
Sisi ni jumuiya ya mamilioni ya watu ambao wanajenga ujuzi mpya na kupata kazi mpya pamoja. Shirika lisilo la faida la 501(c)(3). Twiti kutoka kwa @larymak1
Joined October 2021
- Tweets121
- Following37
- Followers328
- Likes25
🎉 Tunasherehekea miaka 9 ya kuwepo kwa @freeCodeCamp! 🎂
Asante kwa jamii yetu ya wanafunzi na wachangiajiambao wamewezesha safari hii. Kwa pamoja, tumewawezesha mamilioni kujifunza jinsi ya kuandika msimbo. 🚀
Tuendelee na azma yetu ya kufanya elimu ipatikane kwa kila mtu! 🌐
🎉Habari Njema!🎉
Je, unafahamu kuwa unaweza pata cheti cha "Responsive Web Design" kwa Kiswahili?
Shukrani za dhati kwa wale walio jitolea kuhakikisha hili linawezekana.
Usiachwe nyuma, jiunge nasi tunapoendelea kufanya kazi kwenye miradi mingine ya mtaala wa freeCodeCamp 🚀
Habari njema kwa jumuiya ya wazungumzaji wa Kiswahili kutoka kwa Google.
Teknologia ya Bard imepanua uwezo wake na sasa inapatikana katika lugha ya Kiswahili,
Hii inafanya Kiswahili kuwa lugha ya kwanza ya Kiafrika inayoungwa mkono na teknolojia hii ya kisasa.
Heri ya Siku ya Kiswahili Duniani! 🥳
Leo tunajumuika pamoja kusherehekea utajiri na uzuri wa lugha ya Kiswahili. Ni siku ya kuheshimu urithi wetu, kukuza tofauti za kitamaduni, na kuangazia umuhimu wa lugha.
Shindano la Kiswahili la Kila Mwezi kutoka kwa Common Voice
Kuanzia tarehe 1 Juni, @mozilla_africa walizindua hili shindano ambalo litafanyika kila mwezi na lengo lake ni kuwahusisha wasemaji wa Kiswahili kutoka Kenya, Tanzania, na DRC.
Tunapoendelea kusherehekea #WorldTranslationMonth na unatafuta sababu ya kujiunga na juhudi za ujanibishaji za freeCodeCamp
Hii ni video ya motisha kutoka kwa mtafsiri wa @freeCodeCampZH yenye sababu kwa nini unapaswa kujiunga
Tunapoendelea kusherehekea #WorldTranslationMonth na unatafuta sababu ya kujiunga na juhudi za ujanibishaji za freeCodeCamp
Hii ni video ya motisha kutoka kwa mtafsiri wa @freecodecampES yenye sababu kwa nini unapaswa kujiunga
Soma hapa jinsi ya kuanza:
freecodecamp.org/swahili/new…
Tunapoendelea kuadhimisha #WorldTranslationMonth, freecodecamp kwa usaidizi wa watafsiri inatia bidii katika kutafsiri mtaala katika lugha tofauti.
Tuna watafsiri wengi wanaojiunga kwa sababu tofauti.
Hapa tunashiriki mojawapo ya sababu nyingi kutoka kwa mfasiri wa Kiswahili
Jumuiya ya freeCodeCamp inatafsiri mtaala na mafunzo ya teknolojia katika lugha nyingi za ulimwengu.
Na tunakuhimiza ushiriki katika juhudi za #WorldTranslationMonth.
Katika nakala hii @neicoree anakupa maelezo zaidi jinsi unaweza kusaidia 👉
freecodecamp.org/swahili/new…

