
GOD FIRST:❤️#wife#Mom #CCM Clarissa,Clarence & Cyrus# YANGA 💚& ARSENAL ❤️ SINA AKILI.#twitterwatoto
Dodoma, Tanzania
Joined July 2013
- Tweets42.5K
- Following4.3K
- Followers18.6K
- Likes17.8K
Pinned Tweet
Nina dawa za tiba mdalala zinazotibu tezi dume,kupromotes normal urinary flow,supports overall male wellness etc.
Kama unachangamoto zozote za afya ya uume .
Tuma msg WhatsApp-0768909077 ,Malipo ni baada yakupokea mzigo wako ndio utanilipa.Mikoa yote zipo.
Prophetess ,Dr. retweeted
Replying to @__sheriii
Cheti cha kuzaliwa kiwe kina data za wazazi wote, barua ya M.kiti/mtendaji vyote visomane na NIDA uikienda mbali ni taarifa zako zinasomana.
Muda wa kukaza ndio huu fanya profiling kali sanaa kiasi siku wakianza kukaza kuwe hakuna mtu wa kuruka.
NIMEOKOKA
HAMTANIONA NATUKANA HUMU KAMWE!🙌🏼
Zamani tukiwa wadogo Uhamiaji walikuwa wanapita nyumba tu nyumba kufanya msako wa wakimbizi…
Wakimbizi Rwanda na Burundi wanapenda kujificha kwenye kichaka chakusema wao ni WAHA AU WAHAYA…😀ukiwagusa tu
Replying to @__sheriii
Na huwa ni wakali sana hao watu hata kama wapo kwenye nchi za watu
#kahama,biharamulo,ngara,na tabora apo wengi sana.
2
3
122
Unajiongeza tu😀maana huwa wakifa na ng’ombe zinaanza kufa…
Unaweza kusema zauchawi hizi😀
1
3
369
Kuna kaka angu mtoto wa bamkubwa aliiba ng’ombe zaidi ya 60 za baba ake akaziswaga kutoka Bariadi hadi mapori ya Runzewe huko akaweka kambi…
Mtiti uliokuwepo tulijua atapata laana😀
Aliziendeleza na amesonga na maisha yake yako vizuri.
Replying to @MalukaKhamis @__sheriii
Sema wafugaji wakijiongeza tuu kidogo wameweza. Waache kuonea mifugo huruma. Wakimudu hapa kuuza kadhaa wamewin.
Prophetess ,Dr. retweeted
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania.
Na nataka kuwaambia kwa nini.
Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu.
Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter.
Na sio kujifunza tu.
Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA.
Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA.
Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu!
Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku.
Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote.
Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma.
Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani.
Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni.
Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter!
Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania.
Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media.
Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani.
Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi.
Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
Lindi kuna umaskini wakutisha sana tena unaugusa na mkono!
Bora vijiji vyetu vya Bariadi aiesee tuna ng’ombe na michembe 🙌🏼🙌🏼
Hongera kaka kuhonga gari…
Huo ndio uanaume kuhudumia.
Prophetess ,Dr. retweeted
Asante - she is now 20 yrs old yuko university mwaka wa pili, anasoma vocal performance na biashara ya musiki - a double major degree kwenye chuo kikuu cha Berkeley college of music mjini Boston Massachusetts- ni moja ya vyuo vikubwa duniani kimziki- lazma ufanye Mtihani wao na wakukubali ndio uende. Sio rahisi - kwa hali na Mali. Ni Harvard ya mziki. Kapambana toka yuko 6 yrs to learn. Kila kitu, ni jitihada zake binafsi. Mimi ni mpambe wake namba 1 ! Na yuko makini sana, muda utaongea. Why now, yuko tayari kwanza kiroho, kisaikolojia, na kitaaluma ya mziki. Tulikua tunangoja afike hapa. Asante kwa kutambua 🪽🪽




















