MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin) header
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin) profile picture

Umemfolo Mwanachama Wa CCM๐Ÿ˜๐Ÿ˜

MBEYA
Joined April 2023
Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)Photo by MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@dictatorbin)
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ I felt so bad for the baby
123
438
34
2,797
172,830
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mamae ata kama nikupeana hesima yawa๐Ÿ˜ฌ
30
49
1
192
11,316
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
MAMBO HAYA MIKOANI HAKUNA SIJUI WANAISHIJE๐Ÿ˜‚๐Ÿซต
11
45
2
573
31,505
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Samia ataka kuimarishwa amani, usafi kuelekea AFCON 2027 Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuimarisha amani, utulivu wakati kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa Africa (AFCON 2027) itakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda. Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Novemba 19,2026 wakati akiwasalimia wananchi wa Jiji la Arusha muda mchache baada ya kuwasili katika mkoani humo kwa ziara ya kikazi. Mkuu huyo wa nchi, amesema kupitia michuano ya AFCON 2027 Taifa litapata ugeni wa mataifa mbalimbali watakaofika Arusha na Tanzania kwa ujumla, akiwataka pia kuimarisha usafi wa mazingira. โ€œKwa sababu wageni watataka kwenda Ngorongoro na maeneo mbalimbali ya Arusha, la kwanza ndugu zangu amani na utulivu wa Arusha yetu na nchi yetu. Tukiwa salama wageni watakuja na kucheza salama,โ€ amesema Dkt Samia. Mbali na hilo, Rais Samia amesema ujio wa AFCON 2027 ni fursa kiuchumi kuanzia wafanyabiashara wadogo hadi wamiliki wa hoteli, akieleza kuwa fedha itatembea.
7
5
411
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
This man๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
4
6
1,238
This man๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
4
6
1,238
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Marioo kasema Mavokali hatokuja kuandika mziki mzuri wa kumfaa kuingizia Verse ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ
3
9
1
194
14,026
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
๐Ÿ“ VIWANJA VYA CCM KATORO Macho yote Katoro! Katoro, safari ya burudani na fursa inakuita! Usibaki kuwa mtazamaji, njoo uwe sehemu ya tukio. 21/11/2026
7
7
266
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akikata utepe pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, kama ishara ya uzinduzi Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.
4
5
181
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mama wa taifa kipenzi cha watanzania Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwaaga Uganda tayari kwa kurudi nchini Tanzania. Watanzania tunajivunia sana kuwa na Rais mwenye kujituma kwa maslai ya taifa letu la Tanzania.
8
9
360
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Upendo wa kweli hujengwa kwa pande mbili! Kwanza, ni upendo wa kiongozi kwa wananchi wake, na pili ni upendo wa wananchi kwa kiongozi wao. Hivi ndivyo vinavyoonekana jijini Arusha kupitia mapokezi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
1
8
6
216
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Never joke with comments section ๐Ÿ˜น
34
98
141
1,936
Hii ndio maana halisi ya uswahilini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
1
38
853
29,374
๐Ÿ‘‰ Mheshimiwa Dkt- Samia suluhu Hassan na Mzee Yoweri kaguta Museveni โœ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ
1
1
4
290
Leo ni International Menโ€™s Day, lakini huyo mwanamke wako wa maisha ameshindwa hata kukununulia hiki kiatu? ๐Ÿ˜‚ Kaka, jipende kwanza! Sogea kwa @Suma_Viatu ujipende mwenyewe. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘Ÿ
2
16
25
737
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
I wish for rainfall at night to watch this movie ๐Ÿ“บ
2
32
3
298
15,879
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Kuna nafasi ya kazi hapa wakuu.
3
16
1
66
3,904
MWALIMU๐Ÿ™๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Nani hajaona connection ya bibi nimtumie ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
14
7
29
3,393

230