Conte Lau (@conte_lau) header
Conte Lau (@conte_lau) profile picture

Overtaken by Events.

TANZANIA
Joined December 2022
Photo by Conte Lau (@conte_lau)Photo by Conte Lau (@conte_lau)Photo by Conte Lau (@conte_lau)Photo by Conte Lau (@conte_lau)Photo by Conte Lau (@conte_lau)Photo by Conte Lau (@conte_lau)Photo by Conte Lau (@conte_lau)Photo by Conte Lau (@conte_lau)Photo by Conte Lau (@conte_lau)Photo by Conte Lau (@conte_lau)
1. I can do hard things. 2. I am always learning and growing. 3. I am intelligent and capable of finding solutions, no matter the problem. 4. I am loved; it is safe for me to share and receive love with others. 5. I trust myself and my life. This is all serving my highest good.
1
6
301
“Katuni” - @masoudkipanya
6
75
510
11,248
Conte Lau retweeted
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa Kiongozi yeyote asiyetanguliza maslahi ya Watanzania hawezi kudumu katika Uongozi, akisisitiza kuwa Uongozi bora unahitaji uwajibikaji, nidhamu na kujali Wananchi. Dkt. Nchemba, amesema hayo Mkoani Iringa wakati wa shughuli ya kumuaga aliyekuwa Kiongozi wa muda mrefu, marehemu William Lukuvi, ambaye amehudumu kwa zaidi ya miaka 25 katika nyadhifa mbalimbali za Uongozi Serikalini. Aidha, ameoneza kuwa marehemu Lukuvi alikuwa mfano wa kuigwa kutokana na nidhamu yake ya juu katika utendaji wa kazi, jambo lililomfanya kuwa bora katika kila nafasi aliyopewa kuongoza. Amesema wakati wote wa uhai wake, Lukuvi alihakikisha anatanguliza maslahi ya Wananchi, hali iliyochangia kuimarika kwa utulivu na maendeleo katika maeneo aliyoyahudumia. Aidha, amesema katika kipindi chote ambacho marehemu Lukuvi alikuwa hai, hakukuwa na vurugu katika eneo lake la Uongozi, akieleza kuwa hiyo ni matokeo ya uongozi unaojali watu na kusimamia haki, na kusisitiza kuwa Viongozi wanapaswa kujifunza kutoka kwa mfano huo ili kuhakikisha wanadumisha amani na mshikamano Nchini. #MillardAyoUPDATES.
42
4
2
103
15,164
Conte Lau retweeted
Hivi huo ugomvi umeanzia wapi, yaani ni nani aliyetingisha meza ya Wakamalia?🤔
9
15
1
251
8,332
Ila GenZ 😂
8
20
347
10,577
😂😂
21
10
238
8,594
day I saw & listened to you 10 min were enough to prove to me your great intellectual ability. From that moment, I chose you to be my teacher. Every post of yours, every word you speak is a lesson to me.May the Almighty God grant you all that is good in all the days of your life
This is 40. Officially on the 4th floor and the view is getting better. I thank God for his Grace & Mercy for allowing me to reach this age. I hope for more unpacking in this new decade. Unpacking of burdens, things & people – only carrying what is necessary. Cheers to a new age.
54
This is 40. Officially on the 4th floor and the view is getting better. I thank God for his Grace & Mercy for allowing me to reach this age. I hope for more unpacking in this new decade. Unpacking of burdens, things & people – only carrying what is necessary. Cheers to a new age.
31
13
9
349
20,622
Kila Tukigusa Imooo
1
20
Conte Lau retweeted
Kuna kizazi tunaendelea kukitengeneza cha watu wanaochoshwa na upendo. Hiki ni kizazi kilichozaliwa na kizazi cha wazazi wasomi, wenye pesa, wasio na muda wa kupenda —kupatikana kihisia, kuzungumza, kusikiliza, kuhusiana, kujali na kadhalika. Tunatumia vitu kuziba ombwe la kutokupatikana. Tunahonga watoto midoli wasiyoihitaji kufunika hatia ya kutokupatikana. Mtoto akilia, kwa mfano, tunampa kishikwambi atulie. Katuni inatumika kupotezea hitaji la mtoto kusikika na kuonekana. Tukishindwa kuzungumza na mtoto tunawasha runinga anyamaze. Tukikosa muda wa kulea tunalipia chekechea ya bweni. Kwa ugumu na maumivu makubwa, mtoto anajifunza namna mpya ya kushughulikia mahitaji yake ya kihisia. Upweke, kupuuza hisia, kucheza na hisia za watu, ubinafsi, kukweza vitu na wenye vitu inakuwa sehemu ya mahusiano. Mtazamo huu wa maisha unaunda mwelekeo mpya wa mahusiano na watu ili kumudu uhaba mkubwa wa upendo—kupatikana kihisia, kuzungumza, kusikiliza, kuhusiana na kujali. Matokeo yake, tukifikia umri wa mahusiano, tunachoshwa haraka uhusiano unaotudai tupende. Tunataka kupendwa lakini hatuelewi upendo maana yake nini. Tunataka kuaminiwa lakini tunamchoka haraka anayetuamini. Hatujazoea kuaminiwa. Tunataka mtu aoneshe kujali lakini tunakinai haraka kujali kukimaanisha muda kwa ajili yetu. Tunatamani kueleweka lakini tunatishwa na muunganiko wa hisia. Tumezoeshwa vitu kutumika kama mbadala wa kuhafahamiana vizuri, kuunganika kihisia na shauku ya kuwa karibu na mtu. Tunalea kizazi ambacho ukimnyima mtu muda wako ukampa pesa anaamini unampenda, hata kama utamuondoa kabisa kwenye ratiba zako. Ukimpa mtu muda wako, usikivu, ukawekeza kwenye mahusiano, lakini usiwe na pesa mtu anaona unamchosha. Ukimnyima muunganiko wa hisia, ukampa uhakika wa ufundi wa ngono anachagua ngono hata akikosa uhakika wa mahusiano ya kudumu. Jitihada zozote za kudumisha mahusiano bila ngono inaonekana ni mzaha na ndoto za abunuwasi. Hatutaki kuwekeza. Tunataka kupita. Hatutaki kudumisha. Tunataka kusisimuka. Hatutaki kufahamiana. Tunataka kutumiana. Hatutaki kujipa muda. Tunataka kilicho tayari. Hatutaki gharama. Tunataka matokeo. Hatutaki kutafuta. Tunataka vya kupewa. Hatutaki kusubiri. Tunataka ghafla. Hatutaki uaminifu. Tunataka uhuru. Hatutaki usisi. Tunataka umimi. Hiki ndicho kizazi kinachoishi matokeo halisi ya utoto uliotekelezwa—deprived childhood.
39
211
9
607
60,343
Karibu Conte Lau; 1. Ni maeneo ya umma na mtu yeyote mwenye nia ya uwekezaji anaruhusiwa kuomba na kupata ardhi kwenye haya maeneo ambayo kitaalamu huitwa Special Economic Zones (SEZ). 2. Kwa sasa kuna SEZs katika maeneo mengi ingawa maarufu ni BAGAMOYO SEZ na Benjamin Mkapa SEZ iliyopo Ubungo External pale. 3. Gharama ya kukodi ardhi kwa mwaka kwa ajili ya SEZ ni USD 1 kwa Square Meter kwa eneo la Benjamini Mkapa na USD 0.5 kwa Square Meter kwenye SEZ nyingine kama Bagamoyo, NALA na kwingineko. Utaratibu ukoje; 1. Uwe na biashara ya Capital ya kuanzia USD 100,000 kwa Mtanzania na kisha uombe kupatiwa Leseni ya ama EPZ au SEZ ambazo nazo zina masharti yake ikiwemo ulazima wa 80% ya kila unachozalisha kiwe kinauzwa nje ya EAC 2. Gharama za jumla za kupata leseni ya EPZ ni USD 7000 katika mchanguo wa USD 6000 kama Licence Fee, USD 500 kama Application Fee na USD 500 kama Inspection Fee. 3. Faida zake ni pamoja na kupata Msamaha wa kodi zote unazozijua ndani ya Nchi hii kwa miaka 10 na benefits nyingine kedekede. Kuhusu mradi wa BAGAMOYO kwamba mbona kama hamna kinachoendelea ? Huu mradi kwa mujibu wa Feasibility Study yake ambayo imefanywa na Chuo cha Ardhi una thamani ya Trillion 11 hadi kukamilika kwake na kwa uhalisia wake na Uchumi wetu ni lazima utekelezwe kwa awamu. Awamu za awali kama malipo ya fidia, uchongaji wa barabara katika lile eneo ambalo lina maeneo 19 ya utekelezaji vimekamilika na good news ni kwamba Mwaka jana Serikali ilitoa 1Trillion kwa ajili ya hizi shughuli na progress ni kubwa , zaidi mwaka huu wa bajeti tumeanzisha kitu kinaitwa IDL Industrial Development Levy ambayo inalenga kutusaidia kupata fedha zaidi za kufanya execution ya huu mradi. Karibu na Asante
Brother Mwita Namba kujua haya maeneo yaliyotengwa kwaajili ya miradi ya EPZA mtanzania wa kawaida anawezaje kupata Eneo awekeze. Kwanini Eneo kama La EPZA Bagamoyo kule ni kama hakuna kinachoendelea ukilinganisha na Kibaha ?
4
4
1
15
1,573
Mojawapo ya Andiko Bora Sana. Mwezi huu. 🤝🤝
Unaweza kuwa mtu mwovu kabisa usiye na chembe ya utu wowote ndani yako na bado ukawa mwema sana kwa mtu anayekukubali, anayetetea mawazo yako, rafiki aghalabu mtu mwenye maslahi na tabia zako. Ukiweza kuwa mwema kwa mtu usiye na maslahi naye, asiyekubaliana na wewe, anayekukosoa, mpinzani wako, usiyepoteza chochote ukigombana naye, wewe ni mtu mwema katika uhalisia wako. Tabia zetu hujaribiwa zaidi tukichokozwa. Tunapochagua kuwatendea mema wasiostahili wema wetu, hapo tumeuishi wema kama tabia—sio mkakati wa kufikia malengo.
1
3
248
Wewe kama ni Makatoliki popote ulipo like na ku repost hapa bila sababu.❤️
15
519
1
2,603
52,605
Mene, mene, Tekel, Upharsin. Amani ya BWANA ikae nanyi 🙌🏾🙏🏾 Retweet kama umenielewa. – at Kalamazoo, MI
20
173
2
448
21,686
Tarehe na Mwezi kama wa Leo Alizaliwa Shujaa wetu Namba Moja. Natamani Viongozi Mliopo Madarakani Muige uzalendo wa Huyu MWALIMU. Huu Mfumo mnaotamba nao japokuwa aliutengeneza yeye lakini halikiwa lengo lake Kuona Wananchi wakiteseka. Angalau 🚨 Lindeni Rasilimali Zetu
1
90
Sera hii Ikiwapendeza iambatane na mabadiliko kadhaa. 1. Umri wa Mtu mzima tuanzie miaka 16. 2. Vyuo vya Veta Vianze kutoa mafunzo ya NTA Level 4. Mabadiliko ya Sera ya Elimu yataenda kupunguza idadi ya wanafunzi katika Vyuo vya Veta. #Mungu Ibariki Tanzania 🙏
UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023, DODOMA. Je wajua kwa nini Elimu ya Msingi ni miaka 10 badala ya miaka 7? Msikilize muasisi wa mapitio haya ya Sera ya Elimu na Mafunzo, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
94
Today, I celebrate myself, my growth, my strength, and the journey that has shaped me into who I am. I honor my achievements, big and small, and embrace the lessons that have come my way. This new year is mine to explore, to dream bigger, to love deeper, and to shine brighter.🙏
43
38
13
400
20,214
Vijana wenzangu, napenda kusisitiza jambo hili. Suala la kumchafua kiongozi wa dini, kama Padre Kitima, au viongozi wa dini wengine kutoka dini tofauti, si jambo la kufumbia macho. Padre Kitima ni mfano wa viongozi wanaojitolea kwa ajili ya jamii, akihimiza maadili na amani. Kumchafua kwa tamaa ya pesa au shinikizo ni kujidhalilisha na kuvuruga mshikamano wa kijamii. Dini zote – iwe ni Uislamu, Ukristo, au nyingine – zinahimiza heshima, maadili, na mshikamano. Viongozi wao, kama masheikh, wachungaji, au maaskofu, wanastahili heshima. Unapochafua viongozi kama Padre Kitima, unahatarisha amani ya jamii nzima. Dini zina mifumo thabiti ya kushughulikia changamoto kama hizi. Kanisa Katoliki, kwa mfano, linaweza kuchukua hatua kuanzia altareni kwa maombi hadi mahakamani kwa taratibu za kisheria. Uislamu pia una sharia zinazolinda heshima ya viongozi wa dini. Vitendo vya kuchafua majina yao vinaweza kukugharimu kisheria au kiroho. Padre Kitima na viongozi wengine wanaungwa mkono na waumini wanaowaamini na kuwaheshimu. Badala ya kushiriki kumdhalilisha, mjifunze kutoka kwao na kuwaonesha heshima wanayostahili. Nawasihi, tuheshimu dini zote na viongozi wake. Heshimuni viongozi kama Padre Kitima, na zaidi ya yote, heshimuni Mungu. Maisha yenye heshima na baraka hayapatikani kwa pesa za muda mfupi bali kwa kuishi kwa maadili mema. Chagueni mema, acheni mabaya!
69
95
3
652
41,586
Ukichagua kuwa “Content Creator” jua umechagua: Kazi ambayo hutaona matokeo yake mapema. Kazi ambayo wakati unaanza hautaeleweka na watu au utaonekana kituko. Wakati unaanza hutaona sapoti ya rafiki zako, wala ndugu mpaka utakapoanza kutoboa.
12
21
1
189
5,432
Conte Lau retweeted
The #FBI wishes everyone a happy and prosperous new year!
965
459
146
3,039
269,696