₿Ξ₿ΞRU retweeted
As a nation, hatuko sawa kabisa mental wise. You can’t just sweep mass trauma under the rug na ukajifanya kila kitu kiko sawa. We are hurting inside. 🕊️🖤
Sign in with Apple (Hide My Email)
Sign in with Apple (Hide My Email)
Sign in with Apple (Hide My Email)
Sign in with Apple (Hide My Email)
Sign in with Apple (Hide My Email)
₿Ξ₿ΞRU retweeted
Replying to @incrediboss
😂 Mimi huwa naogopa kama mtu hajaomba umfundishe huwezi amka tu ukamlazimisha
Umenyooka kama Ruler🫱🏾
Replying to @og_outfits
Hatujaja hapa dunia kuwatafutia mali wanawake na kuwaachia wakijisikia. Ni heri waende mahakamani kila mtu achukue chake na kuendelea na maisha yake. Ukipata mwingine akabehave kama huyo utaacha mpaka lini? Nguvu za kutafuta mali sio za milele
₿Ξ₿ΞRU retweeted
Nilipokuwa nimepanga kuna Binti alihamia wakishua sanaa , alikuwa anaupendo yaan akipika anakujazia analeta ule , ila sasa 😂💔
Pilau itabidi upike tena maana ni kama mchele uliolowekwa
Maini anaweka kitunguu swaumu
Ugali anaweka sukali 🥲🙌🏾💔
Na kukataa huwezi 😂

























