MWALIMU๐๐น๐ฟ retweeted
Haya ni zaidi ya MAHABA , Rais na Wananchi na Wananchi na Rais Wao, Hakika tunajivunia sana Madam President ๐ฅ๐โ โ at Dar es Salaam, Tanzania
MWALIMU๐๐น๐ฟ retweeted
Samia ataka kuimarishwa amani, usafi kuelekea AFCON 2027
Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuimarisha amani, utulivu wakati kuelekea michuano ya Kombe la Mataifa Africa (AFCON 2027) itakayofanyika Tanzania, Kenya na Uganda.
Rais Samia ameeleza hayo leo Alhamisi Novemba 19,2026 wakati akiwasalimia wananchi wa Jiji la Arusha muda mchache baada ya kuwasili katika mkoani humo kwa ziara ya kikazi.
Mkuu huyo wa nchi, amesema kupitia michuano ya AFCON 2027 Taifa litapata ugeni wa mataifa mbalimbali watakaofika Arusha na Tanzania kwa ujumla, akiwataka pia kuimarisha usafi wa mazingira.
โKwa sababu wageni watataka kwenda Ngorongoro na maeneo mbalimbali ya Arusha, la kwanza ndugu zangu amani na utulivu wa Arusha yetu na nchi yetu. Tukiwa salama wageni watakuja na kucheza salama,โ amesema Dkt Samia.
Mbali na hilo, Rais Samia amesema ujio wa AFCON 2027 ni fursa kiuchumi kuanzia wafanyabiashara wadogo hadi wamiliki wa hoteli, akieleza kuwa fedha itatembea.
MWALIMU๐๐น๐ฟ retweeted
Marioo kasema Mavokali hatokuja kuandika mziki mzuri wa kumfaa kuingizia Verse ๐๐๐โโ๏ธ
MWALIMU๐๐น๐ฟ retweeted
๐ VIWANJA VYA CCM KATORO
Macho yote Katoro!
Katoro, safari ya burudani na fursa inakuita! Usibaki kuwa mtazamaji, njoo uwe sehemu ya tukio.
21/11/2026
MWALIMU๐๐น๐ฟ retweeted
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akikata utepe pamoja na Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, kama ishara ya uzinduzi Kiwanda cha Kuunganisha Magari cha Double Q Automotive Assembly Plant kilichopo Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.
MWALIMU๐๐น๐ฟ retweeted
Mama wa taifa kipenzi cha watanzania Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akiwaaga Uganda tayari kwa kurudi nchini Tanzania.
Watanzania tunajivunia sana kuwa na Rais mwenye kujituma kwa maslai ya taifa letu la Tanzania.
MWALIMU๐๐น๐ฟ retweeted
Upendo wa kweli hujengwa kwa pande mbili! Kwanza, ni upendo wa kiongozi kwa wananchi wake, na pili ni upendo wa wananchi kwa kiongozi wao. Hivi ndivyo vinavyoonekana jijini Arusha kupitia mapokezi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
MWALIMU๐๐น๐ฟ retweeted
๐ Mheshimiwa Dkt- Samia suluhu Hassan na Mzee Yoweri kaguta Museveni โ๏ธ๐น๐ฟ๐บ๐ฌ
MWALIMU๐๐น๐ฟ retweeted
Leo ni International Menโs Day, lakini huyo mwanamke wako wa maisha ameshindwa hata kukununulia hiki kiatu? ๐
Kaka, jipende kwanza! Sogea kwa @Suma_Viatu ujipende mwenyewe. ๐๐