
🤖 Made with AI
5
14
1
22
1,241
Tee❤️ retweeted
Tunapatikana kurasini uhasibu karibu na liquid bar Tunafanya make up and hair installation Karibuni sana.
15
54
1
64
1,222
Nikiwa Mtoto kuna Bro Mmoja ivi alikuwa Mshenzi sana, Kuna siku aliniambia kashike mkia wa punda unyenyue juu, kwa chini utaona miaka yote ya huyo punda, kitoto toto nikaenda kufanya hivyo aise💔hiyo ndo sababu ya hili kovu mnalonionaga nalo kwenye paji la uso. Sitokuja kusahau🙌
8
20
1
99
6,280
Tee❤️ retweeted
Natafuta chapaa natafuta na mboga, ukiona mguu wa kutoka ujue nakutafutiaga kasoda. Hata nkiwa vitani usiwe na hofu simu moja, ukinipu sijapiga ujue natafutaga vocha.🎶🎶
3
1
6
261
Tee❤️ retweeted
❤️
4
13
331
Mwanaume, kiumbe anayetoa nguvu, akili na Muda mwingi kuwajali wengine ila hakuna anayemjali yeye. Nikushauri mwanaume jijali, jikumbuke maana ukijisahau utakumbukwa siku unapewa heshima za mwisho na wakati wakianza kukosa vitu ulivyokuwa unawafanyia. Maisha ni Leo✊ ~ChrisMauki
7
26
50
856
KITCHEN CABINET zipo za kutosha Malipo baada ya kupokea kwa dar 200,000 📍 Tunapatikana Ubungo Msewe. 🚚DELIVERY IPOOO! 📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946 KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
36
3
42
790
Tee❤️ retweeted
Ni ngumu sana mwanaume kutoboa kimaisha Kama hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke mnene 📌
15
33
1
89
1,470
Tee❤️ retweeted
Kwenye safari hii usiende na Fala, utalia kuliko ambulance binti sayuni😂💔🤝.
10
16
101
2,866
Kumbe kuna tofauti kati ya mwanamke mzuri na mwanamke mrembo.
11
21
69
1,397
Kuna aibu zinakujaga automatically ugenini💔imagine unaingia chooni unakuta kuna Mjinga kachafua ile unatoka kutafuta maji uweke mazingira sawa kanaingia katoto, kanatoka nduki kwenda sebuleni(pale watu shazi)kwa mbali unasikia, Mama mgeni kaingia toilet lakini hajamwaga maji😅🙌
10
21
56
1,003
Now nimeelewa Kwanini watu wengi waaamuaga kupotea na kwenda mbali na kuanza upya🤦Napitia wakati mgumu sana now 💔
119
95
10
782
24,757
Replying to @AmRosalinee
Aliyepo nyuma ya ofisi hii kama sio @Ugeniaconso basi Ni @Sincerelyrahma7 😂😂😂😂
3
1
4
160
UNATAKA KUUZA NYUMBA, KIWANJA AU SHAMBA?! 🏡🌍 GEOTRAVERSE GROUP OF COMPANIES tunakuunganisha na wanunuzi na kukusaidia kutangaza mali yako kwa ufanisi. Tuna uzoefu katika masuala ya ardhi na mali isiyohamishika. Tuamini tukusaidie kupata soko la mali yako. 📞 0719 336 667 | 0763 782 274 (WhatsApp) 📍 Dodoma, Barabara ya Tisa GEOTRAVERSE – Ardhi ni Maisha. #GeoTraverse #GeoConstructors #RealEstateTanzania #Viwanja #Nyumba
3
33
3
34
1,062
Jamani tunaombeni msitunyime hizo reposts maana hataivo siku hizi si hazikai kwenye main grid?! Sa zitakupunguzia nini ukirepost hata profile nzima ya mtu?!🥹🤲
7
31
57
1,140
Good morning x family ✨️
11
20
28
513
X wajuaji ,eti mwanaume akikwambia take care maana yake ni nini ?😂😂😂Kuna vitu sielewi aisee
99
81
22
342
24,778
Tee❤️ retweeted
Humu niko mwaka wa 9 huu bado sijaona mwanamke mzur kuliko Lrt
5
13
1
54
2,266
Hivi safaricom na vodacom ni mtandao mmoja?
7
15
36
1,176