Kuna jambo nililitaka mie kwa kina haswa lakini nikalikosa kwa namna ya ajabu tu kwa kweli.
Mungu akanipa jengine lenye utendaji tofauti lakini hitimisho the same.
Kusema la ukweli, lile la Mungu limekuwa bora sana kimatokeo kuliko nilivyokadiria.
Mungu ni mkubwa always.
Mwalimu Mume ndio anaoa, ndo mana zamani mwanamke hatoki kwao ila kwa ndoa.
Majukumu yote ya baba anayabeba mume na mengine ya muhimu zaidi yanaongezeka.
Tuna mafundisho mengi ya ndoa yanayoelekeza wajibu zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Walimu wengi wa ndoa, kwa mfano, wanafikiri mwanamke akiwa mtii, akajua kumhudumia mwanaume na namna ya kuongea naye kwa unyenyekevu, basi matatizo mengine ya ndoa yataisha. Unafikiri ni kwa nini?
Kwa nini walimu wa ndoa hutumia lugha yenye jinsia inayoonesha kuwa tatizo kubwa kwenye mahusiano ni mwanamke?
“Mwanaume anataka utulivu.”
“Mume hataki kelele.”
“Mwanaume hataki uchafu.”
“Mume anataka kuwa sauti ya mwisho.”
“Mwanaume hatari kuambiwa cha kufanya.”
Kwa nini tunafikiri matatizo mengi ya kitabia tunayoyaona kwa mwanaume husababishwa na mwanamke? Kwa nini walimu wengi hawazungumzi na wanaume moja kwa moja na wanafikiri mwanaume akiwa na udhaifu fulani basi lawama zielekezwe nyumbani kwake kwa mke wake—na kwamba mwanamke akibadilika tatizo linaisha?
Walimu wachache wanaozungumzia ‘Side B’ wanaongelea zaidi tendo la ndoa. Kwamba wanaume akiwa na nguvu za kiume, akala ugali maharage akashiba, halafu akawa na hela za kuhakikisha mke wake amependeza, shughuli yake imeishia hapo. Msingi hasa wa mawazo haya ni nini? Je, ni kweli anachokihitaji zaidi mwanamke kwa mume wake ni mume mwenye nguvu za kiume na uwezo wa kipesa na kwamba mengine yote yanarudi kwenye utii na unyenyekevu kwa mumewe?
13
Baba'ke retweeted
Moja ya sifa za Mji uliopangwa vizuri, ni barabara za Mtaani.
Na kwa Majiji yote, Dodoma neo hili hawana mpinzani.
Ile nia yako ya kunujua kiwanja Dodoma usiiache.
Wewe nicheki tuyajenge.
Kaka hapa umebadili tu lugha, haya issue ya kumuingiza Makamu nayo hujaiona?kwamba yeye ndio alistahili.
My random highlights and takeaways from @godbless_lema's presser earlier today
-First, for some intellectual honesty, I must declare a conflict of interest: I have issues with LA influencer (Mange), mostly regarding her sourcing of info and her self-righteousness. So, this is perhaps not a very neutral take, I guess. Thought I should mention that because she features a lot in the presser
-Well, that was a very long, combative 🥊 and at times emotional presser. Lema had a lot to get off his chest, totally understandable
-He went very hard on 🇺🇸 LA influencer, called Mshezi, Muongo & Mpumbavu. Lema emphatically says she is feeding CDM supporters lies, innuendo, slander and lots of gossip. Says it is pure character assassination, and he had to defend himself and his family
-Lema is pissed off CDM members are just swallowing rumors and gossips peddled by LA influencer and her loyal fans. He looked super disappointed here especially with how CDM members are letting LA influencer and her fans influence how they feel about him and the party. Basically sheep who follow herd without any thoughts of their own. He has a point
-He's ready to take accountability if the 'middlemen' allegations plus other rumors are confirmed by the party. He has nothing to hide. This is very important
-Says Wanaharakati must be realistic and pragmatic about operating climate, overseas vs Tz-based, considering varying degrees of risks and exposure vs the state. Can't argue with that. He gave an example here which I'm sure will rattle some 🔧
-He advised Pambalu not to travel back to Tz due to impending security risks and was shocked to see him in Arusha. Contrary to rumors spread by Hilda and others. Lema brought a young CDM cadre to prove that
-Lema also called on CDM leaders to intervene and respond timely when leaders are being attacked and their image tarnished by wanaharakati. He feels isolated and suggests the party is somehow scared to condemn some issues. Over to you @jjmnyika
-On Maaridhiano and asali 🍯 allegations: Lema says CDM central committee has already made it very clear about the 2 main conditions for maaridhiano. But he added he has been doing 'strategic engagements' and lobbying behind closed doors which is normal in politics and doesn't imply kulamba asali. Perhaps this raises questions about this kind of bargaining, engagement, and deal-making. Even if he is doing so with good intentions, is he operating outside party structures? Perhaps he has CDM's blessing in all of this, or maybe not! I completely understand those with concerns and reservations. The party should tell us more; again, evidence matters
-After a barrage of attacks, it's great that he finally got a chance to share his side of the story IMO. He is not perfect; no one is. Ohh wait, LA influencer is perfect and always perfect and right according to her blind faithfulls
-My final thoughts: The absolute last thing CDM needs is infighting and divisiveness. The real danger is losing sight of the bigger picture. TAL verdict is a few days away; all cadres and supporters must stick together, the stakes couldn't be higher. As I wrote 2 months ago, the tension (within CDM) between wanasiasa and certain section of wanaharakati is at all time high, and serving no one apart from CCM party-state which loves seeing CDM fractured with infighting 😟
🎤💤💤
16
Baba'ke retweeted
Tatizo sio wanaharakati, la hasha.
Tatizo ni business as usual.
Kuna utamaduni fulani wa “kufunga mbele ya Mwamedi na kuzini mbele ya Shabani” (kwa maneno ya Roma) ambao uligeuzwa kuwa modus operandi ya siasa za upinzani Tanzania.
Huu utamaduni haujawahi kuheshimu misimamo wala misingi; ni utamaduni wa mapendano.
Hii ndio changamoto kuu.
Baba'ke retweeted
Ukiona mtu ana upendo, maana yake anatoa kitu kimejazwa moyoni mwake, and the reverse is true.
Comments za humu....
Viongozi wa CHADEMA @HecheJohn jivikeni ujasiri wa kuvuka kikwazo cha HOFU kutoka kwa wanaharakati ambao wanashinikiza kutokubali kufanya Mazungumzo na Serikali kutatua mkwamo wa kisiasa na Mwenyekiti wetu @TunduALissu kuwa huru.Siasa ni Maridhiano.
12
Baba'ke retweeted
Usidhani ukifika unapotaka kufika utaridhika. Kuna siku uliomba maisha uliyonayo leo, lakini leo unayaona ya kawaida. Sali Zaidi 🙏🏽✝️
Baba'ke retweeted
Nadhani hakuna tricky time kwenye maisha kama pale unapojiona umeanza kuwin, uwa hatujiandai na dhorubu zinazokuja baada ya good span.
Shetani kwa kweli alikuchungulia uzuri tu.
Sema uchungu bana 😅🙂↔️ Nyuma hapo kuna mambo yaliharibika, nikasikia uchungu sana moyoni. The only thing I could think of at that moment was praying. Nikiwa chumbani nasali nimevaa pajamas, nikawaza au Mungu asikii basi ..Wacha nivue nguo nisali naked ndo Mungu ajue how much I’m hurting and how badly I need His help….😭🙂↔️
1
72















