freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW) header
freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW) profile picture

Sisi ni jumuiya ya mamilioni ya watu ambao wanajenga ujuzi mpya na kupata kazi mpya pamoja. Shirika lisilo la faida la 501(c)(3). Twiti kutoka kwa @larymak1

Joined October 2021
Photo by freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW)Photo by freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW)Photo by freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW)Photo by freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW)Photo by freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW)Photo by freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW)Photo by freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW)Photo by freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW)Photo by freeCodeCamp.org in Swahili (@freeCodeCampSW)
freeCodeCamp.org in Swahili retweeted
Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani! 🥳 Ni fursa nyingine ya kuthamini urithi wetu, kukuza utofauti wa tamaduni, na kusisitiza umuhimu wa lugha yetu.
Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani! 🥳 Leo tunajumuika pamoja kusherehekea utajiri na uzuri wa lugha ya Kiswahili. Ni siku ya kuheshimu urithi wetu, kukuza tofauti za kitamaduni, na kuangazia umuhimu wa lugha.
4
1
9
186
freeCodeCamp.org in Swahili retweeted
Happy Swahili Day! Waendelezaji mahiri na Wapangaji wa programu. Celebrate the beauty of Usimbaji, Kubuni, and Uhandisi wa Usanifu in our rich Kiswahili culture! #SwahiliDay #Kiswahili.
Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani! 🥳 Leo tunajumuika pamoja kusherehekea utajiri na uzuri wa lugha ya Kiswahili. Ni siku ya kuheshimu urithi wetu, kukuza tofauti za kitamaduni, na kuangazia umuhimu wa lugha.
2
2
85
freeCodeCamp.org in Swahili retweeted
I had such a great time this past week meeting up with some freeCodeCamp team members.
5
10
100
13,240
🎉 Tunasherehekea miaka 9 ya kuwepo kwa @freeCodeCamp! 🎂 Asante kwa jamii yetu ya wanafunzi na wachangiajiambao wamewezesha safari hii. Kwa pamoja, tumewawezesha mamilioni kujifunza jinsi ya kuandika msimbo. 🚀 Tuendelee na azma yetu ya kufanya elimu ipatikane kwa kila mtu! 🌐
5
12
327
Wadau! Kumbuka kuwa, Ingawa teknolojia inaleta mabadiliko makubwa, usisahau thamani ya ujuzi wako na mchango wako katika kuboresha maisha ya wengine. Muwe na wiki yenye tija. 💪✨
2
22
824
🎉Habari Njema!🎉 Je, unafahamu kuwa unaweza pata cheti cha "Responsive Web Design" kwa Kiswahili? Shukrani za dhati kwa wale walio jitolea kuhakikisha hili linawezekana. Usiachwe nyuma, jiunge nasi tunapoendelea kufanya kazi kwenye miradi mingine ya mtaala wa freeCodeCamp 🚀
5
11
497
freeCodeCamp.org in Swahili retweeted
🚀 Exciting news! The @freeCodeCampSW curriculum is now live! 🇹🇿🇰🇪 Shukrani kubwa kwa timu iliyofanya hili liwezekane, huu ni mwanzo tuu. Tuko katika harakati ya kutafsiri mtaala mzima wa freeCodeCamp na unaweza kujiunga nasi freecodecamp.org/news/help-t… Hapa kuna muonekano
9
2
18
1,947
Kama Waswahili wasemavyo🤝 Ushirikiano ni nguvu! Kwa pamoja tushirikiane kuboresha teknolojia kwa Kiswahili. Angalia miradi inayohitaji msaada na ushiriki, Hapa kuna baadhi yazo: - freecodecamp.crowdin.com/cur… - nuruprogramming.org/
3
27
2
44
2,729
Unapoanza safari yako ya #Hacktoberfest2023, Tunahamasisha wote kuanza mwezi huu kwa kuchangia kwenye miradi inayosaidia lugha ya Kiswahili. Kwa mfano, unaweza kusaidia kutafsiri mtaala wa freeCodeCamp kama sehemu ya mchango. Kila mchango unahesabika! 🌍💡
2
4
169
🚀Hacktoberfest iko hapa! 🎉 Sisi kama jamii inayozungumza Kiswahili, huu ni wakati wetu wa kuchangia, kukuza na kuboresha teknolojia kwa Kiswahili kupitia miradi ya chanzo-wazi Tuungane pamoja na tuhakikishe lugha yetu inasikika duniani kote! 🌐💙
3
11
547
Wadau! Ulimwengu wa teknolojia unabadilika kila siku. Kuwa tayari kujifunza na kukumbatia mabadiliko, kwani ndio njia ya kusonga mbele.
7
1
37
1,758
Imepita muda tangu tulipotoa chapisho letu la mwisho. Natumaini wote mko salama katika. Je, umesikiliza podcast yetu? Ina hadithi za kuhamasisha kutoka kwa waendelezaji mbalimbali. Kama bado, unaweza kuisikiliza hapa 👇 freecodecamp.libsyn.com/
1
1
4
245
Gundua Teknolojia kwa Kiswahili 🔍 Tupo na hamu kubwa kuwaletea njia mpya ya kuongeza maarifa yenu ya teknolojia 🚀. Tuunganishe pengo la lugha kwa kuongeza ufahamu wetu! 📚 Jifunze neno jipya. Jiandae kuongeza msamiati wako wa teknolojia na kuboresha ujifunzaji wako 🌱💡
1
1
191
Kila msanidi programu ana hadithi yake ya kipekee ya mafanikio. Jiinue kwa kutumia hadithi yako kuhamasisha na kuwahamasisha wengine.💡🌍 Wiki njema yenye mafanikio!💪✨
6
8
471
Wakurugenzi! Tupo katikati ya wiki! 🌟 Unaendelea vipi, Je ni miradi ya aina gani unayofanyia kazi? Shiriki nasi, tungependa kusikia kutoka kwako ! 🚀 Kwa upande wetu, tunautafsiri mtaala ya freeCodeCamp wa JS ili uweze kupatikana kwa lugha ya Kiswahili.
2
6
185
Wadau! Fanyeni kazi kwa bidii na maarifa, hakuna shida isiyoweza kutatuliwa. Uvumilivu na ubunifu ni ufunguo wa mafanikio yako. Muwe na wiki yenye tija. 💪✨
5
26
3
107
8,987
Kama mwanateknolojia, mchakato wako ni sawa na uundaji wa sanaa. Hakikisha kazi yako inaacha alama nzuri katika ulimwengu wa dijiti. Endelea kujituma ili kuleta ubunifu, uvumbuzi, na suluhisho zinazoleta faida kwa jamii na ulimwengu kwa ujumla. Heri ya mwezi mpya! 🌟🚀
4
17
1,032
Teknolojia ni jukwaa lako la kujenga ndoto zako. Kuwa jasiri, jifunze kila siku, na hakuna kitu kinachokuzuia. Muwe na wiki yenye tija. 💪✨
2
7
1
33
1,478
Kwa wanateknolojia wote, tuchukue fursa hii adhimu kuungana pamoja, kujifunza kuhusu maendeleo mapya ya teknolojia, na kwa umuhimu zaidi, kusherehekea utamaduni wa Kiswahili. Tukutane pwani ya Kenya!
Ama kweli, wahenga na wahenguzi hawakutachana nywele kwa mfupa wa samaki waliponena, "Safari ya kesho, hupangwa leo". Je, waja kwenye kongamano letu la #IOExtendedPwani, na kutoka wapi? #GDGPwani
1
13
42
4,045