
Sisi ni jumuiya ya mamilioni ya watu ambao wanajenga ujuzi mpya na kupata kazi mpya pamoja. Shirika lisilo la faida la 501(c)(3). Twiti kutoka kwa @larymak1
Joined October 2021
- Tweets121
- Following37
- Followers328
- Likes25
freeCodeCamp.org in Swahili retweeted
Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani! 🥳
Ni fursa nyingine ya kuthamini urithi wetu, kukuza utofauti wa tamaduni, na kusisitiza umuhimu wa lugha yetu.
freeCodeCamp.org in Swahili retweeted
Happy Swahili Day!
Waendelezaji mahiri na Wapangaji wa programu.
Celebrate the beauty of Usimbaji, Kubuni, and Uhandisi wa Usanifu in our rich Kiswahili culture! #SwahiliDay #Kiswahili.
freeCodeCamp.org in Swahili retweeted
I had such a great time this past week meeting up with some freeCodeCamp team members.
Replying to @freeCodeCamp
Tunashukuru msaada wako katika kutaka kufanya FreeCodeCamp ifikiwe na watu wengi zaidi duniani kote!
kwa maelekezo ya jinsi ya kuanza tafadhali angalia nakala hii 👉 freecodecamp.org/news/help-t…
6
🎉 Tunasherehekea miaka 9 ya kuwepo kwa @freeCodeCamp! 🎂
Asante kwa jamii yetu ya wanafunzi na wachangiajiambao wamewezesha safari hii. Kwa pamoja, tumewawezesha mamilioni kujifunza jinsi ya kuandika msimbo. 🚀
Tuendelee na azma yetu ya kufanya elimu ipatikane kwa kila mtu! 🌐
Wadau!
Kumbuka kuwa, Ingawa teknolojia inaleta mabadiliko makubwa, usisahau thamani ya ujuzi wako na mchango wako katika kuboresha maisha ya wengine.
Muwe na wiki yenye tija. 💪✨
🎉Habari Njema!🎉
Je, unafahamu kuwa unaweza pata cheti cha "Responsive Web Design" kwa Kiswahili?
Shukrani za dhati kwa wale walio jitolea kuhakikisha hili linawezekana.
Usiachwe nyuma, jiunge nasi tunapoendelea kufanya kazi kwenye miradi mingine ya mtaala wa freeCodeCamp 🚀
freeCodeCamp.org in Swahili retweeted
🚀 Exciting news! The @freeCodeCampSW curriculum is now live! 🇹🇿🇰🇪
Shukrani kubwa kwa timu iliyofanya hili liwezekane, huu ni mwanzo tuu. Tuko katika harakati ya kutafsiri mtaala mzima wa freeCodeCamp na unaweza kujiunga nasi
freecodecamp.org/news/help-t…
Hapa kuna muonekano
Kama Waswahili wasemavyo🤝 Ushirikiano ni nguvu!
Kwa pamoja tushirikiane kuboresha teknolojia kwa Kiswahili. Angalia miradi inayohitaji msaada na ushiriki,
Hapa kuna baadhi yazo:
- freecodecamp.crowdin.com/cur…
- nuruprogramming.org/
Unapoanza safari yako ya #Hacktoberfest2023, Tunahamasisha wote kuanza mwezi huu kwa kuchangia kwenye miradi inayosaidia lugha ya Kiswahili.
Kwa mfano, unaweza kusaidia kutafsiri mtaala wa freeCodeCamp kama sehemu ya mchango.
Kila mchango unahesabika! 🌍💡
🚀Hacktoberfest iko hapa! 🎉
Sisi kama jamii inayozungumza Kiswahili, huu ni wakati wetu wa kuchangia, kukuza na kuboresha teknolojia kwa Kiswahili kupitia miradi ya chanzo-wazi
Tuungane pamoja na tuhakikishe lugha yetu inasikika duniani kote! 🌐💙
Wadau!
Ulimwengu wa teknolojia unabadilika kila siku. Kuwa tayari kujifunza na kukumbatia mabadiliko, kwani ndio njia ya kusonga mbele.
Kama nyongeza ya chapisho la jana, hapa kuna podcasts zaidi za teknolojia za Kiafrika unazoweza kusikiliza na kujifunza :
- Swahili Tek => swahili-tek.simplecast.com/
- TechTalk Africa => linktr.ee/tt_afrika
- Moses Kemibaro Podcast => open.spotify.com/show/4uxvWA…
Imepita muda tangu tulipotoa chapisho letu la mwisho.
Natumaini wote mko salama katika.
Je, umesikiliza podcast yetu? Ina hadithi za kuhamasisha kutoka kwa waendelezaji mbalimbali.
Kama bado, unaweza kuisikiliza hapa 👇
freecodecamp.libsyn.com/
Gundua Teknolojia kwa Kiswahili 🔍
Tupo na hamu kubwa kuwaletea njia mpya ya kuongeza maarifa yenu ya teknolojia 🚀. Tuunganishe pengo la lugha kwa kuongeza ufahamu wetu!
📚 Jifunze neno jipya. Jiandae kuongeza msamiati wako wa teknolojia na kuboresha ujifunzaji wako 🌱💡
Kila msanidi programu ana hadithi yake ya kipekee ya mafanikio. Jiinue kwa kutumia hadithi yako kuhamasisha na kuwahamasisha wengine.💡🌍
Wiki njema yenye mafanikio!💪✨
Wakurugenzi!
Tupo katikati ya wiki! 🌟
Unaendelea vipi, Je ni miradi ya aina gani unayofanyia kazi? Shiriki nasi, tungependa kusikia kutoka kwako ! 🚀
Kwa upande wetu, tunautafsiri mtaala ya freeCodeCamp wa JS ili uweze kupatikana kwa lugha ya Kiswahili.
Wadau!
Fanyeni kazi kwa bidii na maarifa, hakuna shida isiyoweza kutatuliwa. Uvumilivu na ubunifu ni ufunguo wa mafanikio yako.
Muwe na wiki yenye tija. 💪✨
Kama mwanateknolojia, mchakato wako ni sawa na uundaji wa sanaa. Hakikisha kazi yako inaacha alama nzuri katika ulimwengu wa dijiti.
Endelea kujituma ili kuleta ubunifu, uvumbuzi, na suluhisho zinazoleta faida kwa jamii na ulimwengu kwa ujumla.
Heri ya mwezi mpya! 🌟🚀
Replying to @Mnada_56
Asante sana kwa maoni yako mazuri!
Tuendelee kushirikiana na kujitolea kufanikisha lengo hili na kuweka Kiswahili chetu kwenye ramani ya kimataifa ya teknolojia na maendeleo.
23






