@KodiMtaa retweeted
Who wins today? β¨
60%SPAIN πͺπΈ
40%ARGENTINA π¦π·
356,023 votes β’ Final results @KodiMtaa retweeted
Wafalme, vyakula vya kula sana 2025:
1. Kabichi
2. Tangawizi
3. Kitunguu swaumu
4. Karoti
5. Manjano
6. Tikiti
7. Mayai
8. Tango
9. Nyama
10. Samaki
11. Maharage
12. Pomegranate
13. Parachichi
14. Karafuu
15. Bitterkola
Repost.
@KodiMtaa retweeted
Nchi Ambayo Msanii Anayeimba Kuhusu Shida Za Raia Za
-Mgao Wa Umeme
-Bima Ya Afya
-Ajira Kwa Vijana
-Human Rights
Hatakiwi Kabisa Ku-Exist, Na Hizo Contents Zinaweza Kugeuka Na Kuwa Mateso Ya Muda Mrefu Kwake Na Ataambiwa Anaitukana Gavoo.
Nchi Ambayo Msanii Anayeimba Matusi Yale Yenyewe Sasa Kabisa, Kama
-Ikatikie
-Ikalie Kwa Juu
-Ilambe Lambe Kwanza Ndio Uichomeke -Haya Sasa Itoe Aaf Uiingize Tena
-Mbuzi Kagoma Nikupakie Mkongo
Huyu Hatukani Wala Niniπ Na Badala Yake Anaalikwa Kwenye Majukwaa Tena Makubwa Na Viongozi Wakubwa Wanakwepo Na Wanapiga Makofi Kumshangilia!!
WELCOME TO MY COUNTRY β at Glenarden, MD
@KodiMtaa retweeted
Imagine huyu dogo hana mechi hata moja ya Uefa! Mchezaji mzuri lakini yupo timu ndogo. ππ
If you are a TRUE supporter of @ManUtd Football Club and want the Glazers Out! Like and retweet this and follow the @The__1958
#GlazersOut
@KodiMtaa retweeted
Bruno Fernandes popote utakapo mpeleka ni lazima awe bora tu! Atafunga na ku Assist kila wakati.
Mnatumia vigezo gani kumfananisha na KDB?
@KodiMtaa retweeted
Penzi jipya bhana Mnachat kama Sheli Masaa 24, Likikomaa sasa mnachat Kwa Counter Attack "Mambo"....... "Poa" ......."Haya"...!π€£π



















